Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

Azim Sokoine

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Messages
993
Likes
1,481
Points
180
Azim Sokoine

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2014
993 1,481 180
Habari comrades,

Najaribu kuwaza tu! Na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?

Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?

Hapa kweli hakuna kaharufu ka order kutoka juu?
 
Mgoroko

Mgoroko

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
629
Likes
248
Points
60
Mgoroko

Mgoroko

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
629 248 60
habar comrades,

Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwa nn mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?..je kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?..hapa kweli hakuna kaarufu ka order kutoka juu?
Endelea kuwaza,ukishtuka utajua kuna mkono wa sheria na sio wa magufuri.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
32,302
Likes
41,546
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
32,302 41,546 280
habar comrades,

Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwa nn mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?..je kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?..hapa kweli hakuna kaarufu ka order kutoka juu?
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
 
Z

Zawadi 12

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
220
Likes
92
Points
45
Z

Zawadi 12

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
220 92 45

Kuna haja ya kumdharau mtu kwa kutoa mawazo yake? Je lema amekosea au hajakosea? Sasa tutajuaje nan anamakosa kama utammdharau nwenzio
 
Nimemdharau kwakuwa kaja na ' Hoja ' ya ' Kipuuzi ' kabisa ambayo naona na Wewe ni kama vile unataka kuikubali ili nawe nikuingize katika wale ninaowadharau kwa kutojua ' kufikiri '.
 
Bramo

Bramo

JF Bronze Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
10,185
Likes
3,460
Points
280
Bramo

Bramo

JF Bronze Member
Joined Oct 21, 2009
10,185 3,460 280
Nimemdharau kwakuwa kaja na ' Hoja ' ya ' Kipuuzi ' kabisa ambayo naona na Wewe ni kama vile unataka kuikubali ili nawe nikuingize katika wale ninaowadharau kwa kutojua ' kufikiri '.
Acha kutokwa povu Mpuuzi wewe.
Unamdharau mtu ambaye hata humjui,si ulofa huo
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,083
Likes
16,612
Points
280
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,083 16,612 280
habar comrades,

Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwa nn mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?..je kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?..hapa kweli hakuna kaarufu ka order kutoka juu?
Kwa hiyo unajaribu kusema Rais Magufuli aliwaagiza kibatala na Mallya wakosee wapi pa kukata rufaa,taratibu za kukata rufaa?
 
Z

Zawadi 12

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
220
Likes
92
Points
45
Z

Zawadi 12

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
220 92 45
Nimemdharau kwakuwa kaja na ' Hoja ' ya ' Kipuuzi ' kabisa ambayo naona na Wewe ni kama vile unataka kuikubali ili nawe nikuingize katika wale ninaowadharau kwa kutojua ' kufikiri '.
Aya bwana ss waafrika bwana ndo hulka zetu.
 
Z

Zawadi 12

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
220
Likes
92
Points
45
Z

Zawadi 12

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
220 92 45
Kufundisha kwa viboko
 
J

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Messages
2,754
Likes
1,829
Points
280
J

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2012
2,754 1,829 280
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
katika watu hopeless first class ni wewe. nina uhakikia asilimia kubwa kuwa hata Huyo unae mtetea amekudharau.Haiwezekani hakimu awe amekuelekeza kukata rufaa halafu yeye huyohuyo anakubaliana na hoja za wakili wa serikali kuweka pingamizi tena halafu usijue kinachoendelea? Halafu unaleta ubishi kwa wenye akili?
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
32,302
Likes
41,546
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
32,302 41,546 280
Acha kutokwa povu Mpuuzi wewe.
Unamdharau mtu ambaye hata humjui,si ulofa huo
Kwani na Wewe ' sometimes ' unavyopuka labda kwa Wayne Rooney wa Man United kushuka ' Kiwango ' kwani na yeye huwa mnajuana au anakujua? Kwa mapungufu yenu makubwa ya akili kama haya kila siku nitakuwa ' nawadharau '.
 
Chuck j

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Messages
2,285
Likes
590
Points
280
Chuck j

Chuck j

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2011
2,285 590 280
Kwa hiyo unajaribu kusema Rais Magufuli aliwaagiza kibatala na Mallya wakosee wapi pa kukata rufaa,taratibu za kukata rufaa?
Inamaana ni kesi yao ya kwanza kukata rufaaa?nataka kukubaliana na mleta mada kwa kiasi fulani
 
Mystery

Mystery

JF Gold Member
Joined
Mar 8, 2012
Messages
11,232
Likes
15,676
Points
280
Mystery

Mystery

JF Gold Member
Joined Mar 8, 2012
11,232 15,676 280
Ukifikiria sana kesi ya Lema, hakika hata machozi yanaweza kukulenga lenga........

Inawezekanaje mahakama ing'ang'anie kumnyima dhamana kama vile Lema ana murder case?

Hivi kumbe ukipata maono na kuyaweka hadharani, kwa mahakama zetu tayari una murder case?

Mbona hata Bwana yule kwenye mazishi ya Masaburi, alitamka hadharani kuwa Lowasa atakufa, JK naye atakufa na yeye mwenyewe naye 'alijitabiria' kifo?

Mbona 'maono' hayo ya Bwana yule hayakuonekana kama murder or treason case?!

Ila hayo matamshi ya Lema ndiyo yanachukuliwa kama treason or murder case!!!

It is obvious haiwezekani mahakama ikomae kiasi hicho kumnyima dhamana Lema dhamana ambayo ni haki yake kisheria kama siyo 'order' toka juu..........

Hata hivyo hakuna kitu chochote hapa duniani kilichokuwa na mwanzo kikakosa kuwa na mwisho.....
 
J

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Messages
2,754
Likes
1,829
Points
280
J

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2012
2,754 1,829 280
Maandishi mengi yaliyojaa ' GIGO ' na ' TITO ' tupu.
Na ndio maana hata niambiwer ukiwa ccm utalipwa shs milioni moja kila siku siwezi kujiunga kwasababu nitakuwa nimejiunga na kundi la wajinga kabisa duniani.Kuna watu walikuwa vipanga walipo jiunga ccm tu wanacho sema daah utawaonea huruma.Gentamycine hata kiswahili hajui kazi kubishana na wenye akili.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
32,302
Likes
41,546
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
32,302 41,546 280
Na ndio maana hata niambiwer ukiwa ccm utalipwa shs milioni moja kila siku siwezi kujiunga kwasababu nitakuwa nimejiunga na kundi la wajinga kabisa duniani.Kuna watu walikuwa vipanga walipo jiunga ccm tu wanacho sema daah utawaonea huruma.Gentamycine hata kiswahili hajui kazi kubishana na wenye akili.
Ningekuwa Mimi ndiyo Wewe halafu nikaambiwa kuwa ' maandiko ' yangu yote niliyoyaandika ni full of ' GIGO ' and ' TITO ' nadhani ningezima kabisa ' gadget ' ninayoitumia na nisingerudi tena lakini yawezekana hujui maana yake na unachekelea tu. Pole sana!
 
B

bejumula

Member
Joined
Jul 5, 2012
Messages
66
Likes
13
Points
15
B

bejumula

Member
Joined Jul 5, 2012
66 13 15
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Wewe ndiye haswa hao wazungu walikuona nakutuita manyani!!!
 
K

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
4,372
Likes
2,442
Points
280
K

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
4,372 2,442 280
Kumbe Wazungu ama hakika hawakukosea kutuita sisi Waafrika ' manyani / masokwe ' na huku ' wakitudharau ' kwani inaonyesha walifanya ' utafiti ' wao mkubwa sana na wakajitosheleza kuwa sisi Waafrika tuna ' tatizo ' kubwa tena la kiasili la kuwa na very ' hopeless ' IQ. Hivi kwa ' akili ' za kawaida tu Rais Dkt. Magufuli anaingiaje katika hiyo Kesi ya Lema? Je Rais ndiyo Hakimu? Je Rais ndiyo aliyemtuma huyo Lema wenu ' awehuke ' vile? Ungetumia platform hii kumsihi huyo Lema wako kuwa alichokuwa anakifanya siyo healthy politic bali ni uhuni mtupu na kuwasihi wengine jinsi ya kufanya Siasa zenye ' tija ' na faida kwa Mama Tanzania ningekuona wa maana mno. Nimekudharau sana Mkuu na ' samahani ' kwa hilo.
Mimi nimefanya utafiti nimegundua waafrika ni kama nyoka,na viongozi wetu wengi ni jamii ya nyoka aitwae black mamba.Mzungu akiona nyoka kala nyoka wanaona ngoma droo.
 
Forum statistics

Threads 1,275,214
Members 490,932
Posts 30,535,962