Madam President, usituchukulie poa. Kuwa makini na watu wanaokuzunguka

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,030
3,908
Habari za wakati huu;

Madam President,Hongera na Pole kwa Kazi. Najua unajua kwamba wapo watu ambao kazi yao ni kuhakikisha kwamba unafeli.Pia wako watu ambao wanataka nchi yetu ifaulu hata kama wewe utafeli ila hakuna watu wanaotaka wewe ufaulu so Usijisahau katika.hakuna anayetaka ufaulu katika URAIS wako.SIO wasaidizi wako binafsi,wala sio katibu mkuu kiongozi wala sio wateule wowote wale.

Hapo ulipo umezungukwa na watu ambao wanataka wewe ushindwe. Katika hao kuna ambao wanataka nchi ifanikiwe hata kama wewe utshindwa hawajali.Ila hakuna wanaotaka wewe ufanikiwe.JUA hilo na usilisahau.

Mama Samia,Sijui kama tayari una taarifa ila nzi tayari washakuzunguka na sasa wanacheza na akili yako. Kila unachofanya sasa hivi kama ni mtu kakwambia ufanye basi ujue kwamba tayari umezidiwa kete and you are not running the state but the state is running you. Usituchukulie POA sisi tunaoandika utopolo wetu ukafikiri ni njaa tu zinatusumbua hapana,Tunasoma matukio na kauli za watu na tunajua soon wataanza kukupeleka Mchaka Mchaka.Watakupelekesha mpaka utajuta kuwa RAIS hasa endapo hautashtuka mapema na kuwapiga PINI.

Najua unaweza hata usiuone huu uzi ila najua hao jamaa zako wanaokuchezea mchezo wanaona na watausoma kwa sababu daima wako mtandaoni na mitaani kufuatilia na kuweka mikakatu huku wewe ukiwa hujui.Hujui kwa sababu huna mtandao.Huna taarifa ila najua unayo maarifa tena maarifa makubwa sana.

Nimeangalia TEUZI zako wewe hujui ila mimi nimeona kwamba TEUZI zako ni return of favor, Ndio hao ni watu ambao ingawa unasema huwajui ila kwa kiasi una rudisha fadhila. Ni watu ambao wewe hujui kwamba lengo lao sio kukusaidia wewe ili ufanikiwe bali wengine wana maslahi yao na wengine ni NZI tu.

Najua unataka nitoe ushauri.Ushauri wangu ni huu.Umeshachelewa,Uliwapa Nafasi ya kujipanga na kuwapangua haitakuwa ni KAZI Rahisi.Itahitaji ufanye sacrifce kubwa na kutake RISK kubwa sana.Wewe ni RAIS.Unao uwezo wa kutoa matamko na yakawa sheria.TOA matamko matatu ambayo utayafanya yawe sheria.Haya yatakusaidia kujilinda dhidi ya hujuma kadhaa ambazo tayari zinasukwa kwa ajili yako.Usishangae ukaletewa hadi majini ya watu ambao wameshakufa uwape TEUZI.Mark my words.Mchezo umeshanoga na sasa unaimbishwa,Usikubali kuimba na kucheza NGOMMA yao ya kifidhuli.

Usichukulie POA haya maneno yangu hata kama ni ya KISELA.Kuna watu watayaelewa na kuna siku hata wewe utayaelewa.Jiwekee kinga ya kisheria ile ni vigumu watu kupitisha majina yako.Kwa mfano.TUNGA SHERIA KWAMBA RAIS akitangaza TEUZI kuwa na nafasi ya SEVEN DAYS za kupokea Mapingamizi.Unda kamati ya kupokea Mapingamizi na Mteuliwa apewa Nafasi ya kujibu Mapingamizi.

Narudia Tena haka kanafasi katakupa wewe nafasi ya kukwepa AIBU ya kuletewa watu wasiokuwa na ADABU wakuzunguke.

Kuna mengi ya kukwambia ila hilo naona ni la muhimu kama unahitaji mengine siku nyingine.

STAY WARNED
 
Mungu kamuumba mwanadamu akiwa na uwezo wake mwenyewe wa kuamua na kifikiri, kwa tulipofikia watanzania kwa roho mbaya tulizonazo imefika wakati watu wanatamani uteleze ,upotee au uharikibiwe wao waonekane ni watabiri au wanajua sana pia wapate cha kupost mitandaoni na kupata like na followers kupitia angulo lako

Hata yule unaemlipa mshahara kwa ajili ya kukushauri anaweza kukushauri vibaya hili uanguke. Bora kuomba ushauri kwa mkeo au mumeo coz hawezi kukushauri vibaya kwani akifanya hvyo mnaanguka wote au tumia akili ,maarifa na ufahamu wako.. pia mshirikishe na Mungu then amua mwenyewe tu bila kuomba ushauri kwa mtu.
 
Watanzania wengi wanamuombea mh. rais afanikiwe lakini namsihi sana aitumie hii goodwill vizuri kwani subira pia huwa na mwisho.

Kusema kweli baadhi ya teuzi zake sijazielewa kabisa. Kwa mfano, kama kweli ana nia ya kujenga umoja wa kitaifa kwanini mtu kama Mwigulu Nchemba anapewa nadasi muhimu kama wizara ya fedha? Huyu mtu alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati Tundu Lissu akipigwa risasi, pia amesikika sana akiwakejeli wapinzani. Sasa kama hujui ingawa CCM ndiyo ipo madarakani lakini kuna mamilioni ya Watanzania bado wako loyal kwenye vyama vingine. Yaani Tanzania yote hii ya watu milioni 60 haina wachumi mpaka umuweke huyu mtu. Why? Why?! This guy is a divisive figure.

Madam president, please be wise on the people you appoint and avoid choosing some divisive figures. Our county desperately needs healing under your leadership.

I would like to finish by saying all eyes are on you and we're watching each and every move you're making and try to interpret it with precision! As I said, we're rooting for you at the moment but please please don't leave it too late until the patience runs out.
 
Ila waandishi wetu wa habari jameni...... yaani watakuletea habari za udaku hadi ndani ya vyumba vya watu.
Lakini hadi sasa hakuna mwenye ameleta CV ya huyu bwana
 
Amekusikia au
Habari za wakati huu;

Madam President,Hongera na Pole kwa Kazi. Najua unajua kwamba wapo watu ambao kazi yao ni kuhakikisha kwamba unafeli.Pia wako watu ambao wanataka nchi yetu ifaulu hata kama wewe utafeli ila hakuna watu wanaotaka wewe ufaulu so Usijisahau katika.hakuna anayetaka ufaulu katika URAIS wako.SIO wasaidizi wako binafsi,wala sio katibu mkuu kiongozi wala sio wateule wowote wale.

Hapo ulipo umezungukwa na watu ambao wanataka wewe ushindwe. Katika hao kuna ambao wanataka nchi ifanikiwe hata kama wewe utshindwa hawajali.Ila hakuna wanaotaka wewe ufanikiwe.JUA hilo na usilisahau.

Mama Samia,Sijui kama tayari una taarifa ila nzi tayari washakuzunguka na sasa wanacheza na akili yako. Kila unachofanya sasa hivi kama ni mtu kakwambia ufanye basi ujue kwamba tayari umezidiwa kete and you are not running the state but the state is running you. Usituchukulie POA sisi tunaoandika utopolo wetu ukafikiri ni njaa tu zinatusumbua hapana,Tunasoma matukio na kauli za watu na tunajua soon wataanza kukupeleka Mchaka Mchaka.Watakupelekesha mpaka utajuta kuwa RAIS hasa endapo hautashtuka mapema na kuwapiga PINI.

Najua unaweza hata usiuone huu uzi ila najua hao jamaa zako wanaokuchezea mchezo wanaona na watausoma kwa sababu daima wako mtandaoni na mitaani kufuatilia na kuweka mikakatu huku wewe ukiwa hujui.Hujui kwa sababu huna mtandao.Huna taarifa ila najua unayo maarifa tena maarifa makubwa sana.

Nimeangalia TEUZI zako wewe hujui ila mimi nimeona kwamba TEUZI zako ni return of favor, Ndio hao ni watu ambao ingawa unasema huwajui ila kwa kiasi una rudisha fadhila. Ni watu ambao wewe hujui kwamba lengo lao sio kukusaidia wewe ili ufanikiwe bali wengine wana maslahi yao na wengine ni NZI tu.

Najua unataka nitoe ushauri.Ushauri wangu ni huu.Umeshachelewa,Uliwapa Nafasi ya kujipanga na kuwapangua haitakuwa ni KAZI Rahisi.Itahitaji ufanye sacrifce kubwa na kutake RISK kubwa sana.Wewe ni RAIS.Unao uwezo wa kutoa matamko na yakawa sheria.TOA matamko matatu ambayo utayafanya yawe sheria.Haya yatakusaidia kujilinda dhidi ya hujuma kadhaa ambazo tayari zinasukwa kwa ajili yako.Usishangae ukaletewa hadi majini ya watu ambao wameshakufa uwape TEUZI.Mark my words.Mchezo umeshanoga na sasa unaimbishwa,Usikubali kuimba na kucheza NGOMMA yao ya kifidhuli.

Usichukulie POA haya maneno yangu hata kama ni ya KISELA.Kuna watu watayaelewa na kuna siku hata wewe utayaelewa.Jiwekee kinga ya kisheria ile ni vigumu watu kupitisha majina yako.Kwa mfano.TUNGA SHERIA KWAMBA RAIS akitangaza TEUZI kuwa na nafasi ya SEVEN DAYS za kupokea Mapingamizi.Unda kamati ya kupokea Mapingamizi na Mteuliwa apewa Nafasi ya kujibu Mapingamizi.

Narudia Tena haka kanafasi katakupa wewe nafasi ya kukwepa AIBU ya kuletewa watu wasiokuwa na ADABU wakuzunguke.

Kuna mengi ya kukwambia ila hilo naona ni la muhimu kama unahitaji mengine siku nyingine.

STAY WARNED
Umeombwa ????!
 
Tumpe mda mama bado yuko kwenye control alisema ndio mwanzo huu tuone mambo yatavoenda trust me atakuja kuwaletea noma sana mbeleni nadhani anachotaka kufanya ni kutoenekana yuko against na awamu ya 5 kabsa but when time comes itakuwa niliwapa chance sasa mtaenda navotaka hapo ndio watatafutana. Mark my words the time is coming.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Point.

Natamani sana aione hii post ajifunze kitu

rider
 
Samia asikubali bindly list ya watu anaokuwa analetewa ili awatueue—awe anaomba List ya watu wengi zaidi ya short list anayopewa na CV zao, kisha ateue mwenyewe.
Akipewa list ya watu 20, yeye aombe list ya watu 100

Akipewa list ya watu 50 aombe list ya watu 300

Ili achague mwenyewe.

Kwenye makatibu wakuu, Mama Samia ameyumbishwa, asikubali tena hili litokee
 
Back
Top Bottom