Sasa mbona JPM anapishana na kauli ya waziri wake wa elimu?
Hakuna mwenye div.4 hata mmoja. Huyu jamaa nae ni jipu tuHuyu mtu duh!!Hao wanafunzi zaidi ya 7000 wote walikuwa na division 4?Huu uamuzi wa serikali iliyopita haukupita kwenye baraza la Mawaziri ambalo nae alikuwa mjumbe?Kama ulipita,je aliuupinga?
Yawezekana Mkuu Raisi amepewa siri iliyokuwa imefichwa muda mrefuRais anavyo vyanzo vingi vya taarifa za uhakika kuliko waziri
Nani kakwambia hili lilipita kwenye vikao vya baraza la Mawaziri? Hapa alikuwa ni JK na wahadhiri , hakuna cha Bunge wala baraza la Mawaziri.Huyu mtu duh!!Hao wanafunzi zaidi ya 7000 wote walikuwa na division 4?Huu uamuzi wa serikali iliyopita haukupita kwenye Baraza la Mawaziri ambalo nae alikuwa mjumbe?Kama ulipita, aliuupinga?
Ni wazi hata waziri anapata mashinikizo na huenda ndio maana hawakuta jambo hili lijadiliwe Bungeni maana mengi yangefichuka.r
Kweli kabisa, tusubiri tu hao wanaoshadadia huko Dodoma wataumbuka tu.Yawezekana Mkuu Raisi amepewa siri iliyokuwa imefichwa muda mrefu
Hata aibu hawana!!Hakuna mwenye div.4 hata mmoja. Huyu jamaa nae ni jipu tu
Waziri hawezi ku-reveal kila kitu Bungeni.Sasa mbona JPM anapishana na kauli ya waziri wake wa elimu?