Wananchi wa Kigoma msijishuku kubaguliwa mnapohojiwa uraia wenu

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,793
12,238
Kuna wananchi wenzetu wa asili ya mkoa wa Kigoma wametaharuki baada ya watu kuhoji uraia wa Dr. Mpango na kuona kama wanabaguliwa.

Hapana, ni jambo la kawaida kwani kuna watu wengi kutoka nchi jirani wanahamia Kigoma. Jambo linalotakiwa ni kujibu hoja mnazoulizwa kwa usahihi na siyo kuanza kuona kama mnabaguliwa na kutengwa. Uraia wa mtu ye yote nchini ni suala la usalama wa nchi na rasilimali zake.

Watu wanaohoji uraia wa Dr Mpango wako sahihi na mwacheni ajibu hoja na siyo ninyi wengine wenyeji wa Kigoma kuanza kumjibia. Ni hoja zake binafsi na yeye ndiye mwenye majibu na siyo ninyi. Kitendo cha baadhi ya wenyeji wa Kigoma kuanza kulalamika na kujenga hoja ya kubaguliwa kikabila halikubaliki. Ukabila au ukanda ni mambo ambayo hayatakiwi na ni ya kuyapiga vita kwa nguvu zetu zote.

Dr Mpango ameteuliwa kuwa makamu wa Rais hivyo wananchi wenzake tunatakiwa kumfahamu vizuri mwenzetu huyu na si vinginevyo. Usalama wa Tanzania kwanza!
 
Sasa huyu Edo Kumwembe na Chadema walitaka wana ccm wamchukie rais anayetokana na ccm?

Au anafikiri Rais Samia anatekeleza ilani ya Chadema?

Hii jamhuri ya twita inasikitisha sana
 
Unahoji uraia wa Dr Mpango kwa sababu tu anajua kucheza ngoma ya waha, kamuhoji basi na TID kwa kuwa anajua ku break down mmpe uraia wa USA...
Nyumbxxxxx wakubwa nyie.
Wacha kurusha ngumi hewani wewe dogo.

Kuulizwa uraia wako ni jambo la kawaida sana hasa hapa Tanzania.

Kumbuka hata mzee wetu Ulimwengu aliwahi kuulizwa uraia wake na kupata misukosuko mikubwa tu.
 
Unahoji uraia wa Dr Mpango kwa sababu tu anajua kucheza ngoma ya waha, kamuhoji basi na TID kwa kuwa anajua ku break down mmpe uraia wa USA.
Waha ni Watanzania haina shida. Lakini kuna waliojipenyeza na kijifanya Watanzania kumbe ni wahamiaji haramu. Kinachotakiwa ni wenyeji wa Kigoma kuwabaini na kuwafikisha katika vyombo vya dola.
 
Tatizo lake Zitto hajawahi kutumia busara kwenye mambo yanayo hitaji busara.
Chuki nzito ya CHADEMA kwa Zitto ni sawa na Chuki kalii ya CCM kwa Lissu.

CHADEMA mmebakiza Risasi 36 tu.
 
Wacha kurusha ngumi hewani wewe dogo.

Kuulizwa uraia wako ni jambo la kawaida sana hasa hapa Tanzania.

Kumbuka hata mzee wetu Ulimwengu aliwahi kuulizwa uraia wake na kupata misukosuko mikubwa tu
Wakumbushe hata Rais Mwinyi watu wanahoji Uzanzibari wake, ni jambo la kawaida tu.
 
Acha ina mana huko Rorya hakuna wahamiaji, Rombo je, huko umasaini je, vipi huko kwa kina Nchumali!? Acheni upi.mbi. Mnajiona bora kuliko wengine. Endeleeni ipo siku kitanukaa, nasema endeleeni kuwabagua Waha, ipo siku!
 
Acha uzwazwa ina mana huko Rorya hakuna wahamiaji, Rombo je, huko umasaini je, vipi huko kwa kina Nchumali!? Acheni upi.mbi. Mnajiona bora kuliko wengine. Endeleeni ipo siku kitanukaa, nasema endeleeni kuwabagua Waha, ipo siku! Mb.wa nyie
Sasa matusi yanasaidia kitu gani kwenye nafasi ya hoja?
 
Acha uzwazwa ina mana huko Rorya hakuna wahamiaji, Rombo je, huko umasaini je, vipi huko kwa kina Nchumali!? Acheni upi.mbi. Mnajiona bora kuliko wengine. Endeleeni ipo siku kitanukaa, nasema endeleeni kuwabagua Waha, ipo siku! Mb.wa nyie
Anahojiwa Dr Mpango wewe povu la nini?
 
KARMA

Huyo Waziri wenu wa fedha kuna mtu alimuita Kikaragosi.
Acha ina mana huko Rorya hakuna wahamiaji, Rombo je, huko umasaini je, vipi huko kwa kina Nchumali!? Acheni upi.mbi. Mnajiona bora kuliko wengine. Endeleeni ipo siku kitanukaa, nasema endeleeni kuwabagua Waha, ipo siku!
 
Back
Top Bottom