Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini. Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa...
6 Reactions
72 Replies
4K Views
Umadhubuti wa Taifa unatokana na kukamilika kwa jamii. Ukamilifu wa Taifa unatokana na uwepo wa watu wenye fikra, uwezo, vipaji na weledi wa aina mbalimbali. Kila mmoja katika mchanganyiko huo wa...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Mimi ni mtu ninayefuata falsafa ya ‘keep it simple’. Sikuona sababu yoyote ile ya Rais Samia kulivunja baraza lote la mawaziri na kulisuka upya. Mabadiliko madogo kama aliyoyafanya ni ya kawaida...
9 Reactions
94 Replies
6K Views
Hii trend ya hivi sasa ya gharama za vifurushi hatukuiona ikipigiwa kelele awamu iliyopita, lakini ninyi mlikuwa hapohapo kwenye nafasi mlizonazo Sasa. Ukiona kelele zinakuja kwa kiasi hiki ndani...
9 Reactions
68 Replies
6K Views
WanaJF, Niliposoma katiba ya Kaji waliomba ilichagiza Zaidi wateule wa Rais watokane Na mikoa yao. Hii inaleta maana kwamba Ni rahisi wananchi wa sehemu hiyo kupata mwakilishi mzuri Na Kwa kuwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Haya alifanya JPM najua ilikuwa ni utashi na sio sheria sasa ipitishwe rasmi. 1: Hakuna mikutano ya hadhara ya kisiasa kabla ya kampeni. Tuwaache waliochaguliwa katika maeneo yao ndio wawe...
2 Reactions
8 Replies
967 Views
PUMZIKA KWA AMANI MONSINYORI DEOGRATIAS HUKUMU MBIKU[emoji120][emoji120] Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya...
6 Reactions
52 Replies
11K Views
Ni kweli tupo kwenye ulimwengu wa kidigital, hivyo huwezi kuwakwepa watumiaji wa mitandao. Maana mitandao kama JF huku watu wanatiririka ukweli tofauti na kwenye magazeti. Lakini hii sio sababu...
9 Reactions
42 Replies
5K Views
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, yuko tayari kumuunga mkono Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, endapo serikali yake itahakikisha vyama vya siasa na vyombo vya habari...
2 Reactions
70 Replies
7K Views
Miaka sita (6) iliyopita mfanyabiashara nguli wa Tanzania marehemu Ali Mufuluki katika kipindi cha TED talk show, alikuja na mada fikirishi ikiwa na title ya Afrika is really rising...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo Babu Tale alisema alipokutana na hayati...
8 Reactions
29 Replies
6K Views
Unajua nimekuwa nikatafakari sana mashambulizi yetu hapa. Halafu yule mama Anne Malecela naye amenifanya nizame kwenye fikra zaidi. Kwa kweli tumekuwa mahodari sana wa kuonesha matatizo yetu na...
5 Reactions
319 Replies
38K Views
Tangu utawala wa Mh. Hayati Dr. John Magufuli uingie mwaka 2015 huo ndio ukawa mwisho wa ajira kwa walimu wa Arts. Kwa heshima kubwa na taadhima ninakuomba Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Muda ni wakati mzuri sana, na katika vitu tunavyotakiwa kucheza navyo kwa Akili ni Muda, Muda unaweza kukupandisha au kukushusha kwa sekunde tu "Refer kwa Bashiru" Ile Praise team iliyokuwa...
18 Reactions
62 Replies
5K Views
TUZO MAALUMU YA WANANCHI ITOLEWE KWA RAIS MAGUFULI KWA KUTETEA WALE WALIO " WANYONGE" Hakuna ubishi kuwa Rais Magufuli ameamua kujitoa kwa dhati kuwatetea wale walio "Wanyonge" na amethibitisha...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Taifa letu lipo awamu ya sita sasa. Kila awamu ilifanya mengi mazuri na changamoto zake. Awamu ya 1-3 ziliweka misingi imara zilizofuata zilipaswa kuonyesha ustawi mkubwa zaidi Awamu ya 4 ya JK...
60 Reactions
172 Replies
10K Views
Kwa jinsi navyoona mwelekeo wa serikali ya Mheshimiwa. Mama Samia Suluhu Hassan ni wazi anataka kufanya mabadiliko ya kiuchumi, sasa tumsaidie ili tuwezekuwa na diplomasia ya uchumi wa kweli na...
1 Reactions
1 Replies
955 Views
Asalaam aleykum! Kwa takribani miongo minne (4) BAKWATA ilikuwa tete inatetemeka.Natambua kazi nzuri iliyofanywa na viongozi waliomtangulia marehemu Dr.Magufuli. Itoshe tu kusema takribani miaka...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Nimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake. Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual...
34 Reactions
97 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…