UTALII: Seychelles na Zanzibar "zaigombea" Tanganyika!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UTALII: Seychelles na Zanzibar "zaigombea" Tanganyika!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, Feb 8, 2012.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,958
  Trophy Points: 280
  ..jamani kwanza utalii si suala la muungano.

  ..Zanzibar wamekuja juu baada ya Tanganyika, na Seychelles, kuingia mkataba wa ku-promote vivutio vya utalii kwa pamoja.

  ..Tanganyika tumekuwa tukijitangaza pamoja na Zanzibar but things have not been working out that well.

  ..Seychelles inapokea watalii wengi kuliko Zanzibar.

  ..pia Zanzibar kutokana na utamaduni wao hawapendelei mambo ya utalii.

  ..Je, kuna ubaya wowote ule kwa Tanganyika kujiunga na Seychelles ktk kutangaza vivutio vya utalii??

  Mainland, Seychelles spark anger in Zanzibar

  Thursday, 16 December 2010 22:36

  By The Citizen Reporter
  Dar es Salaam. Tourism investors in Zanzibar are up in arms over a reported memorandum of understanding (MoU) between Tanzania and Seychelles to promote each country's tourism attractions. They claim that this would drive tourists from the island and, through the Zanzibar Association of Tourism Investors (Zati), they now plan to table an official protest to the government. This would call for the rescinding of the MoU that was approved through the Tanzania Tourist Board (TTB).
  Yesterday The Citizen learnt that the brewing controversy will be subject to high level discussions at two different meetings. One is by the Tourism Confederation of Tanzania (TCT) scheduled for today in Dar es Salaam while the other will be held next Tuesday by the TTB.

  Newly-elected Zati chairman Abdulsanad Said and TTB managing director Aloyce Nzuki both separately confirmed the said meetings. "Yes, we will be raising this matter because it is serious as far as marketing Zanzibar as a destination is concerned," said Mr Said in a telephone interview.
  According to Zati, TTB overlooked Zanzibar's fundamental interests in entering a two-way marketing deal with Seychelles that, if not rescinded, would hurt local investors' efforts to attract tourists to the Isle's beaches against the premium offered by competing beaches in Seychelles.
  "We consider the MoU as ill-conceived and detrimental to both Tanzania mainland and Zanzibar beach tourism and every effort is to be made to undo this agreement," says a position paper drawn by Zati and seen by The Citizen.
  The stiff opposition by Zanzibar arises from the argument that Seychelles wanted to ride on Tanzania's rich wildlife advantage to sell its beaches to tourists looking for a combined beach-bush package. This, Zati claimed, will be at the expense of Zanzibar's own strongest selling point.
  The MoU, it said, did not involve stakeholders in Zanzibar and they learnt about it through the media. It also said Seychelles was drumming up raising business relations with Tanzania as a driving point.

  "If our understanding of the MoU is correct, and we are also looking at the possibility of a mooted airline link-up between Kilimanjaro and Seychelles, then the TTB is effectively announcing to the public and the tourism industry at large that it is advocating the use of Seychelles as an alternative beach product to its own products, which means Zanzibar as well as the mainland tourism product," the Zati paper says.
  Yesterday, Dr Nzuki said he could not discuss the controversy on the phone because "this is a sensitive matter." He, however, said the TTB was in cordial working relations with its counterpart in Zanzibar. "All the parties will on Tuesday attend a meeting on this matter after which we can be able to issue a statement," the TTB boss told The Citizen.
  Asked why Zanzibar does not see any positive spill over from the deal, Mr Said said Zati members consider such an agreement as self-defeating. "We don't accept it because it is not politically correct, and how come the government wants to shoot itself on the foot and kill its own brother?
  "It is difficult to understand how they bought the idea because Kenya Airways has direct flights to Seychelles and Zanzibar. We have not heard such an MoU between the two foreign countries, yet Tanzania is now granting a direct licence to kill itself."

  Like TTB, Seychelles tourism authorities have mounted aggressive campaigns to sell their destinations, and reached out to Tanzania as part of efforts to tap into the popular game viewing segment.
  Last Month the Seychelles Consul in Dar es Salaam, Ms Maryvonne Pool, who is also its tourism ambassador, hosted the Seychelles Week in Tanzania. During the event some contents of the MoU that was agreed upon in June first emerged. The group managing director and CEO of Tanzania's Precision Air, Mr Alfonso Kioko, who was in attendance revealed the airline will soon launch direct flights to the Seychelles capital, Victoria.
  According to Ms Pool, Tanzania and the Seychelles are planning a "twin-centre holiday" approach which would allow tourists to visit a number of destinations within the same trip.

  "The Seychelles Tourism Board is planning this synergy with the aim of encouraging potential travellers to enjoy a safari and beach holiday in one package," the board director for Africa and America, Mr David Germain, said last month.
  THE CITIZEN
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,754
  Likes Received: 6,029
  Trophy Points: 280

  Hiyo kitu kwenye
  red nilikuwa nadhani ni special kati ya Kanisa na Serikali ya JMT pekee! Kumbe hata kimataifa ina-apply? MS, FF karibuni kwenye uwanja muupendao wa MoU.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Mou
  ni kitu kipo na seriali ina Mou nyingi. Hata kabla ya Mou ya kanisa JMT walikuwa tayari wana Mou na aghakhan.

  Kifupi Mou si katiba wala mkataba bali ni common understanding ya pande mbili kuendesha jambo fulani ambalo kila upande una interest.

