nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Iwe chadema, NCCR, CUF na ACT wazalendo. Hawawezi kukwepa kuongozwa na serikali ya CCM. Ndiyo maana Kuna msemo, chama tawala chama Dola ( siupendi msemo huu)
Kazi ya vyombo vya Dola ni kulinda nchi, wananchi,viongozi wa chama tawala na viongozi was juu nchi kwa umuhimu mkubwa.
Hali so shwari kwa Sasa ndani ya ccm( chama tawala). Kuna makundi mawili
1. Kundi la marehemu magufuli, hili linajiona Lina haki ya kuendesha nchi kwa kusimama na ubabe, kejeri zilezile za magufuli kwa wanaompinga. (Fuatilie bunge) Kundi hili magufuli angali akiishi mioyoni mwao na huenda wanaamini kuwa amesafiri tu na
akirudi akute wakiendeleza kazi zake. Haliko tayari kuamini ktk kuongozwa na Rais yeyote licha ya mwanamke.
2. Kundi la Rais Samia suluhu Hili nilichoshwa na ubabe wa magufuli, Kundi hili ni Kama lilitengwa na aliyekuwa mwenyekiti wa chama, kundi hili lilishindwa kukosoa kabla ya kifo cha Magufuli lilihofia usalama wao na waliokosoa Atuliwaona wakienda kupiga magoti.
Kundi hili kwasasa limefungua vinywa kusema yaliyojaza mioyo yao.
SWALI
Vyombo vya dola visimame wapi?
Kwa muktadha huu,vyombo vyombo hivi vikilalia upande was kundi la Kwanza itakuwa Zimbabwe ya pili,hapo ndipo penye hatari
Kwa mitafaruku Kama hii maadui wa nchi hasa walioko nje,hutumia moja ya pande zilizofarakana kutoa ufadhiri was siraha au fedha ili nchi isitawalike na umwagaji wa damu utokee.
NASHAURI
Viongozi wa juu wastahafu waingilie Kati ili kuinusuru nchi
AMA RAIS AVUNJE BUNGE NA BARAZA LA MAWAZIRI TURUDI KWENYE UCHAGUZI
NA HII ITAKUWA DAWA YA HUU MPASUKO WA CCM.