Hivi hizi shangwe ni za Rais Samia au za CCM

Hivi hizi shangwe ni za Rais Samia au za CCM

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
392
Reaction score
383
Nahisi chini ya mama Samia CCM inaonekana kuimarika zaidi.naona kama kwa sasa CCM haina mpinzani tena.

Kwa kweli inaonekana vijana sasa wameamua kuimba mapambio ya CCM.

Kidumu Chama cha Mapinduzi.
 
Watakwambia wanakunywa mchuzi tu ila nyama ni haramu.
 
Mimi ni chadema dam dam, lkn kwa mwendo huu wa mama asipokengeuka, sioni sababu za kuinyima kura ccm chini ya mh rais wangu.
Kabisa mkuu. Kama mama ataendelea kufanya vizuri hata uchaguzi tuahirishe tu na wapinzani wote tumuunge mkono ili tuwahi kufika Kanaani.
 
Nahisi chini ya mama Samia CCM inaonekana kuimarika zaidi.naona kama kwa sasa CCM haina mpinzani tena.

Kwa kweli inaonekana vijana sasa wameamua kuimba mapambio ya CCM.

Kidumu chama cha mapinduzi.
Nachoshangaa ni bavicha mitandaoni wanasema sisiemu hoi sababu ya rais Samia anaonekana kwenda vizuri mpaka sasa na speech ya leo akamalizia mkatekeleze ilani ya sisiemu, bavicha wanapiga vigeregere sisiemu hoi bin taaban...
hapa mdio napowaona wakijizika!
 
Sisi Wapinzani tuna Habari zote ninyi CCM Mataga mlitaka kuzuia Mama asiapishwe na Bashiru alikuwa mstari wa mbele

Bila Mabeyo kuingilia Kati mlitaka Mama ajiuzulu

Sasa tulieni, Mama ni Raisi wa Watanzania
 
Back
Top Bottom