Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,579
217,962
Instagram media - CLyUebAn-C1 ( 640 X 640 ).jpg

Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?

Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?

2702477_IMG-20210227-WA0029.jpg
 
Hatari sana watu wanavyo jilimbikizia madaraka na vyeo, mtu mmoja ana vyeo vitatu;

1) Yeye Katibu Mkuu Wa Chama.

2) Yeye Balozi.

3) Yeye Katibu Mkuu Kiongozi.

Mwingine nae anavyeo zaidi ya sita: Yeye Rais, Yeye Askofu, Yeye Mhubiri Wa Kanisa, Yeye Daktari, Yeye Injinia, Yeye Mwalimu, Yeye Dereva Taxi Bubu, Yeye Mkuu Wa Majeshi n.k

Yote hii kuwanyamazisha watakaotaka kupinga kuongezwa kwa mihula ya urais.

NB: Hili swala la kutaka kuongeza mihula ya urais, CCM wakitaka kulazimisha kwa kigezo bunge lote lakwao basi nchi hii inaingia kwenye mpasuko. Watu watakichafua vibaya sana maana sasa wanajuta kwanini waligoma kuandamana pindi Tundu Lissu alivotoa wito.
 
Ataachai nafasi mojawapo na hivyo ikulu itabaki ikulu na chama ni chama. CHADEMA ndio walitaka kuhamisha chama serikalini Mbowe alipojitanga waziri mkuu
Kiukweli Mwilapwa umeitumikia ccm kwa uaminifu mno , tena umeibeba hata kwenye mambo ya aibu , mbona huteuliwi ?
 
Kama hizi ndio hoja za CHADEMA siku hizi basi nikiri kusema hakuna umuhimu wa upinzani tena. Kama mtu ana sifa na vigezo vya kuteuliwa , hakuna namna kufanywa hivyo
Hilli ni suala la kisheria zaidi na ni vizuri tuvute subra.Tamko la TLS litatupa mwanga.Ukisoma Katiba ni kuwa ni lazima awe 'Mtumishi mwandamizi wa serikali".Hoja hiyo ndiyo itakayotuletea mjadala zaidi mbeleni.TUSUBIRI!
 
Mwal

Mwalimu wa chuo kikuu cha umma/ aliyefikia nafasi ya juu, huyo hatoshi kuwa afisa mwandamizi? Labda watusaidie mipaka ya hayo maneno ni kwa mtumishi aliyewahi kushika nafasi zipi
 
Back
Top Bottom