Naomba niulize Serikali nzima na mheshimiwa Rais Samia Suluhu, hivi hawa FCC wako juu yenu au wao hawafuati maelekezo ya Serikali na mheshimiwa Rais?
Inakueje Rais anahangaikia kurudisha...
Wabunge wengi wanajifanya wanapenda mipango ya mpendwa wetu Magufuli lakini kelele zote za kusema Mama afanye ya Magufuli ni woga wa uchaguzi huru. Kama wabunge wanafanya kazi ya wananchi na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) afanye ukaguzi maalum wa Akaunti ya Pamoja ya Fedha za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa...
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?
Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na...
Well, Rais wetu Mpendwa aliyetangulia peponi ameshambuliwa sana na wale jamaa, akiwa hai na hata katika umauti wake kaburini, tofauti ni kwamba akiwa hai walimshambulia na kumfitini behind closed...
Kusema kweli nimeguswa sana na Gwaji boy kiasi kwamba pamoja na mapungufu yake yaliyonifanya nisimuheshimu tena, umenifungua akili na kunifanya nirudi nyuma kutafakari upya jinsi ninavyomchukulia...
Watu wanaimba nchi ya viwanda mtaani maredioni na pale tbc utekelezaji ni zero
Hivi kijani mna matatizo gani?
Ukitaka matusi waulize ni viwanda vingapi vimejengwa???jibu ni hakuna kitu
Mbona...
Legacy nzuri ya mtu huwa haitetewi. Legacy nzuri huwa inajitetea yenyewe kupitia mambo mazuri pamoja na matendo mazuri aliyofanya mhusika.
Ukiona kuna mtu watu wanatetea kwa nguvu zote kuwa...
Na Mwandishi Wetu
Vunjo.
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru klabu ya Rotary ya Mwika kwa kujenga kivuko cha Koongo-Saghai kinachounganisha kata za Mwika Kusini na...
Hari yenu humu!
Bira shaka mpo wazima.
Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.
Upande wangu...
Waswahili wanasema "pembe la ng'ombe halifichiki ndivyo ilivyo kwa bwana huyu wa magogoni
.
.
Keshafail nasema ashukuriwe mungu kwa kuonyesha rangi yake halisi maana mara ya kwanza alijikaza...
Juma Nkamia, Ally Kessy na Deo Sanga wote wakiwa wabunge walisistiza sana kwamba sio dhambi kuongeza muda wa Urais ikiwa Rais aliyeko madarakani anafanya vizuri.
Walifikia hatua ya kusema hata...
Mbunge Halima Mdee amemcharukia Mbunge wa Vunjo Charles Kimei baada ya Halima Mdee kuchangia kuwa Serikali imekopa fedha nyingi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kiasi cha trilioni 10 na kufanya...
Hakuna siri tena kwa sasa, kila kitu kiko wazi kwenye siasa za Tanzania, wafuasi wa Magufuli wamegawanyika kwenye makundi makubwa mawili.
Kwa sasa kuna vita kubwa ya maneno, vijembe, kashfa...
Upinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosolewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti.
Sasa hivi CCM wanaparuana huko Bungeni ni jambo jema kwa afya ya...
Mbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo mitaani, Serikali imekuwa haitoi Ajira
Amesema, "Mimi nafikiri Mtaala...
Wanahabari Christopher James wa ITV&RADIO ONE na Dickson Billikwija wa Island TV waliwekwa chini ya ulinzi kwa saa 3 kwa maagizo ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Lusabilo Mwakabibi, baada ya...
Toka bunge hili lianze mbunge ninayeona katoa hoja nzito ni Zungu Kaeleza vizuri sana kuhusu ATCL NA NAMNA YA KUIFANYA IWE NA FAIDA KUBWA
Kasema kabla ya Magufuli Mishahara yote ya wafanyakazi wa...
Habari zenu wadau,
Nimekuwa nikifuatilia siasa za hapa kwetu Tanzania tangu mfumo wa vyama vingi kuanzishwa, na kwa mjibu wa ibara ya tatu ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, inaeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.