Hivi Zanzibar ni ya waafrika au ni ya wazanzibari?

aleesha

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
623
1,000
Kutokana na kutokujielewa kwa Viongozi wengi wanaojiita ni Wazanzibari na wafuasi wengi hususan wa Chama Tawala (CCM) upande wa Zanzibar juu ya nyimbo wanayoimbishwa na Wasakatonge ya (ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA!!) pasi na kutotaka kujiongeza kwa kujua MUAFRIKA ni nani??? na MZANZIBARI ni nani???

Kumeibuka wimbi kubwa la watu kutoka mataifa mbali mbali kuvamia visiwani Zanzibar na kujiita ni Wazanzibari kwasababu tu ya kauli mbiu ya kisiasa ya wadumisha Muungano inayosema (ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA) kauli mbiu ambayo inatoa Uhalali wa wageni toka nchi jirani na Zanzibar kujitwalia mambo yaliyokua yanawastahiki Wazanzibari Asili (sio wakaazi) kukosa;-
-Fursa zao ktk Taifa lao mama
-Haki zao za msingi
-Uhuru wao ktk Taifa lao mama la Asili
-Haki zao stahiki kwenye Taifa lao
-Maamuzi ya kitaifa na kiraiya pamoja na kiuongozi
Na mengi mengineyo......

Ni sawa na mfano wa Nyuki wachache waliojiundia jumba lao hatimae wakatokea Kundi kubwa la Mchwa na kuamua kulivamia hilo Kundi dogo la Nyuki...... Je hilo Kundi dogo la Nyuki litakua salama pamoja na hayo makaazi yao!!!! Jibu ni jepesi tu hayo makaazi yatageuka na kua ni makaazi ya Mchwa na itafika kipindi hakutoibuka hata Nyuki mmoja kuongea chochote juu ya hao Mchwa wavamizi....

Maana yangu ni kwamba Zanzibar ni Nchi ndogo na yenye Watu Asili wachache mnoo.... Inapoelekea Zanzibar baada ya miaka kadhaa mbele huko itegemee kua ni WILAYA ndogo ya TANGANYIKA kutokana na uvamizi mkubwa mno wa Wageni uliopo ktk Viunga vyake pia na sehemu Muhimu za kimaamuzi Serikalini Mfano;-
-Mahkama, Vyombo vya Usalama (PT,JWTZ, VIKOSI VYA SMZ),, Sekta za Kielimu, Sekta za Uwekezaji, Sekta za Ajira n.k!!!! Kwa muktadha huo Zanzibar imebakiwa na Nguzo moja tu kuu...nayo ni KATIBA ndio ambayo inaifanya walau hadi leo imebaki na baadhi ya kijiutawala kidogo cha ndani kinachoifanya iweze kuheshimiwa na Mchwa waliopo madarakani..

Pasipokua na juhudi maalum na ya lazima kwa Wazanzibari na Serikali yao kuweza kusimamisha Wazanzibari Asili wenye Uzalendo wa Taifa lao basi wategemee kupoteza;-
-Utaifa wao
-Utamaduni wao
-Utu wao
-Heshima, Uhuru na Haki zao
-Asili zao na historia zao na kubaki dhalili kwenye Taifa lao la Asili ya mababu zao..

Mara nyingi wanasiasa na wenye uchu wa madaraka Zanzibar hupenda kutumia mbinu za Wakoloni za (DIVIDE & RULE) yaani Wagawe na Uwatawale.... Mbinu ambazo zimewagawa Wazanzibari na kumwaga damu za ndugu zao kwa makundi tena bila ya hatia na kubaki Zanzibar yenye mgawanyiko wa jamii zinazochukiana na utabaka!!! Wanasiasa hao ambao si Wazalendo (Wachumia tumbo) wamekua mstari wa mbele kuwaimbisha Wafuasi wao nyimbo za chuki na za kulihujumu Taifa la Zanzibar kwa njaa za madaraka tu,, Utasikia "ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA" kwani kuna Taifa gani la Kiarabu au Kizungu au Kichina linalodai Zanzibar ni Nchi yake!!! Wanawafanya kana kwamba Wazanzibari hawana Haki ktk Taifa lao.........

Ifike mda Wazanzibari muwe na uwelewa juu ya kauli kma hizo...... "UAFRIKA ni Utu wa Asili ya Bara la AFRICA" na WAAFRIKA wote wana Asili zao ktk Nchi mbali mbali zilizopo Barani AFRICA.... Bara la AFRICA lina Nchi nyingi na watu wa jamii tofauti tofauti katika mataifa hayo....... Kwahio huo wimbo wa kusema "ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA" ni kufilisika kisera na kudumisha unyonyaji na uvamizi ZANZIBAR.....

👊ZANZIBAR NI YA WAZANZIBARI,,,,,,,,, WAAFRIKA KILA MMOJA ANA TAIFA LAKE👊
-Naomba hii Post yangu iwe ni kumbukizi pindi siku ikifika Mchwa wakitangaza kua ZANZIBAR ni Wilaya yao Rasmi!!!!!
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
7,568
2,000
Baadhi ya ndugu zetu Wazanzibar mna uwezo mdogo sana wa kufikiri! Hivi kati ya Tanganyika na Zanzibar, ni nani mnufaika wa Muungano?

Tufanye sensa leo ya kujua idadi ya hao Waafrika waliopo huko Zanzibar na nyinyi Wazanzibar mlio jazana huku Bara! Hivi watu gani watakuwa wamezidi upande mmoja?

Watu wenyewe tuna walea lea tu! Halafu mnaleta ujuaji. Bila Baba yenu Tanganyika, nyinyi ni useless tu. Na mkiendelea kuleta huu upuuzi wenu, tutawafukuzia mbali kwenye Bunge letu na pia kwenye shughuli zenu mnazo zifanya huku Bara ili mkajazane huko kwenye Visiwa vyenu, huku Mkishindia ule Urojo wenu.
 
Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,065
2,000
bongly
Sioni busara ya kuzuia posts kama hizi. Hili ni jukwaa la wajinga na wasio wajinga, inaonekana kabisa kuwa huyu aliyeweka post hii ana elimu duni, hata ukiangalia alivyoandika utajua kabisa elimu yake ni duni sana. Labda ingekuwa vizuri tuanze kumwambia ajifunze maana ya neno Zanzibar, halafu aangalie composition ya Zanzibar, na yeye ajiangalie damu yake vizuri. Akiona ina tatizo basi ajue namna ya kutafuta jibu la maswali na maswala yake.
 
munkango

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
350
1,000
Baadhi Wazanzibari wanaendekeza ukabila, kama alivyosema Mwalimu nje ya Muungano hakuna Wazanzibari, Kuna Wapemba, Waunguja nk.

Sijui mtoa mada anataka kwamba Zanzibar wajifungie tu peke yao na kusiwe na mwingiliano na watu wengine?

Je Mzanzibari ni nani? Ni Jamshid bin Abdulla au Amani Karume? Au wote?

Mbona Tamganyika imefutwa na Watanganyika hawalalamiki? Mbona kuna Rais wa JMT kutoka Unguja na mambo yapo vizuri tu?
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,688
2,000
Mada zisiruhusiwe miaka hii ya Utawala wa Mama
wanataka kuuvunja Muungano chini yake
wanachochea Keki ya Taifa ikiliwa na huko Visiwani
Acheni Mama naye atwale nata miaka 15, Wazaznibar watanyooka
 
jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
3,031
2,000
Wewe ni mpuuzi..na umechanganyikiwa..ila kua Tanzania ni kote kote..tunakuja na tutazidi kuja kuishi na kuzalisha wanawake zenu huko zanzibar mana zanzibar ni yetu...endeleen kula ulojo na kushika mkia kielimu dunia..huku sisi tukitawala na kuongeza uzao kupotia dada zenu.

#MaendeleoHayanaChama
 
bongly

Member
Feb 22, 2013
43
150
Sioni busara ya kuzuia posts kama hizi. Hili ni jukwaa la wajinga na wasio wajinga, inaonekana kabisa kuwa huyu aliyeweka post hii ana elimu duni, hata ukiangalia alivyoandika utajua kabisa elimu yake ni duni sana. Labda ingekuwa vizuri tuanze kumwambia ajifunze maana ya neno Zanzibar, halafu aangalie composition ya Zanzibar, na yeye ajiangalie damu yake vizuri. Akiona ina tatizo basi ajue namna ya kutafuta jibu la maswali na maswala yake.
Ambacho mtoa post hakifahamu ni kuwa Mama amekuwa kiongozi katika maswala ya Muungano kwa Muda mrefu...kuna post ya Pascal aliwahi kuweka hapa janvini kuhusu kipindi kilichorushwa na ZBC na kwa mujibu wa post hiyo (nitaitafuta niiweke hapa)...mama alichambua umuhimu wa muungano na kuomba kuwa yeyote ambaye ana hoja za msingi za kuboresha ajotokeze ili penye mapungufu parekebishwe.
Sasa nashangaa mtoa mada anakuja na uelewa duni alafu anataka kujiita great thinker...
Aibu tu.

#kazi iendelee.
 
Mods zingua hii thread

#kazi iendelee.
 
smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
2,224
2,000
Hahah Mtanganyika katika ubora wake
umeanza!!! Hivi huchoki na kukuelimisha kooote kule??

Umepewa hela na migiriki inayojifanya Miarabu????

Wilaya ya 29 itakuwa ile subiri labda nife.mapema
 
dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
4,366
2,000
Baadhi ya ndugu zetu Wazanzibar mna uwezo mdogo sana wa kufikiri! Hivi kati ya Tanganyika na Zanzibar, ni nani mnufaika wa Muungano?

Tufanye sensa leo ya kujua idadi ya hao Waafrika waliopo huko Zanzibar na nyinyi Wazanzibar mlio jazana huku Bara! Hivi watu gani watakuwa wamezidi upande mmoja?

Watu wenyewe tuna walea lea tu! Halafu mnaleta ujuaji. Bila Baba yenu Tanganyika, nyinyi ni useless tu. Na mkiendelea kuketa huu upuuzi wenu, tutawafukuzia mbali kwenye Bunge letu na pia kwenye shughuli zenu mnazo zifanya huku Bara ili mkajazane huko kwenye Visiwa vyenu, huku Mkishindia ule Urojo wenu.

Mkuu unazungumza mambo ya ajabu kwa kweli. Hivi Zanzibar imekua ikinufaika vipi na muungano?
Serekali ya Tanganyika imekua ikiwaibia Zanzibar kila mwaka fedha karibu Trilioni 1 ya mgao wake kwenye Muungano umewahi kulifatilia hili mkuu?
Unajua kua Zanzibar walitoa fedha karibu ya 12% ya uanzilishi wa BOT ambayo Tanganyika mpaka leo haitaki kukubali?
Kwanini Zanzibar hawaruhusiwi kuweza kukopa nje?
Kwanini Zanzibar hawaruhusiwi kuwa na free port pamoja free zone?
Kwanini Zanzibar wanalazimishwa kutawaliwa na viongozi wasiowataka wanaochaguliwa Bara?
 
Oculus

JF-Expert Member
Apr 21, 2014
899
1,000
Ubaguzi wa dini na rangi kwa Wazinzibar ni chanda na pete. Usikute umeandika uzi ukiwa bara, na hakuna anayekubagua kisa wewe ni Mzanzibar. Kingine muingiliano wa watu hauwezi kuzuilika kwenye dunia ya leo, wewe ni nani mpaka utake kujitenga na dunia?
Zanzibar ni yetu sote, as long as wewe ni mTanzania.
Hutaki hilo, jinyonge, maana hakuna namna ingine.
 
Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
973
1,000
Kutokana na kutokujielewa kwa Viongozi wengi wanaojiita ni Wazanzibari na wafuasi wengi hususan wa Chama Tawala (CCM) upande wa Zanzibar juu ya nyimbo wanayoimbishwa na Wasakatonge ya (ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA!!) pasi na kutotaka kujiongeza kwa kujua MUAFRIKA ni nani??? na MZANZIBARI ni nani???

Kumeibuka wimbi kubwa la watu kutoka mataifa mbali mbali kuvamia visiwani Zanzibar na kujiita ni Wazanzibari kwasababu tu ya kauli mbiu ya kisiasa ya wadumisha Muungano inayosema (ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA) kauli mbiu ambayo inatoa Uhalali wa wageni toka nchi jirani na Zanzibar kujitwalia mambo yaliyokua yanawastahiki Wazanzibari Asili (sio wakaazi) kukosa;-
-Fursa zao ktk Taifa lao mama
-Haki zao za msingi
-Uhuru wao ktk Taifa lao mama la Asili
-Haki zao stahiki kwenye Taifa lao
-Maamuzi ya kitaifa na kiraiya pamoja na kiuongozi
Na mengi mengineyo......

Ni sawa na mfano wa Nyuki wachache waliojiundia jumba lao hatimae wakatokea Kundi kubwa la Mchwa na kuamua kulivamia hilo Kundi dogo la Nyuki...... Je hilo Kundi dogo la Nyuki litakua salama pamoja na hayo makaazi yao!!!! Jibu ni jepesi tu hayo makaazi yatageuka na kua ni makaazi ya Mchwa na itafika kipindi hakutoibuka hata Nyuki mmoja kuongea chochote juu ya hao Mchwa wavamizi....

Maana yangu ni kwamba Zanzibar ni Nchi ndogo na yenye Watu Asili wachache mnoo.... Inapoelekea Zanzibar baada ya miaka kadhaa mbele huko itegemee kua ni WILAYA ndogo ya TANGANYIKA kutokana na uvamizi mkubwa mno wa Wageni uliopo ktk Viunga vyake pia na sehemu Muhimu za kimaamuzi Serikalini Mfano;-
-Mahkama, Vyombo vya Usalama (PT,JWTZ, VIKOSI VYA SMZ),, Sekta za Kielimu, Sekta za Uwekezaji, Sekta za Ajira n.k!!!! Kwa muktadha huo Zanzibar imebakiwa na Nguzo moja tu kuu...nayo ni KATIBA ndio ambayo inaifanya walau hadi leo imebaki na baadhi ya kijiutawala kidogo cha ndani kinachoifanya iweze kuheshimiwa na Mchwa waliopo madarakani..

Pasipokua na juhudi maalum na ya lazima kwa Wazanzibari na Serikali yao kuweza kusimamisha Wazanzibari Asili wenye Uzalendo wa Taifa lao basi wategemee kupoteza;-
-Utaifa wao
-Utamaduni wao
-Utu wao
-Heshima, Uhuru na Haki zao
-Asili zao na historia zao na kubaki dhalili kwenye Taifa lao la Asili ya mababu zao..

Mara nyingi wanasiasa na wenye uchu wa madaraka Zanzibar hupenda kutumia mbinu za Wakoloni za (DIVIDE & RULE) yaani Wagawe na Uwatawale.... Mbinu ambazo zimewagawa Wazanzibari na kumwaga damu za ndugu zao kwa makundi tena bila ya hatia na kubaki Zanzibar yenye mgawanyiko wa jamii zinazochukiana na utabaka!!! Wanasiasa hao ambao si Wazalendo (Wachumia tumbo) wamekua mstari wa mbele kuwaimbisha Wafuasi wao nyimbo za chuki na za kulihujumu Taifa la Zanzibar kwa njaa za madaraka tu,, Utasikia "ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA" kwani kuna Taifa gani la Kiarabu au Kizungu au Kichina linalodai Zanzibar ni Nchi yake!!! Wanawafanya kana kwamba Wazanzibari hawana Haki ktk Taifa lao.........

Ifike mda Wazanzibari muwe na uwelewa juu ya kauli kma hizo...... "UAFRIKA ni Utu wa Asili ya Bara la AFRICA" na WAAFRIKA wote wana Asili zao ktk Nchi mbali mbali zilizopo Barani AFRICA.... Bara la AFRICA lina Nchi nyingi na watu wa jamii tofauti tofauti katika mataifa hayo....... Kwahio huo wimbo wa kusema "ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA" ni kufilisika kisera na kudumisha unyonyaji na uvamizi ZANZIBAR.....

👊ZANZIBAR NI YA WAZANZIBARI,,,,,,,,, WAAFRIKA KILA MMOJA ANA TAIFA LAKE👊
-Naomba hii Post yangu iwe ni kumbukizi pindi siku ikifika Mchwa wakitangaza kua ZANZIBAR ni Wilaya yao Rasmi!!!!!
Ukiwekwa ndani kama mashehe wa uamsho unakuja kulalamika hapa hakuna ushahidi. Endelea kuchochea chuki unachokitafuta utakipata
 
Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
973
1,000
Ambacho mtoa post hakifahamu ni kuwa Mama amekuwa kiongozi katika maswala ya Muungano kwa Muda mrefu...kuna post ya Pascal aliwahi kuweka hapa janvini kuhusu kipindi kilichorushwa na ZBC na kwa mujibu wa post hiyo (nitaitafuta niiweke hapa)...mama alichambua umuhimu wa muungano na kuomba kuwa yeyote ambaye ana hoja za msingi za kuboresha ajotokeze ili penye mapungufu parekebishwe.
Sasa nashangaa mtoa mada anakuja na uelewa duni alafu anataka kujiita great thinker...
Aibu tu.

#kazi iendelee.
Mama mwenyewe mtoto wake kaolewa na mtu wa Rufiji hahahaa
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,688
2,000
Mkuu unazungumza mambo ya ajabu kwa kweli. Hivi Zanzibar imekua ikinufaika vipi na muungano?
Serekali ya Tanganyika imekua ikiwaibia Zanzibar kila mwaka fedha karibu Trilioni 1 ya mgao wake kwenye Muungano umewahi kulifatilia hili mkuu?
Unajua kua Zanzibar walitoa fedha karibu ya 12% ya uanzilishi wa BOT ambayo Tanganyika mpaka leo haitaki kukubali?
Kwanini Zanzibar hawaruhusiwi kuweza kukopa nje?
Kwanini Zanzibar hawaruhusiwi kuwa na free port pamoja free zone?
Kwanini Zanzibar wanalazimishwa kutawaliwa na viongozi wasiowataka wanaochaguliwa Bara?
Mkuu wewe ndio kabisa huutaki huu Muungano miaka yoote hapa JF
Hebu anzisheni Mada basi muuvunje wakati wa Mama Samia akiwa Rais na Hussein Mwinyi Rais huko Zanzibar wala hatutawaingilia maana leo Bara alipora pesa yenu.

Hatutasita kuweka Rais mwingine kumbe bado kinawauma Mwanamke Mzanzibar kutawala Bara najua kwenu ni kitu kisichowezekana.
ZANZIBAR SIO KISIWA CHA WAGENI

ZANZIBAR imeungana na Bara toka dahari na ipo shwari
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom