Taarifa kwa Umma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ashiriki Ibada Takatifu ya Pasaka Dodoma

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,701
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amehudhuria ibada takatifu ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma.

Mheshimiwa Mpango akiwa ibadani hapo alipata fursa ya kuzungumza na Waamini walioshiriki pamoja na Watanzania
 
Yakiendelea haya watu wataanza kumuona JPM kupitia VP.
Kila kitu kina makusudio yake...

VP Mpango ni upande wa pili wa shilingi kwa JPM

Usishangae kwa baadae VP akaogopeka nchini + taasisi + maofisini kuliko mkuu wa nchi.

Huyu Mh ni noma.....nilipoanza kuuona ukorofi wake ni wakati ule akizungumza na mameneja wa TRA mikoa nchi nzima kwa lugha ya kijeuri jeuri...akafukuza na watumishi
 
Back
Top Bottom