Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,608
141,429
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo.

807DA0DA-0716-4338-A88C-8A62CAACB2C4.jpeg

3CC2D0E4-3857-4613-8305-32E19D2BD656.jpeg


084C7F6B-D596-473A-8B60-2EAE96BB327D.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga mara baada ya mazungumzo Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili, 2021.

Soma pia:

1) Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

2)

01A61592-862D-4AE2-AD21-CED75CECF7D3.jpeg
 
Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.

Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Mimi naona kwa Tanzania hamna shida. Kama mwendazake aliweza urais na mambo yakaenda tu iyo nafas ya ugavana hata ukimpa Irene Uwoya ataimudu tu.
 
Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.

Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Hapo hapo mbowe amepata chanjo ya corona na anafanya social distance kwa joyce mkuya.

Chadema wana kipaji cha ujinga
 
Back
Top Bottom