Ya Waziri Juliana Shonza ni kama ya Nape Nnauye, Wasafi group itamgharimu

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Wana JF,

Uongozi ni kipaji sio kila mtu anaweza kuongoza, unaweza pendekezwa kuongoza lakini ukaishia kuwa mtawala kama Waziri wa michezo Juliana shonza.

Kitendo cha kutosoma mamlaka inayomzunguka bila kutambua kwa sasa Mkuu wa Dar es Salaam ndio kila kitu kwa sasa, Aidha mkuu wa mkoa wa Dar ndie mlezi wa Wasafi group chini ya Diamond Platinum.

Haya majibizano anayoyafanya amuulize Nape Nnauye, kuwajibu watoto wa Wasafi wanaolelewa na Mkuu wa Dar es Salaam itamgharimu sana.

Kila wakati watu huambiwa shule za Afrika hasa Tanzania watu hufuata vyeti na sio elimu, huyu waziri na elimu yake ameshindwa tambua mamlaka iliyo kuu.

Wasipomaliza kwa kupatanishwa na kama wasafi chini ya mlezi wao wakisimamia hawakupewa barua kuhusu kufungiwa nyimbo zao huyu dada yaweza ikawa njia nyeupe kupisha wengine.

Mamlaka ya Dar es Salaam ndio mamlaka kuu ambayo unaweza peleka matatizo yote iwe ya kudhulumiwa au ya kimahakama ukapatiwa ufumbuzi.

Ni nani mkuu waziri au mkuu wa Dar? Shonza alipaswa kujifunza ya Nape Nnauye
 
Uzuri makonda mwenyewe ana akili sana, toka lini awe kipenzi cha wanachadema. Huo ufitinishaji uko wazi na dhahiri kabisa.
 
Chadema sasa naona mmejificha nyuma ya mgongo wa daimond, si mjitokeze tu waziwazi kuliko kuwa mijoga inayojificha kwenye migongo ya watu
Hivi neno Chadema bado Lina exist hapa Tanzania si walisema siasa mpaka 2020 mkuu wewe ni mchochezi

Usitaje taje maana ukitaja taja chadema watu hawapendi
 
Chadema sasa naona mmejificha nyuma ya mgongo wa daimond, si mjitokeze tu waziwazi kuliko kuwa mijoga inayojificha kwenye migongo ya watu

Hoja hii si taarifa ya chama cha CHADEMA,hoja inamzungumzia Mh. J na inamtaka atambue nguvu na mamlaka za mtawala wa Dar yasije yakamkuta ya Mh.Nape.
 
Hoja hii si taarifa ya chama cha CHADEMA,hoja inamzungumzia Mh.Lesbian J na inamtaka atambue nguvu na mamlaka za mtawala wa Dar yasije yakamkuta ya Mh.Nape.
Inafahamika shonza na chadema walivyo. Chadema wangependa limtokeee lolote. Hatudanganyiki
 
Wana Jf, Uongozi ni kipaji sio kila mtu anaweza kuongoza, Unaweza pendekezwa kuongoza lakini ukaishia kuwa mtawala kama Waziri wa michezo Juliana shonza

Kitendo cha kutosoma mamlaka inayomzunguka bila kutambua kwa sasa Mkuu wa Dar es salaam Ndio kila kitu kwa sasa, Aidha mkuu wa mkoa wa Dar ndie mlezi wa Wasafi Group chini ya Diamond Platinum

Haya majibizano anayoyafanya amuulize Nape Nnauye, Kuwajibu watoto wa Wasafi wanaolelewa na Mkuu wa Dar es Salaam itamgharimu sana

Kila wakati watu huambiwa shule za Afrika hasa Tanzania watu hufuata vyeti na sio elimu, Huyu waziri na elimu yake ameshindwa tambua mamlaka iliyo kuu

Wasipomaliza kwa kupatanishwa na kama wasafi chini ya mlezi wao wakisimamia hawakupewa barua kuhusu kufungiwa nyimbo zao huyu dada yaweza ikawa njia nyeupe kupisha wengine

Mamlaka ya Dar es Salaam ndio mamlaka kuu ambayo unaweza peleka matatizo yote iwe ya kudhulumiwa au ya kimahakama ukapatiwa ufumbuzi,

Ni nani mkuu waziri au mkuu wa Dar? Shonza alipaswa kujifunza ya Nape nnauye
Wameanza kupambana ccm kwa ccm, sisi yetu macho tu.

Waache wafu wazikane
 
Wana JF,

Uongozi ni kipaji sio kila mtu anaweza kuongoza, unaweza pendekezwa kuongoza lakini ukaishia kuwa mtawala kama Waziri wa michezo Juliana shonza.

Kitendo cha kutosoma mamlaka inayomzunguka bila kutambua kwa sasa Mkuu wa Dar es Salaam ndio kila kitu kwa sasa, Aidha mkuu wa mkoa wa Dar ndie mlezi wa Wasafi group chini ya Diamond Platinum.

Haya majibizano anayoyafanya amuulize Nape Nnauye, kuwajibu watoto wa Wasafi wanaolelewa na Mkuu wa Dar es Salaam itamgharimu sana.

Kila wakati watu huambiwa shule za Afrika hasa Tanzania watu hufuata vyeti na sio elimu, huyu waziri na elimu yake ameshindwa tambua mamlaka iliyo kuu.

Wasipomaliza kwa kupatanishwa na kama wasafi chini ya mlezi wao wakisimamia hawakupewa barua kuhusu kufungiwa nyimbo zao huyu dada yaweza ikawa njia nyeupe kupisha wengine.

Mamlaka ya Dar es Salaam ndio mamlaka kuu ambayo unaweza peleka matatizo yote iwe ya kudhulumiwa au ya kimahakama ukapatiwa ufumbuzi.

Ni nani mkuu waziri au mkuu wa Dar? Shonza alipaswa kujifunza ya Nape Nnauye
We mwache tu huyo shonza/ @juliana shonza anafikiri anapambana na kubenea bungeni
 
Nasikia kajamaa ndio kama ka naibu rais hakuna mteule yeyote wa babake anayeweza kuleta fyoko kwake. Na kama kangesoma kakawa kipanga kama Mnyika tusingekunywa maji. Yaani pamoja na kufeli kana mikwara namna hii je kangepata div I ingekuwaje? Huyo mdada naye pamoja na kuwa nae uwezo wake ni wa chini sana lakini alipaswa kuwauliza "wenyeji" kuhusu utamaduni wa boma aliloingia
 
Kale kabinti hata sijui ilikuaje kamepewa uwaziri, kalipaswa kapewe majukumu mengine tu ndani ya chama lakini sio uongozi...

Sioni kama ana hekima ya uongozi bali ana fukuto la kisiasa na kamwe mwanasiasa mahiri si kiongozi mzuri...
Uteuzi wake ilikuwa ni zawadi ya kupambana na Chadema, chukuwa study case ya Mwigulu Nchemba alikuwa anapewa vyeo kwa sababu zipi? Au Kibajaji kuitwa kwenye kampeni za ccm kama ndio mnadi mgombea, ukiyajuwa haya basi jibu utalipata.
 
Wana JF,

Uongozi ni kipaji sio kila mtu anaweza kuongoza, unaweza pendekezwa kuongoza lakini ukaishia kuwa mtawala kama Waziri wa michezo Juliana shonza.

Kitendo cha kutosoma mamlaka inayomzunguka bila kutambua kwa sasa Mkuu wa Dar es Salaam ndio kila kitu kwa sasa, Aidha mkuu wa mkoa wa Dar ndie mlezi wa Wasafi group chini ya Diamond Platinum.

Haya majibizano anayoyafanya amuulize Nape Nnauye, kuwajibu watoto wa Wasafi wanaolelewa na Mkuu wa Dar es Salaam itamgharimu sana.

Kila wakati watu huambiwa shule za Afrika hasa Tanzania watu hufuata vyeti na sio elimu, huyu waziri na elimu yake ameshindwa tambua mamlaka iliyo kuu.

Wasipomaliza kwa kupatanishwa na kama wasafi chini ya mlezi wao wakisimamia hawakupewa barua kuhusu kufungiwa nyimbo zao huyu dada yaweza ikawa njia nyeupe kupisha wengine.

Mamlaka ya Dar es Salaam ndio mamlaka kuu ambayo unaweza peleka matatizo yote iwe ya kudhulumiwa au ya kimahakama ukapatiwa ufumbuzi.

Ni nani mkuu waziri au mkuu wa Dar? Shonza alipaswa kujifunza ya Nape Nnauye
Mungu wa Darisalama ni naibu Rais.
 
Kbsaa
 
Back
Top Bottom