Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu Watanzania wenzangu, pamoja na siku 21 za kuomboleza kifo cha Hayati Dr. Magufuli kuisha. Mimi bado naomboleza mpaka 40 yake ipite! Kuna makala yangu moja humu JF niliwahi kumtahadharisha...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanabodi, Hakika maamuzi ya JPM sasa yameanza kulipa kwa Watanzania hasa Graduate Udhibiti wa mapato kwenye halmashauri hasa kufuta ujinga wa posho na semina hakika sasa miradi inaonekana na...
5 Reactions
69 Replies
8K Views
Nikupe pongezi kwa shughuli pevu ya kukagua hesabu za Serikali, bila shaka tumeona ni kiasi gani fedha za Serikali zimepotea pasipo kufikia malengo kusudiwa, nikupongeze kwa hilo. Katika ukaguzi...
13 Reactions
49 Replies
5K Views
Ukiangalia huu atafunwaji sio mgenu i make report zote za CAG kuna utafunwaji mkubwa. Tena kwa wanao jua mambo ya Auditing ni kwamba huu utafunwaji ni ule unao onekana na Auditor ila pia huwa kuna...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Plato alipata kusema. "We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light" "Tunaweza msamehe kirahisi mtoto anayeogopa giza...
1 Reactions
4 Replies
916 Views
Wakuu nawasalim. Nimefuatilia ziara za Rais alizozifanya katika mikoa mbali mbali na hata hii ziara yake anayoifanya Mbeya. Rais akitembea na pesa nyingi sana tena cash kwa ajili ya kugawa...
52 Reactions
116 Replies
10K Views
SIKUWA MJINGA, NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO NDUGAI AMEJIBU. Na Yericko Nyerere Job Ndugai mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala Tanzania, ananirejesha...
40 Reactions
112 Replies
12K Views
Ukitafakari kwa kina utaona hakuna umuhimu wa ripoti ya CAG kupelekwa Bungeni. Spika wa Bunge amekuwa mtu wa Kwanza kudharau kazi ya CAG ambayo wapo wataalamu wanalipwa kuifanya. Aliikataa bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta utaanza mwezi Aprili na sio Julai kama ilivyopangwa awali Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanajamvi, picha huongea mengi. Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii. Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani? Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala...
40 Reactions
183 Replies
18K Views
Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli. Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimefuatilia hotuba za mgombea wa ccm toka siku ya kwanza ya ufunguzi wa kampeni pale jangwani nimegundua ni mtu makini na anayefuatilia mambo. Nimegundua ni mtu anayejiandaa kabla ya kuingia...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Kuna wimbi hatari la wanasiasa kuigeuza sejta ya afya na watumishi wake kama kinyago cha mpapure . yaani mwanasiasa akishashiba kande zake na mayai ya kuchemsha anaachia mapashtoon tu kwa sekta ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Akihojiwa na Charles Hilary juu ya matumizi makubwa nje ya Bajeti au kuidhinishwa na Bunge kama mkaguzi anasemaje. Amejibu sheria inataka kama kuna matumizi ya ziada ilitakiwa kuwasilishwa...
46 Reactions
283 Replies
41K Views
Nimeisoma kweye facebook page ya Zitto
0 Reactions
3 Replies
2K Views
PROF. ASSAD HII HADITH YA MTUME (SAW) UNAIJUA ?. Na Bashir Yakub. Mtu mmoja alimuuliza Mtume swallah llahu 'alayhi wasallah “Ipi ni jihad(harakati) bora?” Mtume Akasema: “Maneno ya haki...
38 Reactions
47 Replies
5K Views
Kama mnakumbuka CAG Prof.Assad alihoji malipo ya matibabu ya Spika zaidi ya dola 12,000,000 mwaka 2017. Mpaka leo CAG hajajiridhisha na malipo Ndugai hajapeleka nyaraka kufunga hoja. Humu JF...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanabodi, Kufuatia hili sakata la Bunge na CAG, nitakuwa nawaletea makala za uelimishaji kuhusu Katiba, mimi nikijiweka kwenye mtazamo wa mtunga katiba alidhamiria nini kuweka kipengele fulani...
106 Reactions
130 Replies
19K Views
Wanabodi,Mambo ya "SHIKWAMBI " " " au shinda kwa mbinu" iwe mvua au jua tumewaonyesha upinzani . Kila jambo na wakati wake na kila zama na zama zake.Huu ni wakati wa sisi wana ccm kula bata na...
1 Reactions
3 Replies
612 Views
Mbunge wa Mbongwe, Nikodmus Maganga ameshuri ni vyema serikali ikajikita kwenye miradi ambayo itafaidisha wote tukiwa bado wakiwa hai Ametolea mfano mradi wa ujenzi wa reli ya SGR kuwa ni ghali...
5 Reactions
73 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…