Kipanya ameendelea kuwashikia kibendera wawakilishi wetu pale mjengoni.
Picha hii chini binafsi nimeshindwa kuilewa maana siyo mjuzi wa kusoma habari picha.
Na Thadei Ole Mushi.
Wiki Moja iliyopita kupitia Ukurasa mtandao wa kijamii Facebook ITV iliripoti kuwa huko Geita kwenye shule ya Sekondari Magema ina walimu wawili tu. Habari hii haikupewa...
Jana ITV walimualika kamanda wa Chadema Dr Marcus Albanie kwenye kipindi cha Kipima Joto kilichohudhuriwa pia nu CAG mstaafu CPA Uttoh.
Kwa kipindi kirefu makamanda wa Chadema hawajaonekana...
TCAA inaishikilia ndege moja aina ya Embraer 190 mali ya Fastjet (T) kwa deni la billion 6, haijulikani kama hilo deni ni la TCAA pekee au kuna partners wengine nao wanaidai Fastjet.
Inajulikana...
Eneo la Makongo juu wilayani Kinondoni, limekuwa na shida ya barabara kwa miaka mingi sana. licha ya eneo hili kuwa maa muhimu na maarufu., na kukaliwa na watu mashuhuri, limekosa barabara kwa...
Ni kawaida kwa mtu mwenye akili zake (muungwana) akianza kurushiwa maneno na kichaa huwa anakaa kimya.
Vivyo hivyo muungwana akiporwa nguo zake na kichaa, huwa anachutama.
Sasa wabunge darasa la...
Ndio shida ya kila mtu kuleta usanii kila mahali huku mavuvuzela ya kijani yakisifu kwa vigelegele na hongera.
Saluti asiige tuu ina namna yake na ni heshima haitolewi kwa mikao ya kihunihuni
Jana nimetoka Ifakara, Tulipofika Eneo la Ruaha tuliambiwa abiria wote tushuke kuna ukaguzi wa Watu wa Maliasili!
Tulipo shuka Abiria wote Aliingia Askari wa Maliasili kukagua Mabegi yaliyopo...
Ukifuatilia historia ya bara la Afrika, kwa kiasi kikubwa lipo hapa kwa kukosa viongozi wenye maono ya kutoa watu wao kwenye umasikini. Mbaya zaidi viongozi wengi hawana uzalendo.
Historia ni...
Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO?
Onyo : Usithubutu kuwaamini...
Inaaminika duniani kote vijana ndiyo nguvu ya kupeleka gurudumu la maendeleo mbele kwa nchi husika. Ila kwa serikali yetu imekua tofauti sana, hakuna maneno ya faraja na kutiana moyo kila leo ni...
Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu...
Siku kadhaa na hasa miaka kadhaa iliyopita, nilianza kusikia habari za 'mfumo imara' kuwa ndiyo unaofaa zaidi kuliko 'kiongozi imara'.
Mwanzoni sikutilia maanani. Lakini, siku za hivi karibuni...
Mh Spika wa bunge la 12 Job Ndugai, mmegoma kutoa ajira kwa vijana, mmeacha kutunga sera/shera nzuri ambazo zinaweza kuvutia uwezekaji mkubwa na kuleta ajira kwa vijana, mmeacha kupitsha sheria...
Na John Pambalu
Mara milango ya gereza ikafunguliwa. Askari akasisitiza acheni simu zenu na Muingie watu 4 tu. Tukaambatana na viongozi wawili wa chama wilaya ya Mbeya mjini, mimi pamoja na...
Baada ya kifo cha mpendwa wetu takriban mwezi mmoja sasa kumetokea na sintomfahamu kubwa BUNGENI miongoni mwa MPs, hali ambayo sio AFYA kwa taifa letu. Tukumbuke kuwa hili ni Bunge la budget...
Nimepata nafasi ya kusikiliza kwa umakini sana hotuba ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ya makadirio ya mapato na matumizi katika ofisi hiyo na taasisi zote zilizoko chini yake. Kimsingi ni bajeti...
Na Elius Ndabila
0768239284
Ni kweli kuwa lugha ya Kiswahili pamoja na historia yake kubwa, lakini ni ukweli kuwa inazungumzwa sana pwani ya Afrika Mashariki. Na Tanzania ndiyo nchi ambayo ni...
Kutoka kauli ya vijana mjiajiri hadi kauli ya vijana kuwa wezi na kutokuwa waaminifu.
Kwa ujumla wake hakuna mtu aliyefurahishwa na kauli zako Mh.Ndugai dhidi ya vijana ukiwashambulia Bungeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.