Ndugu Watanzania,
Nimejaribu kufatilia nchi yetu na kuona kuwa miradi mikubwa inayofanyika au inayotarajiwa kufanyika tunategemea zaidi pesa kutoka nje ya nchi kama mikopo au wawekezaji.
Leo...
Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate ridhiki kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema...
Mwalimu Johari Jumanne wa Shule ya Msingi Lufukutwa Iliyopo Kaliua Tabora, amelalamika kupigwa na Mwalimu wake Mkuu anayefahamika kwa jina la Africa Kitinya. Johari amedai alipigwa sababu ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Atawatunukia Kamisheni Maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania. Viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma.
Matangazo yataanza...
CCM ilipo asisiwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Ndio maana nembo yake kwenye bendera kuna nyundo kwa wafanyakazi na jembe kwa wakulima.
Filosofia ya CCM ni ya kiujamaa pamoja na...
Hii ndio taarifa ya TAKUKURU iliyotolewa kwa vyombo vya habari , na kwamba hizo 2% zilizobaki zitakamilishwa na ofisi ya CAG
Hakuna Taarifa kama atafikishwa Mahakamani au la .
Tuendelee...
Mkuu wa majeshi nchini Generali wa nyota 4 Mabeyo amesema JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafunza na kuwaandaa vijana kuitumikia nchi yao kwa uzalendo.
CDF amesema kwa sasa vijana...
Ninalia tena msiba unaanza upya pale Mnapo nikumbusha enzi za kupishana angani! Mzee Kikwete alisafiri takribani safari za nje 421 kwa wastani wa siku tatu kila safari alikaa nje ya nchi kwa...
Rais ajue kuna siku ni za upepo mkali hivyo nguo anazovaa lazima ziwe zimetiwa nanga au gololi marumaru nzito, nimeona kwa wale wanaofuatilia ziara zake haswa pale anapohitajika kukagua gwaride...
Nawasalimu kwa JMT.
Katika miaka 5 iliyopita hakuna rangi ambayo hatujaona.
Ni kipindi wafanyabiashara walihama nchi.
Kodi ilikusanywa kibabe na akaunti kufungwa.
Kesi za kubambikiziwa uhujumu...
Najiuliza,aliyekuwa mwanasheria wa wizara ya nishati na Madini wakati sakata la escrow linatokea,alishauri nini? Anaponaje?
Nadhani suala hili la escrow tusichague chague,wizara ipate ubatizo...
Baada ya kutembelea Magereza kadhaa za Kanda ya Nyasa na kujionea lundo la Wanachadema wanaozidi 100 waliolundikwa jela kwa uonevu kwa makosa ya Uongo ya mauaji , uhujumu uchumi, Madawa ya...
Waliochuana kuwania urais ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hosea, wakili maarufu, Albert Msando, Flaviana Charles, Shehzad Wall na...
Humphrey Polepole kijana mzee mwenye kipindi channel ten siku za wikend ambacho ukikiangalia utaamini anasaidia wananchi ila kimsingi ni kipindi chenye majivuno majigambo ya Tambo za kwamba yeye...
Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi...
Katika kuboresha sekta ya elimu nchini, ni wakati sahihi wa serikali kupitia wizara ya elimu na tamisemi kuachana na mpango wa kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti almaarufu 'grade A'
Sababu ni...
Natafakari safari ya Mama Samia kwenda Tanga, najiuliza alirejea lini Dar, najiuliza kwanini safari ya Waziri Mkuu ilifutwa ya Makamu ikawepo?
Haya maswali yananifanya niamini nchi inapita...
Ndugu zangu,
Sasa imekuwa ni kawaida kukuta wanaojiita wafuasi wa Chadema humu JF kusherekea maamuzi ya Kenya dhidi ya Tanzania japo yote yamefeli tukianza na ule upuuzi wa "coalition of the...
Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri...
Salama Wana Mapinduzi wa JF?
Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.