Si rahisi marehemu kulala kwa amani kama haya hayajajibiwa!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,316
24,179
Marehemu haongelewi vibaya karabia katika mila zote za kiafrika.

Lakini marehemu kama alitenda mabaya bila kuyasahihisha kabla ya kufariki, katika mila zetu, roho hake hailali kwa amani.
Inaendelea kutanga tanga hapa duniani hadi asamehewe na ukweli ujulikane.

Nauliza tu, nani alimpoteza Ben Saanane?
Nani alipanga kumwua Tundu Lissu
Pamoja na makosa yake Azory Gwanda kafa au mzima?
Kuna wazee wetu wamefungwa kwa hila mfano Shamte wa Tanga aliyefia gerezani.

Hapa hata kama una mikono yenye harufu ya roho moja tu, utalalaje kwa amani?
 
Huwa nakaa nawaza... Pengine siku moja huenda tukapata video za security camera zinazoonesha tukio... Mawazo tu
 
Namwomba Mungu siku yangu ikifika zaidi ya kuonana na ndugu zangu, niweze kuonana na hakina Saanane, Azory, Mawazo, Mwangosi na pia nitamwomba kufahamu wapi walipo hakina Jiwe na wengineo.

MWENYE DHAMBI HANA RAHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ben saanane hajapotea, mpaka humu ndani aliweka tangazo kuwa anatafutwa kuuliwa kwa sababu anaikosoa serikal, teena sehemu kubwa ni kujua PhD ya jiwe, sasa mtu kama anayo si aitoe? Au bod ya chuo itoe uthibitisho? Jamaa wakampoteza kweli, marehemu uko aliko Mungu ajua.

Lissu na yeye aliita waandishi habar, akawataja wakuu wa vyombo vya usalama, kipind kile TISS ikiongozwa na Kipilimba. Akataja mpka plate number ya gari. Lissu akapigwa risasi. Unajua huenda ghadhabu ya Mungu iliinuka sana wapi? Serikal ikasema haijui Lissu alipo, kwahiyi akavuliwa ubunge, na stahiki zake zote akakosa, na matibabu hakupewa. Muache Mungu aitwe Mungu, huenda alijua ni muda atalipa kisasi, Mungy hapiganiwi bhana, yeye mwenyewe hupambana.

Hao akina Mawazo, Akwillina, Zanzibar n.k bado damu inalia maana hawakufa kwa hatia. Bado pia mtu hata kusema tuombe rehema kwa makosa yanayofanyika nchini yeye haoni, anataka aombewe yeye, kwahiyi yote yanayotenda anaona kuwa ni sahihi.

Kafunga ajira toka aingie madarakani, pesa anajenga kwao chato, trillion 1.5 kaweka mfukoni, akafukuza na CAG wakati ule, wastaafu hakuna kuwapa kiinua mgongo chao, wakipata basi ni kwa shida mno. Fedha ananunulia ndege sijui miradi gani ambayo ni hasara tupu, raia uku bei ya mafuta ya kula, nyanya, sukari n.k haishikiki. Vijana wamejaa ajira hakuna.

Hawa wote vilio vyao vinafika kwa Mungu muumba mbingu na nchi.

Sio kazi yangu kukupeleka mbinguni au moton, na maombi hayawez yakageuza thawabu yako kwa Mungu kama ulikuwa nazo. Ila moyo wangu haukutakii mema huko ulikoenda, UKALIPWE SAWASAWA NA MATENDO YAKO.
 
Ni kweli mkuu, Mungu huwa hana upendeleo.
Ukitenda dhambi ya kuua inbidi utubu, tena hadharai ili roho za walipotea zipate inglau mapumziko.
Hili lisipofanyika hizo roho za waliopotea zitaendelea kufukuana na roho yako hapa hapa duniani!
 
Back
Top Bottom