Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,502
- 51,098
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.
Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tutawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.
Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la sivyo Andungulile achia hiyo nafasi hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi