Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao.
Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais:
Hatutegemei kuona TUCTA wakiimba nyimbo za kuabudu bila ujumbe wa maslahi ya wafanyakazi
Pia soma
Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais:
- Mishahara kupanda
- Kupanda madaraja
- Kupanda vyeo
- Kubadilishiwa muundo kwa waliojiendeleza
- Kuruhusu uhamisho hasa wa kubadilishana
- Kutoa ajira mpya
- Kuondoa kikokotoo kipya
- Kurekebisha fao la kujitoa na kukosa ajira
- Kupunguza riba ya HESLB
Hatutegemei kuona TUCTA wakiimba nyimbo za kuabudu bila ujumbe wa maslahi ya wafanyakazi
Mei Mosi: Je, ni kweli vyama vya wafanyakazi hamkuwa na Ujumbe wowote?
Jana ilikuwa siku ya wafanyakazi duniani. Kutokana na janga hili la Covid 19, shughuli zote za maadhimisho ya siku hiyo, zilisimamishwa ili kuepuka kuenea kwa gonjwa hili linalotishia ustawi wa binadamu duniani kwa sasa. Hata hivyo nina maswali kadhaa kuhusu ukimya wa viongozi watu wa vyama vya...
www.jamiiforums.com
Pia soma
Mei Mosi: Wafanyakazi wa Tanzania Tutafakari Kama Tunayosababu ya Kusherehekea
Nakumbuka hata Rashid Kawawa alikuwa ni Secretary General wa Tanzania Federation of Labour wakati wa Ukoloni miaka ya mwisho mwisho kabla ya uhuru. Hata JK Nyerere alitumia platform ya Rashid Kawawa kwenye vyama vya wafanyakazi kuweza kuijenga TANU. Mkoloni alitambua haki za vyama vya...
www.jamiiforums.com