Kwa jina la JMT.
Sijashuhidia hili ila miaka mingi nimekuwa nasikia kuwa kodi huko visiwa vya Zanzibar iko chini sana. Zamani ndugu yangu mmoja alikuwa anafuata vitu huko. Juzi kati kuna jamaa...
Kile tunachofahamu juu ya vidonge vya damu visivyo vya kawaida vilivyounganishwa na chanjo ya J & J .
Wataalam wanafikiria jinsi ya kugundua haraka na kutibu mgando usio wa kawaida unaosababishwa...
Ule usemi wa Nabii hakubali kwao, ni mfano hai uliopo hapa Tanzania, nchi jirani zinamtamani Mh. Magufuli akaitawale nchi zao angalau hata kwa dakika moja lakini haiwezekani. Mh magufuli amefanya...
Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake.
Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa...
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kuzitumia mvua zinazoendelea kunyesha kwa kulima mazao ya biashara ili kuweza kuziuzia nchi zinazokabiliwa na...
NANI ANAONGOZA NCHI YETU?
1. Utangulizi:
Ndugu Wananchi
Katika siku za hivi karibuni suala la afya ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli limekuwa katika...
Mbunge wa Kibamba kupitia CHADEMA, John Mnyika kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter amesema kuwa Chadema Mdude amechukuliwa na Watu wenye silaha
Aidha, yeye mwenyewe amesema...
CAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za Serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu...
MCHANGO WA DR. JOHN POMBE MAGUFULI NCHINI TANZANIA NA BARA LA AFRIKA KWA UJUMLA.
Dr. John Pombe Magufuli aliyehudumu kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya Tano aliheshimika...
For patients in need of an intestinal transplant, the average cost is a whopping $1,206,800 – the most expensive medical bill issued for a single procedure in the United States and probably in the...
Habari wananchi,
Kuwekua na trend ya CCM kuulaumu aidha moja kwa moja au vinginevyo utawala uliopita ,sababu zinajulikana!
Mara nyingi tu utawala wa Magufuli na watu watu wake walikua...
Chama cha CUF kimesema hakitashiriki uchaguzi wowote utakaoitishwa kwa sababu bado wanapima hali ya kisiasa nchini ikiwemo uhalali wa tume ya uchaguzi.
Mwenyekiti Prof Lipumba amesema maamuzi...
Mimi binafsi nathubutu kusema ni raia mwema, sijawahi kuwa na kesi Wala kushtakiwa kwa chochote tokea nizaliwe pamoja na kukulia mazingira hatarishi Kinondoni Manyanya.
Mimi nipo pamoja na mama...
Wakiwa katika majadiliano ya wenyewe kwa wenyewe na mbunge Zitto Kabwe Huko Ubungo mapema mwezi huu, niliwasikia vijana hao wa CHADEMA kumtupia sifa nyingi JK huku mbunge huyo akiwasikiliza kwa...
January kawachana kina Lowassa,Membe na wengineo kuwa wote waliozaliwa kabla ya 1961 waachane na mawazo ya Urais maana watatupotezea muda ...tunahitaji rais wa dot.com atakayeendana na changamoto...
Mama Samia shujaa amefika Dodoma leo akitokea Dar, tayari kwa kutekeleza ile kauli mbiu ya kazi iendelee.
Pia kwa wale watu vizabizabina, Mama Samia hajipangii ulinzi anapangiwa(makomandoo wenye...
Kutokana na uhaba wa walimu wa sayansi nashauri wanasiasa woote walio someshwa kwa fedha za wananchi tena free warudi darasani wakafundishe.
Hawa wanasiasa wanatakiwa kuwa wazalendo, haiwezekani...
'Mwosha huoshwa'.
Nape Nnauye ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.
Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu...
Kamati ya siasa wilaya ya Kisarawe wamemtaka mkurugenzi wa halmashauri kutoa uthibitisho wa namna walivyotumia tsh 56 milioni kujenga matundu machache ya vyoo tena chini ya kiwango
Wajumbe wa...
Baada ya kifo cha aliyekuwa Rais Bwana John Magufuli imejitokeza bila kificho hali kuwa alikuwa na wafuasi wengi kwa sababu zao waliokua wanamuunga mkono lakini pia wapo wengi waliokua wanamchukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.