Who is Martine Shigella?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
hana adabu. hana staha. anatumika vibaya. anajimaliza kisiasa. anaongeza idadi ya vijana wanaomchukia Tanzania.

who is this boy?

tunaomba CV jamani. maana kijana anaona raha kukaa mbele ya microphone kuzusha mambo yasiyo na ushahidi dhidi ya wazee.
 
mzee makamba kwa kusoma alama za nyakati, amerejea kauli yake ya kiutu uzima: "alichosema mh. sumaye ni maoni yake"

lakini huyu dogo (shigela) alichokizungumza ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu.

sitowafundisha CCM cha kumfanya huyu bwana mdogo. niseme tu. shigela hana adabu kwa wazee.
 
1, DC wa zamani wa lindi
2, ****** na membe walimpa ukatibu uvccm kwa kazi maalum
3, kazi yake kubwa kushawishi uvccm kumkubali membe 2015
4, membe anampa kiburi cha kuongea ovyo
 
Asante kwa kuleta thread hii..ombi tu kwa wale ambao wanaweza wakaanza kupinga kumjadili huyu MARTINE SHIGELLA; nafikiri ni utamaduni mzuri wa kuwa tunawachimba vizuri vijana hawa wanaoibuka katika siasa za nchi yetu..hii itatusaidia kuwafahamu walikotoka na walipo..na hivyo kutupatia mwangaza juu ya wapi wanaweza wakaipeleka nchi yetu..tunapaswa kutofanya makosa ya kuwashabikia watu tu bila kujua walikotoka halafu baadae tunaanza kujuta (hapo tayari wakiwa marais,mawaziri n.k)...huyu kijana ni nani hasa?
Niliwahi kuambiwa na mtu fulani kuwa jamaa amepaa tu ghafla akafikia hapo alipo, lakini jamaa ni kati ya 'ma-bogus' vijana ambao huyo mtu alinambia anashangaa wamefikia hapo walipo...
Ninachojua jamaa huyu (Shigella) asili yake ni Shinyanga..anatoka jimbo moja na alikokuwa Mpendazoe-Kishapu, huko kwao wanasema ni kijana wa majivuno sana, na ndio sababu ilikuwa ngumu sana kwa yeye kwenda kugombea ubunge kama rafiki yake January Makamba..hivyo badala yake akamwachia yule Nchambi's, Msukuma-mwarabu anaemiliki mabasi kaadhaa kanda ya ziwa...
Pamoja na hayo, inasemekana pia kwasababu ya kuwa karibu na viongozi wakubwa, Shigella alikuwa akiwahadaa baadhi ya watu kuwa yeye ni usalama wa taifa...
All in all..kama walivyo vijana wengi walio viongozi wa UVCCM, Shigella nae 'haeleweki eleweki-kimaslahi zaidi, suala la 'kwa ajili ya nchi' linatatanisha, ...kwa wanaomfahamu zaidi..who is this boy?!
 
Makubwa vijana wa ccm kwishney twaanza kuwachora kwenye kuta za majumba yetu huku kila mtu awafahamu
 
kitendo cha kumjadili Martina she-girl,ni kutaka kumpa umaarufu asiostahili
*HANA ADABU kwa wakubwa na nafikiri hata kwa wazazi wake itakuwa ni hivyo pia.
~YOU CAN BUY A POSITION, BUT NOT A RESPECT~
 
Re: Who is Martina Shigela?

SHE-GIL ANATUSAIDIA KUKIZIKA CCM JAMANI HEBU ANGALIENI UPANDE MWINGINE SIO KWAMBA ANATUSAIDIA WANA CDM KWANI WA2 WANACHOKA NA MALUMBANO YAO NA WANAKIHAMA ZAIDI.
 
mzee makamba kwa kusoma alama za nyakati, amerejea kauli yake ya kiutu uzima: "alichosema mh. sumaye ni maoni yake"

lakini huyu dogo (shigela) alichokizungumza ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu.

sitowafundisha CCM cha kumfanya huyu bwana mdogo. niseme tu. shigela hana adabu kwa wazee.

Wajua hawa viongozi wa UVCCM Taifa ndio wanakipotosha UVCCM kwani wengi wao wana maono yao katika uchaguzi ujao sasa wanajisahau kujijenga huku chini wao wanakali kurumbana na kujisemea maneno ya ajabu sasa huyo Martine Shigela anaongea pumba gani kijana kwelie unakosa cha kusema na ukadhani sio vijana wenzio tutakusifu au? huo ulio uongea ni upuuzi kwa taaarifa yake,

UVCCM mlisha palaganyika msijifanye kuwaonyesha wananchi kuwa mko ngangali hata kidogo, yaaani hawa UVCCM kwa mtu anae wajua kwa ukaribu hawakutishi wanachokiongea ukirudi kwa vikao vyao watu walisha wapuuzia hawa viongozi wa UVCCM kwani kinacho waponza ni matumbo yao kama DC wa bunda Issac alivyosema kuwa wengiwao akiwamo na yeye wanafikiria kwa tumbo na sio kwa ubongo mfano mzuri ni huyo Shigela sasa aliongea nini kweli kwa kumtizama tu alikuwa hana points za kujieleza kwa media ni alitaka aonekane kwenye Runinga basi.

Na hupo Pwani mnajidanganya na huyo Ridhwani mtakuja jutia kweli 2015 kumbukeni kundi kubwa la vijana walio soma linakuja sasa kama nyie UVCCM msipo endana na hilo kundi ambalo ndilo litakuwa wapiga wengi kuliko mtarajiavyo mtaniambia, UVCCM acheni sera za kizamani nendeni na wakati kwa kusoma alama za nyakati la sivyo CCM itawafia mikononi mwenu hakika aminini hilo laja

Asante kwa kuleta thread hii..ombi tu kwa wale ambao wanaweza wakaanza kupinga kumjadili huyu MARTINE SHIGELLA; nafikiri ni utamaduni mzuri wa kuwa tunawachimba vizuri vijana hawa wanaoibuka katika siasa za nchi yetu..hii itatusaidia kuwafahamu walikotoka na walipo..na hivyo kutupatia mwangaza juu ya wapi wanaweza wakaipeleka nchi yetu..tunapaswa kutofanya makosa ya kuwashabikia watu tu bila kujua walikotoka halafu baadae tunaanza kujuta (hapo tayari wakiwa marais,mawaziri n.k)...huyu kijana ni nani hasa?
Niliwahi kuambiwa na mtu fulani kuwa jamaa amepaa tu ghafla akafikia hapo alipo, lakini jamaa ni kati ya 'ma-bogus' vijana ambao huyo mtu alinambia anashangaa wamefikia hapo walipo...
Ninachojua jamaa huyu (Shigella) asili yake ni Shinyanga..anatoka jimbo moja na alikokuwa Mpendazoe-Kishapu, huko kwao wanasema ni kijana wa majivuno sana, na ndio sababu ilikuwa ngumu sana kwa yeye kwenda kugombea ubunge kama rafiki yake January Makamba..hivyo badala yake akamwachia yule Nchambi's, Msukuma-mwarabu anaemiliki mabasi kaadhaa kanda ya ziwa...
Pamoja na hayo, inasemekana pia kwasababu ya kuwa karibu na viongozi wakubwa, Shigella alikuwa akiwahadaa baadhi ya watu kuwa yeye ni usalama wa taifa...
All in all..kama walivyo vijana wengi walio viongozi wa UVCCM, Shigella nae 'haeleweki eleweki-kimaslahi zaidi, suala la 'kwa ajili ya nchi' linatatanisha, ...kwa wanaomfahamu zaidi..who is this boy?!

are you serious?

yaani huyu shigela anatoka kishapu? jimboni kwangu?

la la la la laaaaa! msala huu jamani!

hatuna mtoto.
 
katoto fulan ka wakulima wasukuma kalichokuwa kafisadi kutokana na kuambukizwa ufisadi na mafisadi, mbaya zaidi kana Uwezo mdogo wa kufikiri..
 
Huyu mjinga shigela eti asubuhi hii amepewa fursa na radio uhuru kurudi ktk mstari baada ya jana kujiharishia, these guys wanadhani watz wa leo ni wa jana, wanaleta cheap politics kisha wanajifanya kutuonyesha njia.... Mbuzi atabaki kuwa mbuzi na kamwe hatakuwa ng'ombe... Shigela unapaswa ulitambue hilo.... Ninadhani urejeshwe kwenye u dc mapema kabla jua halijachwea na ukithubutu kurudi law school sidhani kama utapenya vinginevyo kabudi ajipendekeze.......
 
Back
Top Bottom