Je, wajua kikatiba, CAG ana hadhi ya Jaji Mkuu?. Je, wajua ripoti ya CAG ni Zaidi ya Bill?. Je, wajua kwenye ripoti ya GAG, CAG ni zaidi ya Rais ?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,574
Wanabodi,
Kufuatia hili sakata la Bunge na CAG, nitakuwa nawaletea makala za uelimishaji kuhusu Katiba, mimi nikijiweka kwenye mtazamo wa mtunga katiba alidhamiria nini kuweka kipengele fulani. Makala zangu zitakuwa kwenye mfumo wa maswali ili kujinyenyekeza mbele ya mabingwa wa katiba, nisije kuonekana najifanya ni authority ya katiba, lakini kiukweli kabisa from the bottom of my heart, tunaviongozi wetu waliokula viapo vya kuilinda na kuitekeleza katiba, lakini in reality hawaijui katiba, na kwa kutoijua kwao katiba, wanajikuta wanaivunja katiba, lakini kufuatia wavunja katiba hawa kuwa ni viongozi wa juu wenye mamlaka, wale wasaidizi wao, manguli wa sheria, wapo, wanaona katiba inavunjwa na wamenyamaza tuu kwa kuhofia wasiwaudhi mabosi wao.

Kiukweli kabisa, katiba japo ni kakitabu kadogo tuu ka kurasa 112, lakini ndicho kitabu muhimu kabisa kwa taifa letu apart from The Bible na Msahafu, lakini wengi wa viongozi wetu wengine wakuu, hawaijui katiba na kuna mambo wanafanya kwa nia njema kabisa tena with clear conscious in good faith, kumbe wanavunja katiba, laiti wasaidizi wao wanaojua kabisa huu ni uvunjaji wa Katiba, wangewaeleza ma mosi wao kwa heshima na unyenyekevu kabisa kuwa boss, kwenye hili katiba inaelekeza hivi, naamini tungetengeneza Tanzania bora zaidi kuliko hii ninayoina mimi.

Topic hii ni kuhusu Jee Wajua Hadhi ya CAG kwa mujibu wa Katiba, ana hadhi sawa ni Kama Jaji Mkuu na Majaji?. Jee Wajua Ripoti ya CAG ni Zaidi ya Muswada wa Sheria, a Bill?. Kama Bunge Linavunjwa Lilikataa Kupitisha Muswada wa Sheria Kutoka kwa Rais, Jee Bunge Litafanywa Nini Likikataa Kupokea Ripoti ya CAG?. Jee Wajua Kwenye Ripoti ya GAG, CAG Akiishaikabidhi Ripoti ya CAG kwa Rais, Inageuka Ripoti ya Rais, Lakini Rais Asipoiwasilisha Bungeni, CAG Ana M Bypass Rais na Kuiwasilisha Yeye, Hivyo as far as CAG Report is Concerned, CAG ni Zaidi ya Rais?, Jee Ni Bunge Gani Linaweza Kukataa Kupokea Ripoti ya Rais?.
  1. Tanzania ni nchi yenye mihimili mitatu ya Dola, Serikali, Bunge na Mahakama, mihimili hii inaongozwa na wakuu wa mihimili, Rais, Spika na Jaji Mkuu, kinadharia wakuu wa mihimili wana hadhi sawa na kila mhimili una powers zake na mamlaka yake kutoingiliwa na mamlaka nyingine, ila kiukweli, tukubali tukatae, Mkuu wa Mhimili wa Serikali ndio mkubwa kuliko wakuu wa mihimili hii mingine miwili na kwa kifupi Rais wa JMT ndio kila kitu. Bunge likitunga sheria, sheria hiyo sio sheria hadi rais aridhie. Mahakama ikitoka Capital Punishment, haitekelezwi hadi rais asaini, hivyo rais wa JMT ndio kila kitu.
  2. Enzi za Nyerere kufuatia Mwalimu Nyerere kuwa Mjamaa, issue za hadhi haikuwa a very big deal, wote tuliitana ndugu, viogozi waliitwa ndugu, Mwalimu mwenyewe alipenda aitwe Mwalimu. Mambo ya hadhi yalibadilika alipoingia Mwinyi, Mkapa, JK na sasa Magufuli. Nyerere tulisani nae St, Peters, alikuwa akitembea na msafara wa magari 3, sijui kama Mama Maria alikuwa na gari au mlinzi, ila watoto wanaokaa Msasani tumesoma nao shule za kawaida. Mwinyi mambo yakaongezeka mke wa rais nae ana gari, Mkapa mambo yakaongezeka, JK yakaongezeka, saa hizi msafara wa rais Magufuli sijui hata ni magari mangapi, haya ni mambo ya hadhi.
  3. Ukiacha hadhi ya rais, wakuu wengine wa mihimili Spika na Jaji Mkuu nao wana hadhi zao, Spika Msekwa kufuatia kuwa Mjamaa kama Mwalimu, hadhi kwake was not a big thing. Lakini alipoingia Sitta ndio akaboresha hadhi ya Spika kuanzia ofisi, makazi hadi magari. Vivyo hivyo kwa Jaji Mkuu. Swali ni sijui ni viongozi wangapi wanajua kuwa kwa mujibu wa katiba, hadhi ya CAG ni kama hadhi ya Jaji Mkuu na majaji rufani. Lengo la kuizungumzia hadhi ya CAG ni kuwaelimisha tuu watu humu kuwa CAG sio mtu mdogo wa kuitwa na kutishiwa kwa pingu, na siku alipofika kuhojiwa, alipitia mlango wa kawaida badala ya VIP na kusachiwa kama akina sisi kajam.. nani!. Naomba nisiiweke authority ya ya hadhi ya CAG kuwa sawa na hadhi ya Jaji Mkuu, kwa sababu fulani na naomba msiniulize, lakini kaa tuu ukifahamu, hadhi ya CAG kikatiba ni kama hadhi ya Jaji Mkuu, hivyo huyu sio mtu wa mchezo mchezo.
  4. Ni kufuatia hadhi hii, japo serikali ina mihimili mitatu, lakini CAG ni moja ya maofisa wanaotajwa na katiba, Constitutional Officers ambao wako Independent, kama ilivyo Serikali, Bunge na Mahakama, ofisi ya CAG ni ofisi ya 4 kwa independence na ya tano ni Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora. Hivyo CAG amedharauliwa na kudhalilishwa na Bunge kwa kuonekana kama ni mtu mdogo fulani, hadi Bunge kutoa Azimio la kutofanyakazi na CAG, azimio hilo ni batili kwa sababu kwa mujibu wa katiba, CAG, hahitaji kuomba ruhusa popote kwa yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, hivyo hata kama Bunge wametoa azimio lao batili, wakati wa ukaguzi, CAG anaingia popote bila kuzuiliwa na yeyote.
  5. Kiukweli vitu vingine ni kutokujua tuu, baada ya Bunge kutoa azimio la kutofanya kazi na CAG, sijui ni wabunge wangapi wanaojua kuwa kwa mujibu wa katiba, ni CAG ndiye anayeidhinisha matumizi ya fedha za serikali kutoka mfuko mkuu wa hazina, hivyo sasa kama ni kutunishiana misuli kati ya Bunge na CAG, nae akikukubali kuwa maadam Bunge ndio wameanza, na kutumia kanuni ya "anza wewe mimi namaliza", Bunge likasema halifanyi kazi na CAG, CAG nae akaitika kuwa sawa na mimi sifanyi kazi na Bunge, na kwa kuanzia hata idhinisha fedha za Bunge, hivyo Bunge halina mamlaka ya kutumia fedha za serikali, kwa vile halikaguliwi, who will suffer most?. Soma Ibara ya 136 (3) Moneys in the Consolidated Fund of the Government of the United Republic shall not be paid out of that Fund for the purpose of expenditure unless and until such expenditure has been approved by the Controller and Auditor General, and also on condition that such money shall have been paid out in accordance with a procedure prescribed for that purpose pursuant to a law enacted by Parliament.
  6. Jee unajua kuwa kwa mujibu wa katiba, Ripoti ya CAG ina nguvu kuliko miswada ya sheria? Ili kuizungumza nguvu ya Ripoti ya CAG, nimeamua kuifafanua kutokana na swali la Mwana jf huyu
    hivi Mkuu samahani hivi ata report ya CAG nayo ni muswada(bill) kumbe....
    Ripoti ya CAG ni zaidi ya Bill kwa sababu
  7. Kwenye Bills rais akipelekewa bill, yuko huru kuisani kwa muda wake wowote ataopenda, hata asiposaini kwa mwaka mzima, hakuna wa kumuuliza, lakini rais anapopelekewa Ripoti ya CAG, rais anapewa siku 7 tuu iwe imetoka mikoni mwake na kuwasilishwa Bungeni.
  8. Kwenye bills, rais amepewa options anaweza kuisaini, au kuikataa bill na kuirudisha Bungeni ikafanyiwe marekebisho, lakini kwenye Ripoti ya CAG, rais hajapewa options zozote, hili la rais kutokuwa hana option yoyote hii ni amri ya kistaarabu, there is no room for any discussion kwa rais kuikataa ripoti ya CAG bali ni kuipokea, kuisoma na kuwasilisha Bungeni.
  9. Kwenye Bills rais akiikataa bill fulani, anaweza kukaa nayo muda wowote anaopenda yeye au atakavyojisikia kabla ya kuirudisha bungeni kufanyiwa marekebisho, lakini kwenye ripoti ya CAG, rais hana mamlaka yoyote na ripoti hiyo, hivyo rais akiipokea ripoti ya CAG, inaandamana na maamrisho yenye ultimatum ya siku siku 7 tuu, zikipita, na zikipiti bila rais kuiwasilisha ripoti hiyo Bungeni, then mamlaka ya rais kwa ripoti hiyo ya CAG yanakomea hapo.
  10. Jee unajua kuwa Ripoti ya CAG ikiishakabidhiwa kwa rais, inakuwa ime change hands na status, sasa inakuwa sio Ripoti ya CAG, ni Ripoti ya Rais inayoitwa Ripoti ya CAG, na anayeipeleka Bungeni ni rais na kule inapokelewa kama ripoti ya rais, sasa kama Bunge linaweza kuvunjwa lisipopokea Muswada, jee kwa Ripoti Hii ambayo ni kubwa kuliko Muswada, Bunge lisipopokea, litafanywa nini?.
  11. Katiba imempa CAG mamlaka kuu zaidi ya rais, iwapo rais hataiwasilisha ripoti ya CAG bungeni ndani ya siku hizo saba, then CAG anakuwa ni zaidi ya rais, ana mby pass rais na kuipeleka ripoti hiyo Bungeni hivyo as far as ripoti ya CAG is concerned, CAG ni zaidi ya rais, maana rais anaweza asiipeleke bungeni kwa vile haipendi, Katiba imemuelekeza CAG, "achana na rais, ichukue ripoti yako ipeleke Bungeni. Sasa jiuliza kama rais tuu anaweza kuwa bypassed ripoti itue Bungeni, hilo Bunge la kuikataa ripoti ya CAG, kwa sababu imesainiwa na Prof Assad ni Bunge gani?.
  12. Kama kwa mujibu wa ibara ya 90, Bunge linaweza kuvunjwa likikataa muswada tuu wa rais, jee Bunge likiikataa ripoti ya CAG ambayo ni zaidi ya muswada, litafanywa nini?. Kiukweli kabisa, msibabaishwe na lile azimio batili la Bunge na ile kauli ya kujifurahisha ya Spika, kuwa halitaipokea Ripoti ya CAG yenye saini ya Assad, ukweli ni kuwa Bunge halina option ya kuchagua kuipokea au kukataa kuipokea ripoti ya CAG, Bunge halina uwezo huo liliodhania linao, na ikitokea kweli lisipoipokea ripoti hiyo, rais anapaswa kulivunja Bunge kwa mujibu wa Ibara ya 90 (c)
Hitimisho.
Namalizia na lile swali
Topic hii ni kuhusu Jee Wajua Hadhi ya CAG kwa mujibu wa Katiba, ana hadhi sawa ni Kama Jaji Mkuu na Majaji?. Jee Wajua Ripoti ya CAG ni Zaidi ya Muswada wa Sheria, a Bill?. Kama Bunge Linavunjwa Lilikataa Kupitisha Muswada wa Sheria Kutoka kwa Rais, Jee Bunge Litafanywa Nini Likikataa Kupokea Ripoti ya CAG?. Jee Wajua Kwenye Ripoti ya GAG, CAG Akiishaikabidhi Ripoti ya CAG kwa Rais, Inageuka Ripoti ya Rais, Lakini Rais Asipoiwasilisha Bungeni, CAG Ana M Bypass Rais na Kuiwasilisha Yeye, Hivyo as far as CAG Report is Concerned, CAG ni Zaidi ya Rais?, Jee Ni Bunge Gani Linaweza Kukataa Kupokea Ripoti ya Rais?.
Jumamosi Njema.

Paskali
KaShivjiKadogo.
 
Mwelekeo wa serikali na bunge Tangu mwanzo ulionesha jambo kama hiki au zaidi ya hili litatokea. Maana lengo kuu ni kuzifuta sauti zote zinazokosoa

  5. Kiukweli vitu vingine ni kutokujua tuu, baada ya Bunge kutoa azimio la kutofanya kazi na CAG, sijui ni wabunge wangapi wanaojua kuwa kwa mujibu wa katiba, ni CAG ndiye anayeidhinisha matumizi ya fedha za serikali kutoka mfuko mkuu wa hazina, hivyo sasa kama ni kutunishiana misuli kati ya Bunge na CAG, nae akikukubali kuwa maadam Bunge ndio wameanza, na kutumia kanuni ya "anza wewe mimi namaliza", Bunge likasema halifanyi kazi na CAG, CAG nae akaitika kuwa sawa na mimi sifanyi kazi na Bunge, na kwa kuanzia hata idhinisha fedha za Bunge, hivyo Bunge halina mamlaka ya kutumia fedha za serikali, kwa vile halikaguliwi, who will suffer most?.
  6. Jee unajua kuwa kwa mujibu wa katiba, Ripoti ya CAG ina nguvu kuliko miswada ya sheria? Ili kuisungumza nguvu ya Ripoti ya CAG, nimeamua kuifafanua kutokana na swali la Mwana jf huyu Ripoti ya CAG ni zaidi ya Bill kwa sababu
  7. Kwenye Bills rais akipelekewa bill, yuko huru kuisani kwa muda wake wowote ataopenda, hata asiposaini kwa mwaka mzima, hakuna wa kumuuliza, lakini rais anapopelekewa Ripoti ya CAG, rais anapewa siku 7 tuu iwe imetoka mikoni mwake na kuwasilishwa Bungeni.
  8. Kwenye bills, rais amepewa options anaweza kuisaini, au kuikataa bill na kuirudisha Bungeni ikafanyiwe marekebisho, lakini kwenye Ripoti ya CAG, rais hajapewa options zozote, hili la rais kutokuwa hana option yoyote hii ni amri ya kistaarabu, there is no room for any discussion kwa rais kuikataa ripoti ya CAG bali ni kuipokea, kuisoma na kuwasilisha Bungeni.
  9. Kwenye Bills rais akiikataa bill fulani, anaweza kukaa nayo muda wowote anaopenda yeye au atakavyojisikia kabla ya kuirudisha bungeni kufanyiwa marekebisho, lakini kwenye ripoti ya CAG, rais hana mamlaka yoyote na ripoti hiyo, hivyo rais akiipokea ripoti ya CAG, inaandamana na maamrisho yenye ultimatum ya siku siku 7 tuu, zikipita, na zikipiti bila rais kuiwasilisha ripoti hiyo Bungeni, then mamlaka ya rais kwa ripoti hiyo ya CAG yanakomea hapo.
  10. Jee unajua kuwa Ripoti ya CAG ikiishakabidhiwa kwa rais, inakuwa ime change hands na status, sasa inakuwa sio Ripoti ya CAG, ni Ripoti ya Rais inayoitwa Ripoti ya CAG, na anayeipeleka Bungeni ni rais na kule inapokelewa kama ripoti ya rais, sasa kama Bunge linaweza kuvunjwa lisipopokea Muswada, jee kwa Ripoti Hii ambayo ni kubwa kuliko Muswada, Bunge lisipopokea, litafanywa nini?.
  11. Katiba imempa CAG mamlaka kuu zaidi ya rais, iwapo rais hataiwasilisha ripoti ya CAG bungeni ndani ya siku hizo saba, then CAG anakuwa ni zaidi ya rais, ana mby pass rais na kuipeleka ripoti hiyo Bungeni hivyo as far as ripoti ya CAG is concerned, CAG ni zaidi ya rais, maana rais anaweza asiipeleke bungeni kwa vile haipendi, Katiba imemuelekeza CAG, "achana na rais, ichukue ripoti yako ipeleke Bungeni. Sasa jiuliza kama rais tuu anaweza kuwa bypassed ripoti itue Bungeni, hilo Bunge la kuikataa ripoti ya CAG, kwa sababu imesainiwa na Prof Assad ni Bunge gani?.
  12. Kama kwa mujibu wa ibara ya 90, Bunge linaweza kuvunjwa likikataa muswada tuu wa rais, jee Bunge likiikataa ripoti ya CAG ambayo ni zaidi ya muswada, litafanywa nini?. Kiukweli kabisa, msibabaishwe na lile azimio batili la Bunge na ile kauli ya kujifurahisha ya Spika, kuwa halitaipokea Ripoti ya CAG yenye saini ya Assad, ukweli ni kuwa Bunge halina option ya kuchagua kuipokea au kukataa kuipokea ripoti ya CAG, Bunge halina uwezo huo liliodhania linao, na ikitokea kweli lisipoipokea ripoti hiyo, rais anapaswa kulivunja Bunge kwa mujibu wa Ibara ya 90 (c)
Hitimisho.
Namalizia na lile swali
Topic hii ni kuhusu Jee Wajua Hadhi ya CAG kwa mujibu wa Katiba, ana hadhi sawa ni Kama Jaji Mkuu na Majaji?. Jee Wajua Ripoti ya CAG ni Zaidi ya Muswada wa Sheria, a Bill?. Kama Bunge Linavunjwa Lilikataa Kupitisha Muswada wa Sheria Kutoka kwa Rais, Jee Bunge Litafanywa Nini Likikataa Kupokea Ripoti ya CAG?. Jee Wajua Kwenye Ripoti ya GAG, CAG Akiishaikabidhi Ripoti ya CAG kwa Rais, Inageuka Ripoti ya Rais, Lakini Rais Asipoiwasilisha Bungeni, CAG Ana M Bypass Rais na Kuiwasilisha Yeye, Hivyo as far as CAG Report is Concerned, CAG ni Zaidi ya Rais?, Jee Ni Bunge Gani Linaweza Kukataa Kupokea Ripoti ya Rais?.
Jumamosi Njema.

Paskali
KaShivjiKadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hao wataalamu wa Katiba na Sheria wanashindwa kushauri vizuri au wanaogopa kuwaambia ukweli wakubwa hasa Rais.

Maana akina Ndungai jeuri yote hii kwa sababu Magufuli yupo pamoja nae...

Je safari hii Katiba itavunjwa waziwazi mapema kweupe...

Kila kitu kipo mikononi mwa Magufuli.
 
Wanabodi,
Kufuatia hili sakata la Bunge na CAG, nitakuwa nawaletea makala za uelimishaji kuhusu Katiba, mimi nikijiweka kwenye mtazamo wa mtunga katiba alidhamiria nini kuweka kipengele fulani. Makala zangu zitakuwa kwenye mfumo wa maswali ili kujinyenyekeza mbele ya mabingwa wa katiba, nisije kuonekana najifanya ni authority ya katiba, lakini kiukweli kabisa from the bottom of my heart, tunaviongozi wetu waliokula viapo vya kuilinda na kuitekeleza katiba, lakini in reality hawaijui katiba, na kwa kutoijua kwao katiba, wanajikuta wanaivunja katiba, lakini kufuatia wavunja katiba hawa kuwa ni viongozi wa juu wenye mamlaka, wale wasaidizi wao, manguli wa sheria, wapo, wanaona katiba inavunjwa na wamenyamaza tuu kwa kuhofia wasiwaudhi mabosi wao.

Kiukweli kabisa, katiba japo ni kakitabu kadogo tuu ka kurasa 112, lakini ndicho kitabu muhimu kabisa kwa taifa letu apart from The Bible na Msahafu, lakini wengi wa viongozi wetu wengine wakuu, hawaijui katiba na kuna mambo wanafanya kwa nia njema kabisa tena with clear conscious in good faith, kumbe wanavunja katiba, laiti wasaidizi wao wanaojua kabisa huu ni uvunjaji wa Katiba, wangewaeleza ma mosi wao kwa heshima na unyenyekevu kabisa kuwa boss, kwenye hili katiba inaelekeza hivi, naamini tungetengeneza Tanzania bora zaidi kuliko hii ninayoina mimi.

Topic hii ni kuhusu Jee Wajua Hadhi ya CAG kwa mujibu wa Katiba, ana hadhi sawa ni Kama Jaji Mkuu na Majaji?. Jee Wajua Ripoti ya CAG ni Zaidi ya Muswada wa Sheria, a Bill?. Kama Bunge Linavunjwa Lilikataa Kupitisha Muswada wa Sheria Kutoka kwa Rais, Jee Bunge Litafanywa Nini Likikataa Kupokea Ripoti ya CAG?. Jee Wajua Kwenye Ripoti ya GAG, CAG Akiishaikabidhi Ripoti ya CAG kwa Rais, Inageuka Ripoti ya Rais, Lakini Rais Asipoiwasilisha Bungeni, CAG Ana M Bypass Rais na Kuiwasilisha Yeye, Hivyo as far as CAG Report is Concerned, CAG ni Zaidi ya Rais?, Jee Ni Bunge Gani Linaweza Kukataa Kupokea Ripoti ya Rais?.
  1. Tanzania ni nchi yenye mihimili mitatu ya Dola, Serikali, Bunge na Mahakama, mihimili hii inaongozwa na wakuu wa mihimili, Rais, Spika na Jaji Mkuu, kinadharia wakuu wa mihimili wana hadhi sawa na kila mhimili una powers zake na mamlaka yake kutoingiliwa na mamlaka nyingine, ila kiukweli, tukubali tukatae, Mkuu wa Mhimili wa Serikali ndio mkubwa kuliko wakuu wa mihimili hii mingine miwili na kwa kifupi Rais wa JMT ndio kila kitu. Bunge likitunga sheria, sheria hiyo sio sheria hadi rais aridhie. Mahakama ikitoka Capital Punishment, haitekelezwi hadi rais asaini, hivyo rais wa JMT ndio kila kitu.
  2. Enzi za Nyerere kufuatia Mwalimu Nyerere kuwa Mjamaa, issue za hadhi haikuwa a very big deal, wote tuliitana ndugu, viogozi waliitwa ndugu, Mwalimu mwenyewe alipenda aitwe Mwalimu. Mambo ya hadhi yalibadilika alipoingia Mwinyi, Mkapa, JK na sasa Magufuli. Nyerere tulisani nae St, Peters, alikuwa akitembea na msafara wa magari 3, sijui kama Mama Maria alikuwa na gari au mlinzi, ila watoto wanaokaa Msasani tumesoma nao shule za kawaida. Mwinyi mambo yakaongezeka mke wa rais nae ana gari, Mkapa mambo yakaongezeka, JK yakaongezeka, saa hizi msafara wa rais Magufuli sijui hata ni magari mangapi, haya ni mambo ya hadhi.
  3. Ukiacha hadhi ya rais, wakuu wengine wa mihimili Spika na Jaji Mkuu nao wana hadhi zao, Spika Msekwa kufuatia kuwa Mjamaa kama Mwalimu, hadhi kwake was not a big thing. Lakini alipoingia Sitta ndio akaboresha hadhi ya Spika kuanzia ofisi, makazi hadi magari. Vivyo hivyo kwa Jaji Mkuu. Swali ni sijui ni viongozi wangapi wanajua kuwa kwa mujibu wa katiba, hadhi ya CAG ni kama hadhi ya Jaji Mkuu na majaji rufani. Lengo la kuizungumzia hadhi ya CAG ni kuwaelimisha tuu watu humu kuwa CAG sio mtu mdogo wa kuitwa na kutishiwa kwa pingu, na siku alipofika kuhojiwa, alipitia mlango wa kawaida badala ya VIP na kusachiwa kama akina sisi kajam.. nani!. Naomba nisiiweke authority ya ya hadhi ya CAG kuwa sawa na hadhi ya Jaji Mkuu, kwa sababu fulani na naomba msiniulize, lakini kaa tuu ukifahamu, hadhi ya CAG kikatiba ni kama hadhi ya Jaji Mkuu, hivyo huyu sio mtu wa mchezo mchezo.
  4. Ni kufuatia hadhi hii, japo serikali ina mihimili mitatu, lakini CAG ni moja ya maofisa wanaotajwa na katiba, Constitutional Officers ambao wako Independent, kama ilivyo Serikali, Bunge na Mahakama, ofisi ya CAG ni ofisi ya 4 kwa independence na ya tano ni Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora. Hivyo CAG amedharauliwa na kudhalilishwa na Bunge kwa kuonekana kama ni mtu mdogo fulani, hadi Bunge kutoa Azimio la kutofanyakazi na CAG, azimio hilo ni batili kwa sababu kwa mujibu wa katiba, CAG, hahitaji kuomba ruhusa popote kwa yeyote katika utekelezaji wa shughuli zake, hivyo hata kama Bunge wametoa azimio lao batili, wakati wa ukaguzi, CAG anaingia popote bila kuzuiliwa na yeyote.
  5. Kiukweli vitu vingine ni kutokujua tuu, baada ya Bunge kutoa azimio la kutofanya kazi na CAG, sijui ni wabunge wangapi wanaojua kuwa kwa mujibu wa katiba, ni CAG ndiye anayeidhinisha matumizi ya fedha za serikali kutoka mfuko mkuu wa hazina, hivyo sasa kama ni kutunishiana misuli kati ya Bunge na CAG, nae akikukubali kuwa maadam Bunge ndio wameanza, na kutumia kanuni ya "anza wewe mimi namaliza", Bunge likasema halifanyi kazi na CAG, CAG nae akaitika kuwa sawa na mimi sifanyi kazi na Bunge, na kwa kuanzia hata idhinisha fedha za Bunge, hivyo Bunge halina mamlaka ya kutumia fedha za serikali, kwa vile halikaguliwi, who will suffer most?. Soma Ibara ya 136 (3) Moneys in the Consolidated Fund of the Government of the United Republic shall not be paid out of that Fund for the purpose of expenditure unless and until such expenditure has been approved by the Controller and Auditor General, and also on condition that such money shall have been paid out in accordance with a procedure prescribed for that purpose pursuant to a law enacted by Parliament.
  6. Jee unajua kuwa kwa mujibu wa katiba, Ripoti ya CAG ina nguvu kuliko miswada ya sheria? Ili kuizungumza nguvu ya Ripoti ya CAG, nimeamua kuifafanua kutokana na swali la Mwana jf huyu Ripoti ya CAG ni zaidi ya Bill kwa sababu

Pascal, lkn Ndugai ni kibaraka mzuri wa Rais, sasa itakuwaje? Haya anayoyafanya Ndugai yana baraka tele za huyo rafiki yake! Hawezi kufanya haya bila support ya rais, this is my thinking kwa vile alimwambia kuwa wavurumushe huko bungeni, huku nje watanikuta mimi!
 
hivi watu kama Kabudi wanautumia uprofesa wao kufanyia nini??
 
Wa kulaumiwa hapa ni mwanasheria mkuu wa serikali kutofafanua hadhi ya CAG mbele ya spika. Ili ajuwe hana uwezo wa kuikataa repot ya CAG, halafu aibu spika mzima haijui katiba. Ndio maana mihemko mingi kuliko ufataji wa katiba na sheria zake.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom