Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Nondo na Zito punguzeni speed maana kila mtu anajua Kigoma ilikuwa nyuma kwa miaka miaka mingi na Kuna agenda mahususi za mkoa huo. Jana Zitto amesimamia kidete suala ya Uraia akiwa chini ya cover ya hoja iliyoletwa ya Uraia wa Dr. Mpango. It's true Kigoma Kuna changamoto ya wakaazi wengi kukosa au kutumbuliwa kwa kuambiwa si raia na Ni hoja ya muda mrefu sana. Zitto kuchukulia au kuamini Makamu wa Rais anaweza akaondoa changamoto hii nikujidanganya kwa sababu ni ukweli ulio wazi kwamba familia zilizochanganya damu ni ninyi hivyo kila familia inaathiriwa na hoja hii ya Uraia.
Serikali haiwezi kuichukulia hii hoja jumla jumla ,italishughulikia case b case kwa sababu uraia siyo family matter it's individual matter. Nimwombe zitto asigeneralize atambue wapo wageni wengi waliojificha kwenye mwamvuli wa Watanzania lazima wachambuliwe.
Alipomaliza Zitto mapa akaibuka Nondo na hoja ileile ila akaiwasilisha kupitia tatizo la vitambulisho vya Taifa. Wakati anazungumzia tatizo la vitambulisho akarejea kulekule kwamba Mikoa ya mpakani inashida akiitaja Kigoma kama mfano.
Hii speed haikuwa kuonekana kabla ya uteuzi wa Makamu wa Rais, maana yake nikumpa agenda Dr. Mpango aisimamie kwa madaraka yake.
Naomba bila kupindisha maneno nimwombe Mhe. Mpango ajitenge na mtego huu, suala la Uraia Ni suala la usalama na linagusa nafsi moja moja si jamii. Haliwezi kufanyiwa kazi kisiasa maana linaweza kulipasua taifa. Kagera tumewahi kuwa na mkakati huu wakupeana kazi kwa mkoa na mwisho wake waliingia wasio Wana kagera wakapata ajira na leo wamejazana maofisini. Tuliwadhamini tukidanganya ni wanetu na ndugu zetu huku tukijua hawakuwa ndugu zetu bali walikuja kwa sababu tinafanana.
Tusiingilie kazi ya dola pls