Rais Mama Samia, anatoa hotuba bila matusi wala kufoka hovyo, huu ndio uongozi

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,979
28,505
Hakika!

Mama yetu huyu ni kiongozi na uwasilishaji wa hotuba anautendea haki sana.

Kwenye hotuba zake hatukani wala hafoki hovyo

Tunahitaji viongozi wa namna hii wenye uwezo wa kutoa hotuba zikaeleweka kwa njia nyepesi tena hata bila kutoa mifano ya ngono, Hongera Rais Wetu.
 
"In a republican nation, whose citizens are to be led by reason and persuasion and not by force, the art of reasoning becomes of first importance." - Thomas Jefferson.

"Democratic institutions require that citizens think for themselves, discuss problems freely with one another, and decide issues on the basis of deliberation and the weighing of evidence." - I.M.C
 
Napenda mama anavyofanya ila na wasiwasi.
Ustaarabu wa Raisi Samia utafanya kazi kama anao waambia na kuwaongoza pia ni wastaarabu. La sivyo watampanda mpaka kichwani.

Ni hivi, ukiwa kwenye kundi la wastaarabu wakati na wewe ni mstaarabu mambo yataenda, lakini ukiwa wewe ni mstaarabu katika kundi la washenzi watakupanda kichwani.

Sasa viongozi wetu na sisi wananchi ni wastaarabu?

Tusubiri tuone.
 
Napemba mama anavyofanya ila na wasiwasi.
Ustaarabu wa Raisi Samia utafanya kazi kama anawaambia na kuwaongoza pia ni wastaarabu. La sivyo watampanda mpaka kichwani.

Ni hivi, ukiwa kwenye kundi la ustaarabu wakati na wewe ni mstaarabu mambo yataenda, lakini ukiwa wewe ni mstaarabu katika kundi la washenzi watakupanda kichwani.

Sasa viongozi wetu na sisi wananchi ni wastaarabu?

Tusubiri tuone.

Yule mama yuko strict best....hachek chek ovyo kama mtangulizi Hayati Jose!
Yaan yule angekua mazangu kila siku angekua ananipa kipondo...
 
Napemba mama anavyofanya ila na wasiwasi.
Ustaarabu wa Raisi Samia utafanya kazi kama anao waambia na kuwaongoza pia ni wastaarabu. La sivyo watampanda mpaka kichwani.

Ni hivi, ukiwa kwenye kundi la wastaarabu wakati na wewe ni mstaarabu mambo yataenda, lakini ukiwa wewe ni mstaarabu katika kundi la washenzi watakupanda kichwani.

Sasa viongozi wetu na sisi wananchi ni wastaarabu?

Tusubiri tuone.
Ni kweli Lakini tambua kinachoongoza n mamlaka aliyonayo sio Ustarabu....Anauwezo wa kumwajibisha mtu muda wowote
 
Nimefika dear
Lakini si mniache nimalizie maombolezo jamani?
Oopss..bado umevaa manguo meusi?pole..mie kila nikiuona uzi ukoañdikwa Rais Magufuli afariki kwa ugonjwa wa Moyo hosp ya Mzena najikuta roho inapiga paaa! Naamua kujipozea na desperado kabisa! I can feel u..61 bado jank kbs
 
Kwangu ni msiba mkubwa sana huu
Nasubiri 40 ninyoe na nywele kabisaaaa
 
Ni kweli Lakini tambua kinachoongoza n mamlaka aliyonayo sio Ustarabu....Anauwezo wa kumwajibisha mtu muda wowote
Sioni cha ajabu hapo, maraisi wote walikuwa na mamlaka na bado watu walikuwa wana piga na kutumia madaraka yao vibaya.
 
Back
Top Bottom