Maelekezo ya CHADEMA fedha za matibabu ya Mh.Ndugai hayakutekelezwa

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
33,262
2,000
images.jpeg

Kama mnakumbuka CAG Prof.Assad alihoji malipo ya matibabu ya Spika zaidi ya dola 12,000,000 mwaka 2017.

Mpaka leo CAG hajajiridhisha na malipo Ndugai hajapeleka nyaraka kufunga hoja.

Humu JF tunataka kuona nyaraka zote zinawasilishwa kwa CAG vyeti vya matibabu na madaktari walifanya operesheni.

Wananchi tunataka vyeti vyote vya hospitali, hesabu ya madaktari, alifanyiwa operesheni ngapi. Tunataka hesabu kamili ya miezi yote ya matibabu kama zimefika Dola za kimarekani milioni 12.

Kama ameshindwa arudishe hela,ili CAG wa watu afanye mambo mengine anachoka kusubiri toka 2017.
 
Kijogoodi

Senior Member
Mar 29, 2021
181
500
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
6,882
2,000
USD 12,000,000 au Tshs. 12,000,000...?

Kama ni USD ni matibabu gani hayo...?

Au alienda kuinunua hospitali yote kwa maana ya majengo, dawa, vifaa tiba na wafanyakazi au?

HAPANA, HII SIYO KWELI, HUU NI WIZI TU....

Hapo Spika Ndugai aliiba fedha za umma kwa JINA LA MATIBABU...!

Sasa watu ndiyo mueleww sasa ni kwanini ile sheria ya kinga ya viongozi akiwemo yeye na naibu wake ilipitishwa na Bunge chini ya uongozi wake...

Sababu iko very clear sasa kuwa, ni ili kukwepa mkono wa sheria kwa wizi kama huu...!!
 
Kijogoodi

Senior Member
Mar 29, 2021
181
500
Kismati cha kuitoa Chadema kutoka wabunge 100+ walioachwa na Dr Slaa hadi kubaki mbunge mmoja Joyce Mkuya??..
Hovyo kabisa kwa walamba viatu vya Mboe
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
33,262
2,000
USD 12,000,000 au Tshs. 12,000,000...?

Kama ni USD ni matibabu gani hayo...?

Au alienda kuinunua hospitali yote kwa maana ya majengo, dawa, vifaa tiba na wafanyakazi au?

HAPANA, HII SIYO KWELI, HUU NI WIZI TU....

Hapo Spika Ndugai aliiba fedha za umma kwa JINA LA MATIBABU...!

Sasa watu ndiyo mueleww sasa ni kwanini ile sheria ya kinga ya viongozi akiwemo yeye na naibu wake ilipitishwa na Bunge chini ya uongozi wake...

Sababu iko very clear sasa kuwa, ni ili kukwepa mkono wa sheria kwa wizi kama huu...!!
images.jpeg
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
27,629
2,000
Hata Penis transplant haifikii hizo gharama, au labda Spika ana Mioyo miwili kapandikiziwa.
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
8,792
2,000
ATCL wamepata hasara ya 60 Bn kwa mwaka. Ndani ya hiyo hasara kuna watu wamelipwa mishahara, na serikali ikapata kodi ya PAYE na SDL.

Kama Ndugai alitumia pesa hiyo kwa matibabu ndani ya mwaka mmoja, atakuwa na ujasiri wa kishetani kuhoji hasara ya ATCL.

Halafu kama afya yake ni mbovu kuigharimu nchi pesa yote hiyo kwanini asiachie uspika watu wenye afya njema!
 
Kapwil

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
2,179
2,000
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
Wee ni mjinga tu kama magufuli wako
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
39,902
2,000
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?

Atasema nini wakati huo wakati unajua fika yule alikuwa shetani?
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
6,882
2,000
Tunamkumbuka Hance Kitine wakati serikali ya awamu ya tatu ya Ben Mkapa...?

Alifanya wizi wa dizaini hii kwa jina la matibabu ya mkewe. Yeye hazikuwa USD bali nadhani ilikuwa Tshs 60,000,000...

Uchunguzi ulipofanyika ilibainika ni udanganyifu, wizi na alirudisha fedha ile...

Huyu Spika Ndugai naye asitudanganye. Wote tuna akili pengine kumzidi yeye...

Inawezekana kweli alikuwa anaumwa na kutibiwa nje lakini haiwezekani atumie Tshs. 26billion sawa na $12m...!!

Aseme pesa ameiweka wapi au ataje hospitali hiyo aliyotibiwa ili tufutilie tujue ukweli...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom