Bashiru Ally aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi tarehe 27 February mwaka huu, leo ni siku ya 32 tangu aapishwe kuwa KMK na Hayati Dr. JPM (R.I.P).
Ametumikia nafasi hiyo kwa mwezi mmoja tu.
Kabla ya uteuzi huo Dr. Bashiru alikuwa Katibu Mkuu wa CCM tangu Mwaka 2018.
Dr. Bashiru alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM alijigamba kuwa hiyo ndiyo nafasi yake kubwa kuitumikia na kamwe hatokubali nafasi yoyote zaidi ya hiyo.
Hata hivyo baada ya kuteuliwa kuwa KMK hakukataa uteuzi huo hadharani kama alivyoahidi. Huenda ulikataa uteuzi huo faraghani. Kama hakukataa huo uteuzi sirini au hadharani basi Mungu alitaka kukukumbusha kauli yake.
Tunakosea sana tunaposaliti kauli zetu wenyewe tena tunazozitoa mbele za Watu.
Hakika Mungu hadhihakiwi hata siku moja.