Ziara ya BAVICHA Magereza yaanza kuzaa Matunda. Mahakama ya Songwe yamuachia huru Moses Mwaifunga aliyesoteshwa jela kwa miezi 5

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,561
217,865
@chadema_in_blood_shared_a_photo_on_Instagram:_“BREAKINGNEWS__Baada_ya_viongozi_wa_Bavicha_Tai...jpg

Moses Mwaifunga ni miongoni mwa vijana lukuki wa Chadema waliobambikwa kesi za uongo karibu nchi nzima , huyu alipewa kesi ya kutunga na ya uongo ya mauaji ili kumkomoa kwa sababu za kisiasa.

Sasa baada ya ziara ya viongozi wa Bavicha Taifa kwenye Magereza za Mbeya na Songwe za kuwajulia hali wafungwa hao wa kisiasa ambao wako zaidi ya 100 , leo Mahakama imemwachia huru Mwaifunga bila masharti yoyote .

Tahadhari : Wale wote waliotumika kutengeneza kesi hizi za uongo ili kumfurahisha aliyewatuma wajiandae , Mungu hataniwi .
 
Back
Top Bottom