CCM kuitisha mkutano mkuu wa taifa wa dharura haraka iwezekanavyo kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa taifa iliyo wazi.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,832
Komredi Polepole amesema kamati kuu ya CCM imeelekeza mkutano mkuu wa chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki.

Hivyo basi mkutano mkuu utaitishwa wakati wowote kuanzia leo.

Maendeleo hayana vyama
 
Maendeleo hayana vyama!
CCM sasa inapaswa kuwa makini.
Kati ya maswala yaliyonihuzunisha ni mzee Mangula kupewa sumu NDANI ya ofisi za chama.
Tukumbuke kuwa hayo yalitendwa na watu au mtu aliyeko ndani ya chama , na si mtu mdogo.
Kuna haja chama kurudishwa kwenye mikono ya wenyewe wananchi.
CCM isiwe state apparatus.
 
Tukumbuke kuwa hayo yalitendwa na watu au mtu aliyeko ndani ya chama , na si mtu mdoga.
Kuna haja chama kurudishwa kwenye mikono ya wenyewe wananchi.
CCM isiwe state apparatus.
Chama kinarudishwaje kwa wananchi?au umemaanisha nini,maana hata unaowaona ni wananchi pia
 
Kuwakusanya watu wengi kutoka mikoani ili kwenda kukutana Lumumba au Dodoma na kumthibitisha Samia ni upotezaji wa muda, fedha na kuwaweka watu kwenye risk kubwa ya kucontract corona

Samia kaingia “kumalizia” muda uliobaki wa awamu ya tano. Apewe tu uenyekiti automatically kumaliza muda wa uenyekiti wa chama as well bila kuwapotezea muda watu
 
Kuwakusanya watu wengi kutoka mikoani ili kwenda kukutana Dodoma na kumthibitisha Samia ni upotezaji wa muda, fedha na kuwaweka watu kwenye risk kubwa ya kucontract corona
Ushauri wangu, wazee wa chama mfano, JK, Mwinyi,karume, lowassa, na wengine kwenda kwenye mkutano huu ni risk kubwa kwao. Tanzania kuna corona na unaenda kwà speed kubwa.
 
Kuwakusanya watu wengi kutoka mikoani ili kwenda kukutana Dodoma na kumthibitisha Samia ni upotezaji wa muda, fedha na kuwaweka watu kwenye risk kubwa ya kucontract corona

Samia kaingia “kumalizia” muda uliobaki wa awamu ya tano. Apewe tu uenyekiti automatically kumaliza muda wa uenyekiti wa chama as well bila kuwapotezea muda watu
Waende tuu si fedha za chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM sasa inapaswa kuwa makini.
Kati ya maswala yaliyonihuzunisha ni mzee Mangula kupewa sumu NDANI ya ofisi za chama.
Tukumbuke kuwa hayo yalitendwa na watu au mtu aliyeko ndani ya chama , na si mtu mdogo.
Kuna haja chama kurudishwa kwenye mikono ya wenyewe wananchi.
CCM isiwe state apparatus.
Polepole anaweza kuwa makamu wa rais maana ni kijana ni rahisi hata kumtuma pili ..ana uwezo mkubwa wa kusimamia mambo
 
Back
Top Bottom