Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na John Pambalu Mara milango ya gereza ikafunguliwa. Askari akasisitiza acheni simu zenu na Muingie watu 4 tu. Tukaambatana na viongozi wawili wa chama wilaya ya Mbeya mjini, mimi pamoja na...
61 Reactions
224 Replies
18K Views
Baada ya kifo cha mpendwa wetu takriban mwezi mmoja sasa kumetokea na sintomfahamu kubwa BUNGENI miongoni mwa MPs, hali ambayo sio AFYA kwa taifa letu. Tukumbuke kuwa hili ni Bunge la budget...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimepata nafasi ya kusikiliza kwa umakini sana hotuba ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ya makadirio ya mapato na matumizi katika ofisi hiyo na taasisi zote zilizoko chini yake. Kimsingi ni bajeti...
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Na Elius Ndabila 0768239284 Ni kweli kuwa lugha ya Kiswahili pamoja na historia yake kubwa, lakini ni ukweli kuwa inazungumzwa sana pwani ya Afrika Mashariki. Na Tanzania ndiyo nchi ambayo ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutoka kauli ya vijana mjiajiri hadi kauli ya vijana kuwa wezi na kutokuwa waaminifu. Kwa ujumla wake hakuna mtu aliyefurahishwa na kauli zako Mh.Ndugai dhidi ya vijana ukiwashambulia Bungeni...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mantiki ya kisiasa ya wapinzani wa kisiasa hapa Bongo hasa ACT wazalendo na Chadema kuwa ikitokea kuna suala fulani ndio iwe upenyo wa kupata kick za kisiasa sasa hivi halina nafasi tena. Maana...
1 Reactions
83 Replies
5K Views
Kutokana na kutokujielewa kwa Viongozi wengi wanaojiita ni Wazanzibari na wafuasi wengi hususan wa Chama Tawala (CCM) upande wa Zanzibar juu ya nyimbo wanayoimbishwa na Wasakatonge ya (ZANZIBAR NI...
8 Reactions
208 Replies
16K Views
Serikali imeliambia bunge kuwa lipo katika hatua za mwisho kwa ajili ya kuwasilisha bungeni muswaada wa marekebisho ya sheria ya mafao ya wafanyakazi kuhusu kikokotoo kipya baada ya kukamilisha...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Ndugu zangu waheshimiwa Wabunge, tafadhali tuangalizie kuhusu malipo ya mafao yetu NSSF na PSSF walah miezi sana vimilioni vitano wanashindwa kutulipa jamani, halafu mnasema hatupendi kufanya kazi...
21 Reactions
89 Replies
9K Views
Wakichunguza kesi walizoelekezwa na wanasiasa badala wafuate mfumo wakisheria wanawapelekea Kwanza wanasiasa kuuliza kama wachukue hatua gani? Nchi nyingine uchunguzi ukikamilika unapata taarifa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwema wanaJF, Kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe...
5 Reactions
90 Replies
5K Views
Kutokuwepo Hayati Magufuli, ambaye aina ya siasa aliyoiendesha (Utashi wa Kisiasa, Uthubutu wa maamuzi magumu na kuyatekeleza, Usimamizi wa rasmali za nchi, nk) kumejitokeza uhalisia wa aina ya...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Ukweli hawa jamaa wamekuwa kama Maksai au Ng'ombe waliohasiwa. Ngombe akihasiwa bwana huwezi kumkuta kule mbele wala pembeni ya kundi anakuwa tu katikati anachanganyika na majike na ndama. Hatari...
23 Reactions
60 Replies
6K Views
Muleba. Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Joachim Rwegasira mkazi wa kijiji cha Bushanga Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera kwa tuhuma za kumuua mkewe, Rosemary na mwanaye, Joiness na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Rais Samia kwa nia njema kabisa ametaka TRA waache mabavu kukusanya kodi. Ila kwa uzoefu na hulka ya binadamu huwa hawapendi kulipa kodi. Naam kodi ikusanywe kwa mujibu wa sheria...
34 Reactions
223 Replies
16K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki...
17 Reactions
168 Replies
21K Views
Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habarini...!! Jana nimeona uteuzi kutoka kwa Mh. Rais kuwa amewateua washauri wake wa Diplomasia, Siasa, na Uchumi pia. Kiapo cha Mawaziri kina sehemu inasema "Nitamshauri Rais kwa hekima na...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Na Thadei Ole Mushi. Katibu wa Wizara ya Utumishi amewataka Watanzania kumpuuza Prof Assad kwenye taarifa alizotoa karibuni kuwa Watumishi wa umma hawana uwezo na wenye uwezo ni Kidogo Sana...
6 Reactions
166 Replies
56K Views
Keep Resting in Eternal Peace Alphonce Mawazo _________________ Ni Takribani Miaka Mitano sasa na Miezi Mitano, Uliandika haya Novemba 2, 2015.. baada ya wiki 2 ukauawa!! _________________...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom