Zile Nyakati za 'Kusifu na Kuabudu' zimeenda na mwendazake

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Muda ni wakati mzuri sana, na katika vitu tunavyotakiwa kucheza navyo kwa Akili ni Muda,

Muda unaweza kukupandisha au kukushusha kwa sekunde tu "Refer kwa Bashiru"

Ile Praise team iliyokuwa inashinda kwa kusifu siku zote naona kwa sasa imekufa kibudu,
Muda umeamua hatma yao,

Tulikuwa na Kaka yetu mpendwa humu Ndugu pascal mayalla,
"God forbid kwa kumfanya mfano" kaka yetu alikuwa kichwa kweli kweli humu jamvini lakini nae kwa bahati mbaya upepo wa Praise Team ulimkumba,

Ndugu yetu aliacha kabisa kukosoa, kutoa ushauri kwenye mabandiko yake kama alivyokuwa anafanya kabla ya Mwendazake kuingia madarakani,( "Najua lile swali alilomuuliza mwendazake pale ikulu ndio lililomponza na Kuitwa Njaa yaani Mayalla)simlaumu kwa sababu alikuwa anatetea ulaji wake familia isilale njaa,

Tunashukuru muda nao kwa sasa umeamua na Tunamshukuru mungu kaka, Ndugu yetu pascal mayalla amerudi kwenye Common sense yake ya kutuelimisha kukosoa, na kuelemisha pale inapobidi,

Nimesoma bandiko lake la leo kumuhusu Mh Raisi wetu Mama Samia Suluhu Hasan madam President,
Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri,
Sio mbaya namuona kwenye ule muelekeo/ Njia tuliyomzoea kupita,

"PRAISE TEAM" Kila mnapopraise na kusifu kutetea matumbo yenu huku mkijua wazi kuna watu wengine wanateseka na mnashindwa kusema kweli basi Mjue kuna kitu kinaitwa Muda siku zote Haujawahi kusimama.

Ni Nyakati lazima huja japo Kwa kuchelewa.


Cc Zero iQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli muda nimwalimu mzuli Sana lakini wanatafuta namna yakujua mama anamapungu gani kibaya zaidi mama siomuongeaji wamambo yakipuuzi Kama yule mwendazake kwaiyo ningumu kumjua anamapufu gani
Sasa hivi wamebakia kama watoto yatima
 
Back
Top Bottom