Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?
Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa...
Marehemu haongelewi vibaya karabia katika mila zote za kiafrika.
Lakini marehemu kama alitenda mabaya bila kuyasahihisha kabla ya kufariki, katika mila zetu, roho hake hailali kwa amani...
Wakuu na wadogo wa JF.
Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.
Sina kumbukumbu kamili...
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye (CCM), amesema hali ya wakulima wa Korosho hivi sasa ni mbaya licha ya nia njema ya Rais kutaka wakulima wa zao hilo kulipwa, na badala yake zoezi hilo limetawaliwa na...
Serikali imekabidhi ndege yake ya Fokker 50 kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ili ianze kubeba abiria.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Aprili 01 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
Kuna suala ili la Professor Asad yaan C.A.G
Suala ili ni tofauti na Mengine yaliyotikisa hapo nyuma lakin lina nature au uhalisia kama hayo yaliyopita,
TUNA RAIS WA AINA GANI?
Tuanze na hapa...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Deusdedit Kakoko amesema wawekezaji wa Bandari ya Bagamoyo walitaka kupewa hati ya miaka 99, jambo ambalo haliwezekani.
Amesema serikali ilikubali...
Naona kila nchi ikiwa busy kuwapa haki watu wake , Kenya, Nigeria Ghana, South Afrika wote walio kuwa wanaishi nje ya nchi zao kulikuwa na utaratibu maalumu wa kuwaruhusu kupiga kura wakati wa...
Humphrey Polepole ambaye ndiye aliyekuwa ofisa mazungumzo (manunuzi) siku yoyote ataachia kiti cha uenezi kwa vile kishaingia bungeni. Huku mlipaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Mh Bashiru...
Machi 30 mwaka 2021 Bunge la Jamhuri ya Muungano lilishuhudia dalili za kurudi mchakatoni kutokana na hoja za wabunge wawili waliokinzana wakati wa vikao.
Mbunge wa Viti Maalumu kutoka chama cha...
Umoja wa Katiba ya Wananchi wa vyama vya upinzani (UKAWA) uliibuka kutokana na minyukano ya kimaslahi ya siasa huku ukinasibu kutetea maoniya wananchi, na ndio waliosikilizwa zaidi kuliko serikali...
Kipindi cha miaka 5 ya JPm hakupata kuzungumzia kwa kina issue ya gas ya Mtwara. Ni kama aliamua kukaa kimya.
Kwa makusudi JPM alikwepa kuzungumzia kwa kina.
Pale akizungumzia mtego wa kupigwa...
Makamu wa Rais mama Samia akiwa katika ukaguzi wa maendeleo ya viwanda kwenye uchumi wa kati amesema atamtuma waziri wa kazi kutembelea viwanda kusikiliza matatizo ya wafanyakazi.
Mama Samia...
Kinachoendelea katika taifa letu kwasasa nakifananisha na sarafu kuwa na pande mbili zenye muonekano tofauti.
Wakati wa utawala wa shujaa wetu habari zilizokuwa zinasikika zilikuwa zinahusu...
Jana wakati Rais Magufuli alipokuwa anamuapisha CAG mpya Ndg Charles Kichere, alisema kuwa Prof. Assad alijigeuza kuwa mhimili.
Nimejaribu kutafakari na kuibua kumbukumbu yangu kuhusu jambo...
Wanabodi, Fumbo la Membe wengi tulishangaa kuwa atashinda dakika za tisini na nyongeza, Wengi walijiuliza atashinda vipi wakati haja ingia uwanjani na wala hana kikosi kizuri cha kushinda dakika...
Wananchi wenye hasira wa mtaa wa Kishiri huko Nyamagana Mwanza wamebomoa nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa kwa madai ya kumuua kijana mmoja aitwaye Kinyasi
Inadaiwa mwenyekiti huyo...
UAPISHO: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha Viongozi walioteuliwa Aprili 04, 2021. Hafla ya uteuzi imefanyika Ikulu Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wengine wa Kitaifa...
Kwanza niipongeze serikali kwa kuanzisha elimu bure, kwani imekuwa chachu na hamasa kwa wazazi kuona kama gharama zinapungua kwa kumsomesha katika mfumo huu wa elimu bure. Jambo ambalo sio sahihi...
Rais yeyote anapoingia madarakani Kuna mambo mawili hutokea.
1. Expectations za makundi mbalimbali kuwa yataguswa maslahi yao.
✓Watumishi wanafikiria kuongezwa mshahara.
✓Wanasiasa wanawaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.