  Sasa ukiona mtu yule yule kwenye thread moja anasifia serikali ya JK au CCM kwenye afya kwenye thread nyingine anapinga MOU basi hana hoja
   
 4. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Uchokozi tu, unapenda kumchokoza FF "and the likes" wa watu..:poa:poa
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watetezi wa MoU mara nyingi ni wakristo, ni vigumu sana kwa wakristo kukosoa uwizi unaofanywa na kanisa hata kama unawaumiza wananchi wa kawaida..

  MoU ya kanisa na serikali ni sawa na RICHMOND lakini sector na mhusika tofauti. tutafika tu dhulma haidumu, lakini hatuwezi kuwategemea wakristo hawawezi kutetea wananchi zaidi ya KANISA..projects
   
 6. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Hapo red mjomba sikubaliani na wewe,sio kwamba zanzibar hawapendelei utalii bali wanataka utalii ambao unaheshimu utamaduni wa zanzibar kama vile nchi nyengine za kislama ambazo zina utamaduni wake.

  Tatizo serikali imeshindwa kuweka mikakati kwa wakezajio katika sector ya utalii kulinda heshima ya zanzibar na utamaduni wake,huo ubaradhuli unaofanyika katika utalii ni aibu kwa nchi kama zanzibar ambayo inajulana asimia 99 ni waislamu.
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,958
  Trophy Points: 280
  GHIBUU,

  ..mimi nadhani waZNZ hamko-sure na mnachokitaka.

  ..yaani kuna contradictions nyingi sana katika mambo mnayoyasema.

  ..kuna kipindi mlikuwa mnataka kuanzisha masuala ya Off shore banking, sasa sijui kama mambo hayo yanaendana na imani yenu ambayo inaelekeza muwe na Islamic banking.

  ..kwenye utalii mnapinga watalii kuji-expose wakiwa mitaani na kwenye fukwe za bahari, lakini mbona USHOGA ni kama umehalalishwa kwa wenyeji wa visiwa vyenu?

  ..tukirudi kwenye mada, sioni kwanini ZNZ nayo isiingie mikataba ya mashirika ya utalii ya Kenya,Uganda,Rwanda, etc etc na kujitangaza kwa pamoja.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  nini kwenye utalii hata muungano heri tungeungana na seychelles kuliko pemba na unguja. Wao kila kitu cha muungano wanalalama, pia chao chao,chetu chao. Aaargh!
   
 9. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watu wa visiwa kwa kawaida ni wapiga makelele wazuri! Wao kila kitu ni kelele tu kiasi kwamba wakati mwingine wanajikuta hawaeleweki wanataka nini na nini hawataki. Seychelles imepiga hatua ktk masuala ya utalii, na inapata watalii wengi kweli kwa mwaka. Sasa kama Tanganyika inatafuta namna ya kuongeza idadi ya watalii wake kupitia Seychelles kuna ubaya gani??! Na hasa kama siyo suala la Muungano inakuwa ajabu zaidi kwa wao kulalamika.
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Topical wewe unaweza kusema mimi natteta Mu kw auwa ni mrstu . Je ni sawa kusema wewe unapinga MOu kwa uwa Ni Muislam. Tukienda huko tunakuwa tumeishiwa hoja.

  Nilichoandika hapo Kuwa
  • Mou sio katiba wala Mkataba. Ebu elewa maudhui ya MoU.
  • Kuna watu watasifia jambo fulani na wanapinga jambo fulani wakati kile anachosifia kwa namna mja ama nyingine kimewekzeana kwa sbabau ya kile anachopinga.
  Mfano Ni ukweli ulio wazi ila wengi hawaujui kuwa tanzania haipati watalii wa nje wengi wanakuja moja kwa moja. Wengi wa watalii wanaokuja Tanzania wanatoka au wanapitia Southa africa, Kenya na vsiwa kama Syechelies. So Tanzania inakuwa kama second destination. Tanzania bado hatujawa main destination ya utalii........

  Lakini tusivuruge hii mada Kuwa mada ya Mou ya Kanisa Hii ni mada ya Mou ya Nchi na nchi kuhusu utalii. Je ina faida au Hasara? Au tukairir kupinga tu kila kitu inchoitwa Mou bila hata kuona content.

  Cha kuangalia na kujiulzia hiyo Mou ikoje.
   
 11. T

  Topical JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwanza wewe ndio unataka kuharibu thread kutaka kujustify MoU ya kanisa na JMT mimi naipinga na wengi wetu tunaipinga kwasababu haina tija zaidi ya ulaji wa maaskofu na wanasiasa (wanaotetea ni wakristo kama wewe kwasababu kwasababu za kidini period)...kwasababu pesa hizo hakuna auditing inayofanywa either na kamati ya bunge au CAG!

  MoU kati ya serikali na serikali (states issues) iwe uchumi, utalii n.k inashida gani mkuu; mbona ndio namna ya ufanyanyaji kazi..MoU ya kibaguzi na bila uwajibikaji nani haina faida yeyote kwako uwe mkristo au muislam sana sana ni ulaji wa maaskofu na wanasiasa ..the richmond type..
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo huna shida na Mou ya Tanzania na syechelles hata bila kuiona ???!!! wala kujua kuna vidokezo gani .
  • Kama kuna hoja za kanisa ndani yake je.?
  • Mbona inaonekana upande mmoja wa muungano hawafurahishwi? Kwa nini? Wana hoja? au ndio zile zile za kupinga tu.
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  ngoja nikale nyama ya nguruwe damu iongezeke, kuna 'msabato' kaniomba nimtolee damu, blood group zetu zina-match
   
 14. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
   
Loading...