stigajemwa
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 449
- 430
Ni usemi ulioanzia bungeni kipindi cha kashfa ya escrow
Alilidanganya bunge na serikali kuwa kwenye pesa za escrow hakuna pesa za umma na kwamba yeye hajahusika kwa lolote ktk kashfa ya mgawo wa pesa za esrow
Kama picha vile, leo hii pamoja na utaalam wake wote ktk mambo ya miamba na madini lakini anatuambia naye alikuwa hajui kuwa haya makampuni yanatuibia.Hii ni kwa sababu naye alikuwa anasubiri ripoti ya prof Huruma ili kupata ukweli
wakati alipaswa ayajue hayo yote kutokana na usomi na utaalam wake ktk nyanja ya miamba na madini.
Pia daima amekuwa akithibitishia umma kuwa uzalendo wake kwa nchi si wa kutilia shaka.Kwa maana hajawahi kupiga dili hata shilingi moja ya serikali,bali amekuwa na bahati mbaya ya kuonekana anafanya ufisadi ktk wizara ya nishati kinyume na ukweli
Sasa kama hayo yote anayosema ni kweli sawa, lakini kama si kweli basi ni dhahiri kuwa hakuna prof muongo kama prof Muhongo