Mbunge Taletale: Nilimwambia Rais Magufuli (RIP) nina elimu ya Masters!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,904
141,853
Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo

Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters.

Source Eatv

My take; Masihara tunapoongea na viongozi siyo mazuri unaweza kuteuliwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wewe na huyu kilaza Babu Tale aliyetangulia hajulikani,haya ndiyo Utopolo gani huu unatuwekea hapa?
 
Duhh huyu tale namjua tangu dogo mama yake tulikuwa kazini wote, dada yake alikuwa mzuri sana nilikuwa namsarandia alikuja kufa ghafla.

Kama kweli amejiendeleza sijui labda ila nilishangaa kwenye ma story ile kuchomekea maneno ya kiingereza kwa saaaana ha ha ha, sijui labda kasoma soma mitaani. Ndio viongozi wetu sasa.
 
Wewe na huyu kilaza Babu Tale aliyetangulia hajulikani,haya ndiyo Utopolo gani huu unatuwekea hapa?
Babu Tale sio kilaza kivile uswahili pia unamponza,
kile kipindi kule ITV cha watoto alikiendesha vizuri sana na jina la babu limedumu mpaka leo alilipatia hapo ITV.

Jina la Hamis wachache wanalifahamu.
 
Masters ya mambo ya uswahili pengine...msikariri unaweza ukamasta hata kuloga ili update pesa!!
 
Tunamcheka babu tale hajasoma... ila wengi wetu hatuma hata robo ya mafanikio yake..

Amepiga sana hela kwa ku manage wasanii.. pia sasa anapiga maposho bungeni...

Sisi tunaomcheka tujiulize elimi yetu inatusaidia nini?
 
Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo

Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters.

Source Eatv

My take; Masihara tunapoongea na viongozi siyo mazuri unaweza kuteuliwa.

Maendeleo hayana vyama!

Hata Mimi nilikuwa nashangaa darasa la saba gani anaweza kuandaa mipango mikubwa kama ile ya "FINANCE AND BUILDING". Akisema ana MASTAZ naamini kabisa.
 
Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo

Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters.

Source Eatv

My take; Masihara tunapoongea na viongozi siyo mazuri unaweza kuteuliwa.

Maendeleo hayana vyama!
Haina tatizo kwani mhusika alisema wampe watu wanaojua kusoma na kuandika tu.
 
Back
Top Bottom