Uchaguzi UVCCM: Mjue kijana Thobias Mwesiga Richard

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Kwa ilipofikia Uvccm inaitaji Kijana aina ya Thobias Mwesiga Richard.

Kiujumla anafiti kuanzia kwenye umri kama kigezo kikuu cha Ugombea naye amekidhi takwa hilo.

Uwezo Wa kusimama na kujitoa kwa ajili ya Chama inanikumbusha 2015 pale ofisi ya Naibu katibu Mkuu ilipo mteua kuwa sehemu ya Timu ya kamati ya Taifa ya Uchaguzi.Tuna fahamu kuwa Uchaguzi juu ulikuwa mgumu lakin mawazo yake naye ni sehemu ya Ushindi Wa Rais wetu Magufuli.

Ushirikiano ni moja ya sifa za kiongozi kuwa karibu na watu wake Thobias Mwesiga Richard ni mtu aliye karibu na kila mtu kwani ndio maana hata alipoonyesha nia ya kugombea Uwenyekiti Vijana wengi wamefurahi na kumuunga mkono.

Jumuiya ili ifikie malengo lazima tupitia kwenye njia ya viongozi bora aina ya Thobias Mwesiga Richard.

Twende na Thobias Mwesiga Richard.
 
Ndiye mpwa wa Magufuli?hii nchi sasa ccm sasa imefichwa na magu



Swissme
 
Kumbe ni Kijana wa Rajabu Luhavi hatumpi kura, hawa wahaya hawafai asije akatufanya kama Jamal Malinzi alivyojaza ndugu TFF, aendelee na kazi yake ya usalama
 
Huyu kijana naona kala shavu, kateuliwa na Rais kuwa DG mpya wa Shirika la Maendeleo ya Petroli
 
Back
Top Bottom