Kheri James ameomba radhi kwa mambo/makosa/ mabaya gani aliyoyafanya/aliyoshiriki kuyafanya au aliyoyajua yamefanyika?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,192
25,493
Nimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.

Nikasoma tena humuhumu kuwa Kheri James huyohuyo amesema kuwa msamaha aliouomba ni wake binafsi na si wa UVCCM kama taasisi.

Kuomba radhi ni jambo la kiungwana na kuungwa mkono. Kuomba radhi hufuatiwa na kukubaliwa au kukataliwa kwa radhi husika. Lakini, radhi lazima ianike mambo mahsusi yahusuyo radhi hiyo.

Kwa waliomsikia Kheri James akizungumza au kusoma andiko lake halisi, ameainisha mambo gani hasa aliyoyaombea radhi? Mabaya/makosa/maovu gani ambayo ameyaombea radhi?
 
Huenda lile tatizo lililokuja kumpata Abdallah Zombe baada ya mauaji ya wale Wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge, la kuweweseka na kuongea mwenyewe njiani kama mwendawazimu! limeanza kumnyemelea na yeye.
 
Aliona vijana wengine ni takataka akawadharau na kuwatolea maneno ya kejeli sababu alijivunia madaraka ya mjomba wake na kuona wengine si watu.

Sasa anaomba radhi kwa matusi alivyokuwa anatukana wenzake alijivunia mjomba wake.
 
Nimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.

Nikasoma tena humuhumu kuwa Kheri James huyohuyo amesema kuwa msamaha aliouomba ni wake binafsi na si wa UVCCM kama taasisi.

Kuomba radhi ni jambo la kiungwana na kuungwa mkono. Kuomba radhi hufuatiwa na kukubaliwa au kukataliwa kwa radhi husika. Lakini, radhi lazima ianike mambo mahsusi yahusuyo radhi hiyo.

Kwa waliomsikia Kheri James akizungumza au kusoma andiko lake halisi, ameainisha mambo gani hasa aliyoyaombea radhi? Mabaya/makosa/maovu gani ambayo ameyaombea radhi?

1. Kupotea kwa Ben Saanane.
2. Kupotea kwa Azory Gwanda
3. Kupigwa Risasi Tundu Lissu
4. Kuteka na Kutesa sana Watesi
5. Kutishia Maisha ya Wakosoaji
6. Maiti nyingi kuelea Ufukweni
7. Kuwamaliza Wapinzani nchini

Kwa Uratibu Mkuu wa aliyelala Kimoja.
 
Msamaha uambatane na kuweka wazi jina lake halisi ni nani, ilikuaje akajibatiza tunaomjua hilo sio jina lake.
 
Nimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.

Nikasoma tena humuhumu kuwa Kheri James huyohuyo amesema kuwa msamaha aliouomba ni wake binafsi na si wa UVCCM kama taasisi.

Kuomba radhi ni jambo la kiungwana na kuungwa mkono. Kuomba radhi hufuatiwa na kukubaliwa au kukataliwa kwa radhi husika. Lakini, radhi lazima ianike mambo mahsusi yahusuyo radhi hiyo.

Kwa waliomsikia Kheri James akizungumza au kusoma andiko lake halisi, ameainisha mambo gani hasa aliyoyaombea radhi? Mabaya/makosa/maovu gani ambayo ameyaombea radhi?
Makosa yake yote yanajulikana hivyo hakuna haja ya kuyataja
 
Aliona vijana wengine ni takataka akawadharau na kuwatolea maneno ya kejeli sababu alijivunia madaraka ya mjomba wake na kuona wengine si watu.
Sasa anaomba radhi kwa matusi alivyokuwa anatukana wenzake alijivunia mjomba wake.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hata wewe unasema haya? Leo siku ya nne tu tangu tuzike ujue
 
Nimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan.

Nikasoma tena humuhumu kuwa Kheri James huyohuyo amesema kuwa msamaha aliouomba ni wake binafsi na si wa UVCCM kama taasisi.

Kuomba radhi ni jambo la kiungwana na kuungwa mkono. Kuomba radhi hufuatiwa na kukubaliwa au kukataliwa kwa radhi husika. Lakini, radhi lazima ianike mambo mahsusi yahusuyo radhi hiyo.

Kwa waliomsikia Kheri James akizungumza au kusoma andiko lake halisi, ameainisha mambo gani hasa aliyoyaombea radhi? Mabaya/makosa/maovu gani ambayo ameyaombea radhi?
Hivi kwa issue za kina Alphonce Mawazo, Azirony Gwanda, Ben sanane kutekwa kwa Roma, mdude etc anadhani anaweza eleweka kirahisi kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom