Dakika 90 + za Benard Membe sasa zimeeleweka ndani ya CCM

seedfarm

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
260
Reaction score
2,657
Wanabodi, Fumbo la Membe wengi tulishangaa kuwa atashinda dakika za tisini na nyongeza, Wengi walijiuliza atashinda vipi wakati haja ingia uwanjani na wala hana kikosi kizuri cha kushinda dakika ya 90+

Mimi nilifikiria na kuwaza labda atatumia skadi kama ile iliyopigwa kule ntwara na Jua kali ikasababisha Moshi usioeleweka na ukimya wa ghafla

Wakati wa kampeni nilisubiri kwa hamu kama watarudi tena ntwara ili nione matumizi ya Skadi za Kisasa na nilitegemea wangefyatua Kombora la ballistic, Watu hawakutokea ntwara tena

Mpaka sasa Membe alishashinda dakika ya 90+.Refaree au Muamuzi amelala, Wasaidizi wa Refaree nao wamepumzishwa kwa kuchanganywa majukwaani na Raia wa kawaida

Kuelewa mafumbo inahitaji nguvu ya ziada, Hujishughulishi na kazi wala hufanyi kazi umelala unasema nitaingiza pesa za kutosha, unazitoa wapi?

Hakika mpaka dakika ya 90 walikuwa wanaongoza lakini Benard Membe Umesawazisha dakika ya 90+ na kuwaacha MATAGA midomo wazi.

Ahaaa Nakumbuka Mzee wa V8 na wa Kutumia dola walisema fomu ya kugombea ni moja tu na Membe huna fomu ya kugombea, Leo wanawaza Demokrasia
 
kumbe ndivyo?
 
Acha uchawi na uanga!.
P
 
Nipo sana, ila hili ni bandiko la kichawi, kutaka kumsingizia BCM ndie aliyefanya mambo kwa kutuma scuds za maangamizi, zilizofanya mambo!.
The real cause is none other than karma

P

Hivi ni nani alitahadharisha juu ya karma? Lakini nimegundua Watanzania ni watu wanafiki sana na nadhani kumsema sana mtu asieweza kujitetetea ni kitu sio kizuri kwa sababu karma ilishatulipia sioni sababu za kuendelea na kejeli wala mijadala yake , japo nafahamu madhara ya kuwafanya watu wakae kimya kwa miaka saba sasa matokeo yake ni haya hadi vifua vipoe na hasira ziishe itachukua muda hasa ukizingatia uelekeo wa mrithi wa kiti ambae kajipambanua kuimarisha demokrasi
 
Ni muda kutokana na matendo yake ulifika wala hakuna cha uchawi wala nogwa
 
Nipo sana, ila hili ni bandiko la kichawi, kutaka kumsingizia BCM ndie aliyefanya mambo kwa kutuma scuds za maangamizi, zilizofanya mambo!.
The real cause is none other than karma

P
Hakika kila mtu anamtafuta mtu ambaye hampendi anamsingizia,sijui kwa manufaa ya nani?na ili iweje?
 
Wanabodi, Fumbo la Membe wengi tulishangaa kuwa atashinda dakika za tisini na nyongeza, Wengi walijiuliza atashinda vipi wakati haja ingia uwanjani na wala hana kikosi kizuri cha kushinda dakika ya 90+

Mimi nilifikiria na kuwaza labda atatumia skadi kama ile iliyopigwa kule ntwara na Jua kali ikasababisha Moshi usioeleweka na ukimya wa ghafla

Wakati wa kampeni nilisubiri kwa hamu kama watarudi tena ntwara ili nione matumizi ya Skadi za Kisasa na nilitegemea wangefyatua Kombora la ballistic, Watu hawakutokea ntwara tena

Mpaka sasa Membe alishashinda dakika ya 90+.Refaree au Muamuzi amelala, Wasaidizi wa Refaree nao wamepumzishwa kwa kuchanganywa majukwaani na Raia wa kawaida

Kuelewa mafumbo inahitaji nguvu ya ziada, Hujishughulishi na kazi wala hufanyi kazi umelala unasema nitaingiza pesa za kutosha, unazitoa wapi?

Hakika mpaka dakika ya 90 walikuwa wanaongoza lakini Benard Membe Umesawazisha dakika ya 90+ na kuwaacha MATAGA midomo wazi.

Ahaaa Nakumbuka Mzee wa V8 na wa Kutumia dola walisema fomu ya kugombea ni moja tu na Membe huna fomu ya kugombea, Leo wanawaza Demokrasia
Tumuache Mzee wetu apumzike kwa amani pale kaburini kwake katika kijiji cha Rubambangwe Chato. Kubwa kwetu tutambue mchango wake kwa nchi yetu na kama inawezekana tumuombee katika maisha yake mapya ya BARZAK.
 
Mambo ya Mtwara niliambiwa na dada yangu kwamba si kitu cha kawaida. Nilimuuliza kisa nini akaniambia korosho mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom