Adui mkubwa wa watanzania ni CCM imejaza wanasiasa wanafiki wanaojali kujitarisha kwa ufisadi na huku wakiona wananchi ni wajinga.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Angalia maisha ya watanzania wa kawaida yalivyo duni, maisha ya kukosa maji ,elimu bora na hata chakula cha uhakika. Lakini ni mara chache sana kusikia mwanaCcm akisema tuwe na sera nzuri ambazo zitahakikisha mwananchi wa kawaida wa chini kabisa anaweza kunufaika kiuchumi.

Angalia hata michango ya wabunge wengi wa Ccm wanapojadili juu ya mpango wa tatu wa mendeleo ya kitaifa kwa miaka mitatu 2021/2022- 2025/2026 huwezi kusikia habari zinajodadili kuinua maisha ya duni ya watanzania.

Wabunge wachache sana wanaozungumzia juu ya maisha ya wananchi wa kawaida. Wengi wanawaza kuchangia juu ya miradi mikubwa ambayo wanajua watanufaika kwa kupata mgao wa kifisadi kwa kupewa ten percent au kushiriki malipo ya kifidadi amabao nao watapata mgao.

Tokeo ufisadi kama Epa, Escrow Kagoda,Meremeta na Lugumi ufanyike wanaCcm alishakuwa na akili kuwa sisas ni mtaji wa kuwa bilionea. Wananchi ni njia ya kukufikisha ili upige dili. Wakisha kuchagua badi achana nao.

Na kwa sasa ndio tunachoshuhudia, maana sio kwa michango kama hii tunayosikia. Ni wazi kuwa kuna mchongo mkubwa wa kifisadi unaundwa ili waje wagawane pesa kwenye masandarusi. Hii ni kwa sababu walishazoea na kuna kipindi hapa kati mianya ilibanwa.
 
Hawa jamaa

JPM ndiye aliye rudisha imani kwa Watz kukiamini tena hicho chama. Sasa wamejisahau sana na wanashindana kuharibu legacy yake. Mbaya zaidi kawaachia kipimo ambacho wakishindwa kukitimiza, watakuwa wamejichimbia kaburi. Sheria ni kumaliza projects zote alizoanzisha. Wakishindwa hapo, nawahurumia sana.
 
Wanao mdhihaki Jpm ni Ndugai tena wazi mchana kweupe kupitia bunge(mali ya Ccm)
Katibu wa Uvcc kimya

Sasa hapo Ccm laana ya Mwendazake nayo itawamaliza soon kabla jogoo halijawika 2025
 
Back
Top Bottom