Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Kuzuia sherehe za Pasaka kwa namna yoyote ile ni kuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi.

Ipo tofauti ya imani na amri za jeshi la Polisi, kuingilia Uhuru wa kuabudu ni kuingilia imani za watu. Wapo watu wana sherehe zao tusiwalazimishe waache kukaa na kusherekea.

Kuomboleza iwe Kati ya mtu na mtu.
 
Kuzuia sherehe za Pqsaka kwa namna yoyote ile nikuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra Ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi.


Ipo tofauti ya imani na amri za jeshi la Polisi, kuingilia Uhuru wa kuabudu ni kuingilia imani za watu. Wapo watu wanasherehe zao tusiwalazimishe waache kukaa na kusherekea. Kuomboleza iwe Kati ya mtu na mtu
Utawala wa hovyo kabisa
 
Bado vichwa vya polisi vimeganda wanaogoapa jamaa atawapigia simu awaulize kwanini hawaja washughulikia watu.

Kumbe jamaa kesha pita hivi.

Ni mambo ya aibu kuingilia imani. Yaani Yesu mkombozi wangu kafufuka mimi nisifurahi?

Ati niomboleze mzee wa kutufokea kafa? Non sense.
 
Bado vichwa vya polisi vimeganda wanaogoapa jamaa atawapigia simu awaulize kwanini hawaja washughulikia watu..
Kumbe jamaa kesha pita hivi.
Ni mambo ya aibu kuingilia imani. Yaani Yesu mkombozi wangu kafufuka mimi nisifurahi??
Ati niomboleze mzee wa kutufokea kafa? Non sense.
Tena mambo ya kishenzi kabisa, imani za watu zinaanza kupangiwa namna ya kusherekea?
 
Kwani ukienda Kanisani Kusali na kurejea Kwako kisha ule Bata zote na Mkeo na Familia yako haitoshi hadi Ukazurule na Kupuyanga?

Leo Polisi wamelizuia hili kwa Maslahi mapana ya Usalama wako na hasa kutokana na Janga hili mnawaona wabaya au wanaingilia Haki za Kiimani.

Kwani hizo nchi zingine tena Kubwa tu Kiuchumi na Kijamii ambazo zimepewa Maelekezo haya haya au na zaidi Wao hawana Imani au hawajui Haki zao?

Kwani Polisi imewaambieni kuwa Zuio hili litakuwa ni endelevu kwa Sherehe nyingi tu zijazo za Kiimani hapa nchini?

Na ndiyo nyie nyie Wanafiki wakubwa Siku likitokea la kutokea mnakimbilia humu Mitandaoni kuilaumu Serikali na Jeshi la Polisi kwa Kutowajibika na Kusababisha Maafa makubwa kutokea.

Tena Mheshimiwa Rais Mama Samia akisema amridhishe kila Mtanzania atashindwa bali atupeleke hivi hivi tu Kikamanda ( Kijeshi ) mpaka tunyooke Kudadadeki.

Wakristo ( nami ni Mkristo vile vile ) tusianze sasa kutaka Kumpandikiza Mbegu ya Udini Rais Mama Samia Suluhu Hassan eti kwakuwa tu Yeye ni Muislamu na aonekane mbaya Kwetu na tumchukie.

Kama kweli Jeshi la Polisi wametoa Tangazo la Katazo hili Mimi All - Rounder nawaunga mkono 100% na tena ikiwezekana wale watakaokaidi Wakamatwe na Wapigwe sana Virungu na Warukishwe Vichurachura hadi Wakome.

Waswahili tuacheni Unafiki na Ubinafsi.
 
No_Hate_No_Fear_on_Instagram:_“#HABARI_Jeshi_la_Polisi_nchini_limesema_halitegemei_kuona_shere...jpg
 
Kuzuia sherehe za Pqsaka kwa namna yoyote ile nikuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra Ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi.


Ipo tofauti ya imani na amri za jeshi la Polisi, kuingilia Uhuru wa kuabudu ni kuingilia imani za watu. Wapo watu wanasherehe zao tusiwalazimishe waache kukaa na kusherekea. Kuomboleza iwe Kati ya mtu na mtu
Upo vizuri sana mkuu Kamugisha.
 
Back
Top Bottom