britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 13,469
- 2,000
Naona kila nchi ikiwa busy kuwapa haki watu wake , Kenya, Nigeria Ghana, South Afrika wote walio kuwa wanaishi nje ya nchi zao kulikuwa na utaratibu maalumu wa kuwaruhusu kupiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi zao, sasa naona katika kipengele kingine kwa nchi ya Senegal kimeongezwa Diaspora nao watapiga kura,
Je sisi watanzania twajua kwamba ni haki yetu kuwachagua viongozi katika nchi yetu?
Je sisi watanzania twajua kwamba ni haki yetu kuwachagua viongozi katika nchi yetu?