Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana CCM tunawakati mgumu sana mitandaoni na hata maskani tunapokaa, tumekosa confidence yakusimamia mijadala kwa sababu hatujui msimo wa chama na serikali ni upi. Leo hii kila mada inayoibuliwa...
21 Reactions
38 Replies
4K Views
Opinion ya CAG iliangazia miradi hii iliyopo ya kupunguza foleni Dar? KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu Watanzania, Ni wazi kwamba tangu tupate uhuru 1961, chama kimoja tu ndiyo chama tawala.[emoji21] Mantiki ni kwamba, ndicho chama kilichoshiriki aidha dhuluma au faida kwa watanzania, maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa wabunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma pamoja na uchaguzi wa madiwani katika kata 18 za Tanzania Bara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajukwaa, Nimepitia takwimu kutoka the National Bureau of Statistics (NBS) na Tanzania Ports Authority (TPA) kuhusu mizigo / shehena yanayopitia bandari za Tanzania kwenda au kutoka nchi za...
8 Reactions
98 Replies
8K Views
Wanabodi, Nimefatilia mjadala wa CAG akianisha ripoti yake ya mwaka 2019/2020. Kama tujuavyo ofisi ya Control and Audit General ndo jobholder letu, ndo tumempa dhamana ya kikatiba kutukagua na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ndio orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi za ukurugenzi TPDC. Mimi naanza na hawa wawili 1. JAMES MATARAGIO 2. JACKSON DULLE Huyu bwana hii ndio CV yake, na sina hakika kama...
5 Reactions
97 Replies
11K Views
Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Nilichogundua wananchi wengi wanaoipenda CCM ni kwasababu ya Magufuli. Sasa hapa ndio pana mtihani. Nadhani mnakumbuka jinsi walivyokuwa wakimuaga kwa shangwe. Sasa nimegundua kuna uwezekano...
16 Reactions
95 Replies
6K Views
Angalia maisha ya watanzania wa kawaida yalivyo duni, maisha ya kukosa maji ,elimu bora na hata chakula cha uhakika. Lakini ni mara chache sana kusikia mwanaCcm akisema tuwe na sera nzuri ambazo...
1 Reactions
4 Replies
920 Views
Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika ngazi mbalimbali za jamii, kama vile mji, taifa, au hata dunia nzima (siasa ya kimataifa). Sehemu muhimu ya siasa ni majadiliano kati ya watu mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nadhani kisa cha huyu doctor aliyesimamishwa kazi na Waziri Gwajima kwa sakata la ugonjwa ulioibuka huko Chunya, Mbeya kitampa jibu zuri sana kwa nini madaktari na wafanyakazi wengine wengi...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
Jaji Mwangesi Pokea Mzigo toka kwa CAG Kila mfumo una uwezo wa kujiharibu. Demokrasia ina uwezo wa kujiua. Udikteta una uwezo wa kujiua ndani yake. Uliberali unayo sumu yake. Si sumu ya kuua...
28 Reactions
30 Replies
3K Views
Wasalam...! Kwanza lazima tukubali tu kuwa kwa sasa tuna Rais mwingine na ni Awamu nyingine kuanza kutafuta kuokoteza maneno maneno na kuyaanzishia thread za kukosoa Utawala wa Awamu ya 6 chini...
30 Reactions
89 Replies
6K Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa malikia wa Uingereza Queen Elizabeth II, baada ya kifo cha Mwanamfalme Prince Philip. Kupitia...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni usemi ulioanzia bungeni kipindi cha kashfa ya escrow Alilidanganya bunge na serikali kuwa kwenye pesa za escrow hakuna pesa za umma na kwamba yeye hajahusika kwa lolote ktk kashfa ya mgawo wa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama wangelimsikiliza Profesa Kitila Mkumbo alipowaandikia kupitia ukurasa wake wa Twitter mnamo tarehe 10 Novemba 2015 aliposema “Tunahitaji Upinzani utakaojikita katika sera mbadala, Upinzani...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
1. Emmanuel Nchimbi 2. Jerry Silaa 3. Lawrance Masha 4. Zitto Kabwe 5. David Kafulia 5. Ezekiel Wenje 6. Nape Nnauye 7. Mwigulu Nchemba 8. Benno Malisa Yaani mpaka sasa walipo na malengo yao...
5 Reactions
66 Replies
9K Views
Wana JF, Uongozi ni kipaji sio kila mtu anaweza kuongoza, unaweza pendekezwa kuongoza lakini ukaishia kuwa mtawala kama Waziri wa michezo Juliana shonza. Kitendo cha kutosoma mamlaka...
8 Reactions
33 Replies
5K Views
Back
Top Bottom