Mahakamani ambao huwa Majaji asilimia kubwa ni Mahakimu.
Kwenye Mawizara kuna watendaji wazuri tu katika nafasi za ukurugenzi n.k lakini zoezi la kuwapandisha hadhi kuwa Makatibu Wakuu au Manaibu Makatibu Wakuu linawapita pembeni sana wakati hawa watu ndiyo wanakuwa wanazijua Ofisi hizo vizuri sana.
Imagine Katibu Mkuu anayeletwa kutoka Chuo Kikuu ambapo miaka yote alikuwa analecture tu.
Watumishi wa Mawizarani wameiokosea nini Ikulu?