Picha hii inafikirisha, siamini kama tulifika huku!

Kilangila

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
1,819
1,187
Wadau si nia yangu kuhamasisha visasi kwa kukumbusha yaliyopita. Tusitazame nyuma kwa hasira, bali kwa uoga. Tujihadhali tusirudi huko.

Ili kutafakari vizuri na kuepuka kumbukumbu kama hii, kuna maswali ya kujiuliza:

1. Mwenye Magwanda ya CDM ni nani?

2. Aliwakosea nini hawa CCM?

3. Hawa wazee walioshika mawe ni akina nani?

4. Wanajisikiaje kuona picha hii?

5. Tulifikaje kiwango cha kuchukiana namna hii?

6. Tungependa hali hii iendelee?

Kilangila.
 

Attachments

  • CCM Vs CDM.docx
    193.5 KB · Views: 42
Picha ya zamani Sana hyo enzi za kikwete , back to 2013 or 2014.....
 
Hiyo ulikuwa vita ya kwanza kabisa ya wenyewe kwa wenyewe kwenye Ardhi ya Tiizedi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom