Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nahisi chini ya mama Samia CCM inaonekana kuimarika zaidi.naona kama kwa sasa CCM haina mpinzani tena. Kwa kweli inaonekana vijana sasa wameamua kuimba mapambio ya CCM. Kidumu Chama cha Mapinduzi.
1 Reactions
9 Replies
835 Views
Tanzania ni nchi ambayo tumependelewa na Mungu. Nchi ambayo wananchi wake ni wapole na taasisi zake ikiwemo idara ya ujasusi na vyombo vya usalama ni imara mno na ambavyo haviwezi kuruhusu mtu...
37 Reactions
102 Replies
10K Views
Mh. Rais Samia Suluhu ni kama Rais wa Serikali ya Awamu ya 6. Huyu mama hakuwepo kabisa awamu ya 5. Ni Rais mpya ambaye hakuwahi kuwepo katika Serikali iliyopita. Kama alikuwepo haya...
2 Reactions
9 Replies
955 Views
Sasa DG mpya usipoyatafutia ufumbuzi utatumbuliwa within no time haya matatizo hapa chini, nawe utatumbuliwa. Ujue kuwa huyu ameondoka kwa matatizo haya chini! 1. Kwa muda mrefu wateja wa simu...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika tathmini ya maendeleo ya Mkoa Wa dar es salaam naomba Leo nianze na Jimbo la kigamboni linaongozwa na Dk.Faustine Ndunguli ambaye pia ni naibu waziri wizara ya afya(CCM). A) KIELIMU Jimbo...
6 Reactions
70 Replies
7K Views
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amehudhuria ibada takatifu ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma. Mheshimiwa Mpango akiwa...
1 Reactions
112 Replies
10K Views
Kati ya hivi ni kipi kinafanya uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja kukua 1. Je kutoza kodi kubwa kunafanya uchumi kukukua? 2. Je kutoza kodi kidogo kunafanya uchumi Kukukua? 3. Je...
1 Reactions
4 Replies
974 Views
Tumeanza kuona baadhi ya Wanasiasa na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakishindindana kwa kasi kuukosoa utawala wa Hayati Dkt.Magufuli . Hawahawa ndio walikuwa waungaji mkono wakubwa wa...
16 Reactions
25 Replies
2K Views
Mheshimiwa Raise wangu, kumekuwa na maoni mengi sana hasa katika kipindi hiki. Ni sawa, ni kweli isiyopingika kuwa hutoweza kukidhi takwa la Kila moja wetu bali kusimama imara na kuipa taifa kipau...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanza naomba nikupongeze kwakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumteua Waziri mpya TAMISEMI najua uchapaji wake kazi sio wa kitoto. Naomba mama ikikupendeza tendea haki uhamisho wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
"...Nina maradhi gani na katiba..?" Alilalama aliyepata maradhi...! Na nadhani maradhi yake ni haya Alikuwa makamu mwenyekiti wake katika hilo bunge la katiba iliyoleta maradhi. Kwa ushirikiano...
6 Reactions
15 Replies
863 Views
"SIKIA SAUTI YA WANYONGE': Tangu awamu ya mheshimiwa hayati Magufuli ilipoanza,mfumo wa ajira ulipinduliwa. Tulikuwa tunategemea kila mwaka ajira zipo hasa kwa idara ya afya,walimu, na kilimo...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Anaandika Diwani wa Kata ya Kongolo- Magu na Mwanafalsafa Herbert Faustine ____________________________________ MAMA JANETH USISOME ANACHOANDIKA KIGWANGALA. Sitaki kurudia alichoandika Hamisi...
32 Reactions
39 Replies
6K Views
Mh. Rais Mama Samia Suluhu naomba utoe kauli ya Kuwaruhusu Vyama vya Upinzani kufanya siasa zao kwa Uhuru ikiwepo mikutano ya hadhara kama zama za Mzee Jaka Kikwete. Sheria inawaruhusu ila tamko...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Hakika nimekuwa najiuliza maranyingi kuhusu Nani Waziri Mkuu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimekuwa nafuatilia shughuli mahususi wanazozifanya mawaziri wakuu katika pande zote mbili...
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Hii ni hotuba kama ya nne ya Rais Samia, na mpaka sasa nilichokichunguza ni kwamba, huyu ni Rais ambaye anajipambanua kuwa na itikadi za kiuchumi za 'Free markets' ambazo ndizo haswa zinazofanya...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Ukizisikiliza kwa makini nyimbo nyingi zilizotungwa baada ya Rais Magufuli kufariki huwezi kuacha kuwaza ni kweli na kwa dhati ya mioyo yao hawa wasanii wanamaanisha? Au kuna kitu wanakinyemelea...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
KIGWANGALA alitoa hoja ya namna anavyodhani tunaweza kukabiliana na corona kwa sasa. Kwenye hoja zake alisema haoni hata umuhimu wa tanuru la kujivukiza pale hospitali ya Mhimbili. Wakati wa...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
“Nimekua nyakati ambazo siasa ni ushawishi wa hoja. Nimejifunza siasa na kushiriki siasa wakati huo. Miaka 6 iliyopita ilikuwa migumu sana kwangu kwani siasa ilikuwa nguvu, vurugu, uporaji, mauaji...
11 Reactions
66 Replies
5K Views
Hii ni siri nawaibia viongozi na watendaji wote mlioaminiwa na kupewa madaraka katika nyadhifa mbali mbali za Kitaifa, ukuu wa idara au mashirika, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom