Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,327
8,243
Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile.

Hebu Tujiongeze tuanze kuzalisha bidhaa mpya ambazo zinahitajika na mataifa mbalimbali.

Tuzalishe bidhaa zifuatazo

1. Natural Gas, LNG,
2.Kemikali zinazotokana na gesi mfano mbolea, methanol, n.k
2. Helium,
2. Madini ya Lithium kwaajili ya beteri
3. Madini ya Nickel
4. Madini Cobalt
5. Madini ya platinum
6. Madini ya Chromium
7. Madini ya Manganes
8.Madini ya Copper
9.Nishati

Tukiuza bidhaa hizo zenye thamani tutapata fedha nyingi zitakuza GDP yetu, mwishowe tutajikuta tunaacha kutoza kodi. Lakini hatuwezi kuacha kutoza kodi kwasasa kwasababu hatuna vyanzo mbadala vya mapato ya uhakika ya kuaminika ambayo yanaweza kufinance miradi yetu ya maendeleo na huduma za jamii katika taifa letu.

Hivyo tuweke mikakati huko kwenye bidhaa mpya. Nilikua nikimsiliza Dr. Askofu Kwajima amezungumzia kuhusiana na rasilimali watu ambazo ndio nyenzo muhimu kwenye kuzalisha hizo bidha mpya.

Sasa angalia TANZANIA tumesomesha wataalam wa madini, wataalam wa mafuta na gesi, cha ajabu wote ni jobless, wapo tu watu wanazeeka na maarifa na uwezo wao.

Kampuni ya serikali inaajiri wataalam wawili ndio wazalishe bidhaa mpya, yaani hao ndio walete impact kwenye industry kweli. Lazima tuwe serious tukitaka kufikia uchumi tunaoutaka.

Serikali imesomesha wataalam wa mafuta na gesi wote jobless kwanini isiajiri wataalam hao watafute mafuta na hizo gesi kwa wingi. Badala yake serikali imebaki na wataalam wazee wanakaa tu ofisini no impact in the industry, ajiri vijana waliotoka shule wafanye kazi.
 
Chini ya CCM sahau yenyewe yanawaza nakutafuta vyanzo vya kukopa tu na misaada huko kwa wahisani. Na kazi kubwa ya waziri wa fedha na gavana ni ku audit hela za wa fadhili na wahisani.
Mmeambiwa wapenda mipasho huu uzi hauwahusu, wewe umekujaje hapa?
 
CCM ime spoil sana namna ya wananchi wengi kufikiria.

Elimu itolewayo, haimfanyi mhitimu awe critical thinker, wala haimpi uwezo wa kujitegemea. Ni elimu mfu ndio maana wao hupeleka ulaya watoto wao wakasome
 
Na hiki ndio kinachofanya hata GDP yetu iendelee kuwa chini. No increase any more. Taifa limejaza wasomi wajinga what do you expect.
 
Mtoa Mada we umewekeza kwenye kipi kati ya hivyo ulivoorodhesha?
Mkuu hii mada haizungumzii uchumi wa mtu mmoja mmoja. Inazungumzia uchumi wa nchi mkuu. Mtoa mada hajawa mbinafsi wa kuzunguzia miradi ya watu binafsi. Nadhani amejikita kwenye uchumi wa taifa zima.
 
Uwezi kuuzungumzia uchumi wa nchi bila kumzungumzia entrepreneur ( kutoka humu humu ndani ama nje )ambae ni mtu au Company.
Vyote alivyo vitaja vinaitaji mtu waku-initiate nasio blah blah za sisi kama nchi.
 
  • Thanks
Reactions: Lob
Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile.

Hebu Tujiongeze tuanze kuzalisha bidhaa mpya ambazo zinahitajika na mataifa mbalimbali.

Tuzalishe bidhaa zifuatazo

1. Natural Gas, LNG,
2.Kemikali zinazotokana na gesi mfano mbolea, methanol, n.k
2. Helium,
2. Madini ya Lithium kwaajili ya beteri
3. Madini ya Nickel
4. Madini Cobalt
5. Madini ya platinum
6. Madini ya Chromium
7. Madini ya Manganes
8.Madini ya Copper
9.Nishati

Tukiuza bidhaa hizo zenye thamani tutapata fedha nyingi zitakuza GDP yetu, mwishowe tutajikuta tunaacha kutoza kodi. Lakini hatuwezi kuacha kutoza kodi kwasasa kwasababu hatuna vyanzo mbadala vya mapato ya uhakika ya kuaminika ambayo yanaweza kufinance miradi yetu ya maendeleo na huduma za jamii katika taifa letu.

Hivyo tuweke mikakati huko kwenye bidhaa mpya. Nilikua nikimsiliza Dr. Askofu Kwajima amezungumzia kuhusiana na rasilimali watu ambazo ndio nyenzo muhimu kwenye kuzalisha hizo bidha mpya.

Sasa angalia TANZANIA tumesomesha wataalam wa madini, wataalam wa mafuta na gesi, cha ajabu wote ni jobless, wapo tu watu wanazeeka na maarifa na uwezo wao.

Kampuni ya serikali inaajiri wataalam wawili ndio wazalishe bidhaa mpya, yaani hao ndio walete impact kwenye industry kweli. Lazima tuwe serious tukitaka kufikia uchumi tunaoutaka.

Serikali imesomesha wataalam wa mafuta na gesi wote jobless kwanini isiajiri wataalam hao watafute mafuta na hizo gesi kwa wingi. Badala yake serikali imebaki na wataalam wazee wanakaa tu ofisini no impact in the industry, ajiri vijana waliotoka shule wafanye kazi.
Uchumi unajengwa kwa kutumia Sera Nzuri na sheria Rafiki za kodi na feza, Tuna sera na sheria za kufilisi wafanya Biashara tangu tumepata uhuru hayo maendelea yatoke wapi?
 
Domestic product bila kutoa mikopo nafuu kwa vijana na watu wanaotaka mitaji hiyo tusahau kabisa, wenzetu nje wameshatuacha pakubwa sana bila hela hatutaweza tena maana inahitajika elimu na hela ya haraka sana vijana wakaibe ujuzi nje waje watengeneze bidhaa za tekinolojia ya Leo, imagine Leo hakuna haja ya mafundi nguo wengi kinachohitajika ni mashine za kushona nguo kwa wingi ready to wear, kukata chips na kukuna nazi wenzetu washatengeza chips cutter na vegetable cutter za kisasa hakuna kupoteza muda na kuajili watu wengi ni mwendo wa mashine tu zinachukua nafasi, kwenda kukausha nywele saluni sasa hivi kuna home hair dryer, yaani ni mwendo wa tekinolojia ya mashine tu kurahisisha kazi na mtaji wa kutengeneza hivyo vitu Ili tuwafikie wenzetu ndo tatizo, sasa tuendelee kuigana tu kufanya biashara zitakazokuja kufutika na hazina faida baada ya kuletewa vitu kutoka nje vya kurahisisha kazi na kupunguza wafanyakazi wengi kwenye makampuni.
 
Mkuu lakini mtoa mada kama amezungumzia bidhaa zinazoleta fedha za kigeni.

Back
Top Bottom