Liswemwalo lipo: Je, ni kweli kuna uchotwaji wa kutisha wa pesa na madini huko BoT?

Manzile

JF-Expert Member
Apr 23, 2020
310
1,000
Wakuu habari zenu,
R.I.P jemedali na mbabe wa vita JPM.

Kumekuwa na habari zikizunguka mtandaoni siku nyingi kabla hata ya Rais kutangazwa kifo, kwamba huko benki Kuu yetu ya Taifa kuna watu wamekwapua pesa na madini.

Hiki kilikuwa kipindi ambacho tetesi zimezagaa kwamba Rais anaumwa na baadae zikaenea kwamba ameaga dunia kabla mamlaka husika ya serikali kuthibisha.

Hatimaye, Serikali ikathibitisha Rais ameaga dunia, na tayari tumezika cha kushangaza leo CAG na TAKUKURU wametoa ripoti zao mbele ya Rais mpya mama Samia....Na mama ameagiza uchunguzi ufanyike BOT kuanzia january mpaka march 2021.

Je, mama kanusa harufu ya hatari kama taarifa zinavyosambaa mtandaoni kwa mda mrefu sasa?

Na kwanini iwe january mpaka march? Hapa ndio napata ukakasi zaidi..maana kipindi hiki ndio hali ya Rais JPM ilianza kuteteleka na hatimaye uvumi wa kupora pesa BOT kwa kufoji sign yake ukazagaa...

Kama ni kweli, awamu iliyopita inaweza kuwa na madudu mengi zaidi..

Tusubiri muda haujawahi kuongopa.
 

mbwe

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
471
1,000
Hv nyiny mnafikir BOT ni CRDB eeh ila taasisi nyet bila wakubwa hupig niliwah ingia mule ndan aiseee kila kona camera
Ogopa kitu technology ndugu ,Sasa kamera kitu gani kwa wataalamu wa kuiba? Kwamba haiwezekan kuzima kwa muda hizo kamera na kufanya tukio?huo mchongo lazima wawe na IT aliyebobea kwenye maswala hayo ,sasa Kama watu wanaweza foji sahihi ya jiwe sembuse vikamera vya cctv
 
  • Love
Reactions: BAK

Pendael24

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
3,817
2,000
Ni kiasi kikubwa Sana Cha fedha haswa kwa nyakati hizi ambapo hela imekua ngumu kupatikana.
Vyovyote iwavyo wizi serikalini sio wa kuishi leo Wala kesho, muhimu Ni kuiba kwa tafsida na sio kukwapua!
 

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,542
2,000
Ogopa kitu technology ndugu ,Sasa kamera kitu gani kwa wataalamu wa kuiba? Kwamba haiwezekan kuzima kwa muda hizo kamera na kufanya tukio?huo mchongo lazima wawe na IT aliyebobea kwenye maswala hayo ,sasa Kama watu wanaweza foji sahihi ya jiwe sembuse vikamera vya cctv
Pale kuna mpka sensor na mpaka uzime jzo camera basi ni lazma uhack system zao za ulinzi sain kitu gan ndugu yngu watu computer zinaweza kufoji shida ni system ya fedha ni database tupu bila kuhack system ni kax bure ukifoji sain lazima udakwe mfano mm cheque book zote za bosi wangu najua anapoziweka naweza kuzijaza na nikapiga muhur wa kampuni shoda inakuja kwenye system
 

big IQ

JF-Expert Member
Dec 16, 2012
435
1,000
Taarifa Raisi alikuwa nazo hata kabla ya kusambaa mitandaoni,hiyo ndo raha ya kuufanya uraisi kama taasisi na sio one man army
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom