Katika hali ya kushangaza leo asubuhui katika kipindi cha mahojiano channel ten,mgeni alikuwa ni Asofu Erasto wa Kanisa fulani la kiroho.Yeye alikuwa anawakosoa maaskofu waliotoa tamko kuhusu waumini kutopigia kura katiba pendekezwa.
Kwa maoni yake viongozi wa dini hawakutakiwa kabisa kujihusisha na siasa,na katika maongezi yake ilionekana wazi kuwa ana chuki binafsi na Kanisa Katoliki.Hata hivyo kitu kilichovutia katika maongezi hayo ni pale wasikilizaji walipoanza kuchangia kwa njia ya simu.
Humphrey polepole pamoja na kumfafanulia kuwa haikuwa hoja ya kanisa Katoliki peke yao,yeye aliendelea kulishambulia kanisa ilo,pia juu ya hoja ya Humphrey kuwa kuna viongozi wa dini wanapewa bahasha yeye alikanusha na kudai kuwa hata yeye anasingiziwa kuwa kapewa milioni 200 wakati sio kweli.
Mchangiaji aliyejitanabaisha kwa jina la Mchunga alimpa kavukavu kuwa kama kweli ana dhamira safi anaposema viongozi wa dini wasijihusishe na siasa basi akanushe kama uchaguzi uliopita hakugombea ubunge kwa tiketi ya CCM,hapo mate yalimkauka na akawa nakigugumizi cha ghafla,na alipobanwa sana akakiri kuwa kweli aligombea ubunge.
Nilipigwa na butwaa kwani hapo mwanzo nilidhani ni kweli yeye ni kiongozi wa dini anayechukia viongozi wa dini kujihusiha na siasa.Wito kwa wnegine: If you live in a glass house never throw stones to your neighbour.
Pia katika maelezo yake alitoa takwimu chonganishi juu ya idadi ya watanzania wa dini na madhehebu mbalimbali,ameulizwa hiyo sensa ya kidini aliifanya lini na wapi, akapata kigugumizi:wito,huu sio mwaka 47 unapokuja kuongea mbele ya vyombo vya habari inabidi ujipange sawasawa.