Wakurugenzi 6 Wateule wa Rais Magufuli waingia Mitini

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,689
55,662
Wakurugenzi 6 walioteuliwa na Rais Magufuli waingia mitini, mmoja atumbuliwa kimya kimya. Aliyetumbuliwa ni Mkurugenzi mpya wa wilaya ya Tarime mkoani mara bi Hidaya Sanga ameenguliwa katika safu ya Wakurugenzi muda mfupi kabla ya kuapishwa.

Sijajua hawa sita nini Kimewakumba pamoja na kwamba Rais aliwajua Vizuri.
 
Wakurugenzi 6 walioteuliwa na Rais Magufuli waingia mitini, mmoja atumbuliwa kimya kimya. Aliyetumbuliwa ni Mkurugenzi mpya wa wilaya ya Tarime mkoani mara bi hidaya sanga ameenguliwa ktk safu ya wakurugenzi mda mfupi kabla ya kuapishwa.

Sijajua hawa sita nini Kimewakumba pamoja na kwamba rais aliwajua Vizuri.
Hidaya Sanga aliteuliwa na chama cha ACT kugombea ktk jimbo la Ulanga Magharibi, ndiye Mkurugenzi aliyetumbuliwa jana na Rais Magufuli.
 
Hidaya Sanga aliteuliwa na chama cha ACT kugombea ktk jimbo la Ulanga Magharibi, ndiye Mkurugenzi aliyetumbuliwa jana na Rais Magufuli.

Hivi huko ni 'kumtumbua' aliyeteuliwa au 'kujitumbua' mteuaji kwani mteule wala hajaapishwa wala kuanza kazi?!
 
Back
Top Bottom