Mheshimiwa Raise wangu, kumekuwa na maoni mengi sana hasa katika kipindi hiki. Ni sawa, ni kweli isiyopingika kuwa hutoweza kukidhi takwa la Kila moja wetu bali kusimama imara na kuipa taifa kipau mbele kuliko chochote.
Kumbuka ya kuwa ipo siku nawe utakufa kama binadamu, utaachaje taifa lako pendwa?
Sio Kila anayekushauri Ana nia nje na wewe, wengine wapo kwa ajili ya kukuhujumu ili malengo yao yasiyo ya kiuzalendo yafanikiwe.
Ni heri uwalete karibu unaowaamini ili wakusaidie katika majukumu yako kuliko kuwaamini wanaokuhujumu.
Aidha somo la uzalendo lianze kufundishwa shule ya msingi ili kujenga moyo wa upendo dhidi ya nchi yetu kuliko umimi usio na alama katika nchi.