Kwanini kikwete asipewe uraisi ,ikiwezekana atawale milele ..

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,162
21,295
Sijui sisi watanzania tunakosea wapi ,tuache kusimamia mambo ambayo hayana masilahi kwa taifa kama mtu anauwezo kwanini asipewe nchi ...

Kikwete ni moja ya maraisi ambao wanajua watanzania wanataka nini, anajua uchumi halisi ,achana na uchumi Wa kwenye karatasi ..

Kwanini Huyu Mtu asipewe nchi ? Kuhusu swala LA katiba sio kesi kabisa ...

Jk rudi madarakani baba
f9c8f6f8c0604cfe9a90ea56ee86ca3f.jpg
 
Sitasahau enzi za huyu mzee jamani..
Vijana walisoma bila stress,boom likichelewa wakiandamana kidogo tu limekuja.
Wafanyakazi walikuwa na furaha,mishahara vyeo vilipanda kwa wakati
Starehe kila kona,weekend ikifika kula mtu havungi.
Wema sepetu alirusha manoti mpaka kwenye vigodoro mtaani hahahaa....Leo wema harushi hata elfu kumi.
 
Sijui sisi watanzania tunakosea wapi ,tuache kusimamia mambo ambayo hayana masilahi kwa taifa kama mtu anauwezo kwanini asipewe nchi ...

Kikwete ni moja ya maraisi ambao wanajua watanzania wanataka nini, anajua uchumi halisi ,achana na uchumi Wa kwenye karatasi ..

Kwanini Huyu Mtu asipewe nchi ? Kuhusu swala LA katiba sio kesi kabisa ...

Jk rudi madarakani babaView attachment 1743767
Upo sahihi.
Ila nimegundua akili yako inajiendesha kwa hasara ya billion 60 kwa mwaka
 
Upo kwenye kiyoyozi unakula kodi zetu ..

Umekalisha makalio humo...

Lazima hio kichwa yako isiwe na akili ..
Uzi huu unahusu kiongozi wa nchi tena kiongozi Mkuu ila unaandika maandiko yenye ukakasi kiasi hichi!! Hivi hujaona sehemu nyingine ya kuweka hayo makalio hadi uje kuyaweka kwenye uzi unaohusu Rais.

Akili yako ifungwe booster kama utaridhia tuweke tangazo la msaada kwenye gazeti la serikali ili upate msaada wa kimatibabu.
 
Jk ndio raisi wangu Bora kati ya walioniongoza licha ya mapungufu yake machache.
Anajali
Ana utu
Anaheshimu
Msikivu
Sio mjivuni ata kuongea nae kawaida tu
 
Sawa mkuu

ila inaonekana kichwani mwako ni mweupe kwanini wasikurudishie akili yako uliyozaliwa nao ...
wakizitoa za sasa nilizo nazo nilizo kalilishwa theory za kina Newton, basi nitabaki na akili zangu timamu kama Einstein
 
Wewe naye upeo wako ni mdogo sana! Unashindwa kujua hiyo tweet ni fake!
Sijui sisi watanzania tunakosea wapi ,tuache kusimamia mambo ambayo hayana masilahi kwa taifa kama mtu anauwezo kwanini asipewe nchi ...

Kikwete ni moja ya maraisi ambao wanajua watanzania wanataka nini, anajua uchumi halisi ,achana na uchumi Wa kwenye karatasi ..

Kwanini Huyu Mtu asipewe nchi ? Kuhusu swala LA katiba sio kesi kabisa ...

Jk rudi madarakani babaView attachment 1743767
 
Kikwete ni kama amebaki Rais tu
Magufuli kaja na yake kapita
Samia influence ya Kikwete bado kubwa..

Ni Kama Rais symbolic...

Magufuli na Samia wote hawamfikii Kikwete kinyota...

Influence yake bado kubwa sana
 
Sijui sisi watanzania tunakosea wapi ,tuache kusimamia mambo ambayo hayana masilahi kwa taifa kama mtu anauwezo kwanini asipewe nchi ...

Kikwete ni moja ya maraisi ambao wanajua watanzania wanataka nini, anajua uchumi halisi ,achana na uchumi Wa kwenye karatasi ..

Kwanini Huyu Mtu asipewe nchi ? Kuhusu swala LA katiba sio kesi kabisa ...

Jk rudi madarakani babaView attachment 1743767
Kikwete hawezi kusema hivyo hadharani.

Hiyo siyo Akaunti ya Kikwete.
 
Back
Top Bottom